Kalunya JF-Expert Member Joined Oct 5, 2021 Posts 13,307 Reaction score 18,724 Nov 28, 2021 #341 Ushirikina upunguza uwezo wa kufikiri
smaki JF-Expert Member Joined Jan 23, 2019 Posts 4,975 Reaction score 3,118 Mar 13, 2022 #342 rahisi tu hii piga kivuri chake uone
R Rasterman JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 33,856 Reaction score 44,200 Mar 13, 2022 #343 shiu yang said: Mkuu kidono ni nzuri Kwa mfano nikiwa vitani na nimechanjia risasi haitaingia na nitaipataje.!? Click to expand... Thubutu. Utachapika hadi uchakae. Hayo mambo yanafanya kazi kwa mazingira ya kichawi tu. Kwenye sayansi wanafubaa
shiu yang said: Mkuu kidono ni nzuri Kwa mfano nikiwa vitani na nimechanjia risasi haitaingia na nitaipataje.!? Click to expand... Thubutu. Utachapika hadi uchakae. Hayo mambo yanafanya kazi kwa mazingira ya kichawi tu. Kwenye sayansi wanafubaa
Binadamu Mtakatifu JF-Expert Member Joined Jan 6, 2021 Posts 4,395 Reaction score 9,174 Mar 14, 2022 #344 weee Haya mambo ya kusema maji Yalishawapoza mababu zetu