Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Kwani we jambazi?hiyo kinkuti ndo unakuwa HULK, naitaka hiyo
Kwani we jambazi?hiyo kinkuti ndo unakuwa HULK, naitaka hiyo
Kwahiyo sewawe ni mganga?!Hapana sema tu naujuzi na mambo hayo si unajua mtoto wa nyoka ni nyoka..
Si uvunje masharti tuKaka mi ninavyo vyote nisaidieni namna ya kuondokana navyo wakuu.
Sio siri hua unafikia wakati mie najiogopa aseee, hua nikifika ugenini najikuta nakua mnyonge, sijichanganyi mahala panapoweza kunipa changamoto, yamenifanywa nikaachishwa mafunzo ya jeshi nateseka sana
Kina Matumla wangekuwa hatari sana, ukute Cheka ana Muku na Matumla ana Kinkuti, Tyson angesubiri.
umewaza mbali thana mkuuHuo ndio ubaya wake.
Kuna ile ukichukia unaumka halafu miguu inatitia ardhini mbaya sana hiyo unaweza kuta umeua watu wote.
aho!Kwani we jambazi?
Naona unafanya promo watu waanze kufurika kwenda huko Kigoma na Congo kupata tiba ya kidono kama walivyoenda Loliondo kwa babuKidono ni Dawa ambayo imetengenezwa kwa mchanganyiko wa vitu mbalimbali (sitavitaja hapa) . Inaweza kukukinga na kitu chenyekuweza kujeruhi eg. Upanga, kisu, rungu, fimbo, chupa n.k.
Kidono kimetofautiana kidogo. Kuna ambacho unachanjwa kwa wembe au Majani makali na Kidono cha kunywa na soda. Ukichanjwa kwa wembe ni wembe pekee utakao weza kukukata lkn ukichanjwa kwa kutumia jani huwezi kujeruhiwa na kitu.
Wanakuchanja ukiwa umekalia baadhi ya vitu vinavyoweza kjeruhi. Pia ukipata kilicho imara hata risasi haiingii mwilini.
KINKUTI.
Hii ni dawa inayoweza kukupatia nguvu za ziada katika kupambana. Ukichanja kinkuti unauwezo wa kuumka mwili wako na ukawa unauwezo wa kupiga hata wanajeshi 100. Hua hakituliziki kirahisi.
MASHARITI YAKE.
Ukiwa na kidono ukijikata au kujipiga na kitu utaumia. Pia ukimruhusu mtu akupige utaumia.
KINKUTI kinafanya kazi mpaka ukiwa na hasira za kuchokozwa ukichokza basi hakifanyi kazi.
Vyote hivyo vinapatikana Kigoma na Congo
Nani kakuruhusu kuja kuanika Siri za mababu zetu, ndo tatzo la kuwapa dawa vjana wasiojielewa, hyo dawa ni moja ya hazna za Mkoa wa kgm. Sasa kuitoa siri hiyo ni kudondosha ramani ya vita mbele ya adui.

Nami natakaNdio najua hakuna mtu atakayeweza nidhuru mie

Tena anatokea kulekule kwa washurikina babu anakutongoza mchana unamkataa, usiku anakuja anajilia vyake kiulainiiiTupe uzoefu wako mkuu maana jina tu linaonyesha naww ni wakwetu.
Tupe elimu boss
kesho yake anakuuliza" ulikuwa unalinga nn sasa?! Kumbe kushachoka hukooWe ni mjukuu Wa biti likungu ?!Subiri nikipata muda nitaanzisha Uzi wangu mwenyewe,ila sintogusia kiundan zaid isipokuwa nitaweka faida zake na hasara.Elimu hii niliipata toka kwa mkongomani alieitwa Kisimba!Huyu mzee alikuwa hatari sana!Usijali mkuu sisi ndio vijana wa ujiji,kabondo,majengo,rubuga nk ndio pande zetu za kujidai.

Wewe bila shaka unatokea KigomaKidono ni Dawa ambayo imetengenezwa kwa mchanganyiko wa vitu mbalimbali (sitavitaja hapa) . Inaweza kukukinga na kitu chenyekuweza kujeruhi eg. Upanga, kisu, rungu, fimbo, chupa n.k.
Kidono kimetofautiana kidogo. Kuna ambacho unachanjwa kwa wembe au Majani makali na Kidono cha kunywa na soda. Ukichanjwa kwa wembe ni wembe pekee utakao weza kukukata lkn ukichanjwa kwa kutumia jani huwezi kujeruhiwa na kitu.
Wanakuchanja ukiwa umekalia baadhi ya vitu vinavyoweza kjeruhi. Pia ukipata kilicho imara hata risasi haiingii mwilini.
KINKUTI.
Hii ni dawa inayoweza kukupatia nguvu za ziada katika kupambana. Ukichanja kinkuti unauwezo wa kuumka mwili wako na ukawa unauwezo wa kupiga hata wanajeshi 100. Hua hakituliziki kirahisi.
MASHARITI YAKE.
Ukiwa na kidono ukijikata au kujipiga na kitu utaumia. Pia ukimruhusu mtu akupige utaumia.
KINKUTI kinafanya kazi mpaka ukiwa na hasira za kuchokozwa ukichokza basi hakifanyi kazi.
Vyote hivyo vinapatikana Kigoma na Congo
Ze comedy showDrln naomba unipeleke nikachanjiwe walah tena.maana mimi mtu akinichokoza,kama nikimjibu nimemheshimu ,nikikaa kimya nimemdharau lkni roho yangu huwa inaniuma sana na kupatwa na hasira mpka natetemeka yani..
Wakati mwingine natamani kumtwanga mtu vitasalkni ndo hvyo naogopa naweza nikadundwa mimi..aaaa yan stress tupu

Ndio.Wewe bila shaka unatokea Kigoma
TEREZATena anatokea kulekule kwa washurikina babu anakutongoza mchana unamkataa, usiku anakuja anajilia vyake kiulainiii![]()
![]()
kesho yake anakuuliza" ulikuwa unalinga nn sasa?! Kumbe kushachoka hukoo
Mwakeye mwenewachu?
Ndabhona ulahaye ngaho, ikinkuti ni nanda mbi, wokubhita bhantu mpaka bhukacha!!
Kigoma raha

Hapana. Ninatoa tu elimu niliyonayo juu ya vitu hivyoNaona unafanya promo watu waanze kufurika kwenda huko Kigoma na Congo kupata tiba ya kidono kama walivyoenda Loliondo kwa babu
Hapana..Kwahiyo sewawe ni mganga?!