Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Ndio vinaitwA tereza?!TEREZA
Ndio vinaitwA tereza?!TEREZA
Wewe unaishi maeneo gani hapo..Hata mlole mAjengo na kilimahewa
Hukumsikia yule baka baka wa usiku anaitwa terezaNdio vinaitwA tereza?!
MasangaBila Shaka na ww utakuwa MTU Wa kigoma kama jibu ni ndio unatoka kgm sehemu gn?
Niliishi mlole jirani na kanisa LA pefa but now Niko darWewe unaishi maeneo gani hapo..
Mm masanga.
Masanga stand up bibie ndio kwetu katosho ndio beach yetu ila now sipo kigoma.Niliishi mlole jirani na kanisa LA pefa but now Niko dar
Hukumsikia yule baka baka wa usiku anaitwa tereza
ndio nilipAta hizo storyAisee Kuna rafiki yangu ni muha alinihakikishia kwamba ulipewa hiyo dawa hata risasi haipenyiMambo ya Kinjekitile Ngwale haya, kulaleki nyama hii ya binadamu panga lisipenye![]()
hahaaaaHuu Uzi una harufu ya Loliondo. Ngoja niende zangu jukwaa la elimu.
Kumbe ulishaanza kuwa great thinker kitambo sana tu.....Enzi hizo bado namwaga nondo..
Mkuu nikuulize kama hizi dawa zinasaidia kivipi huko congo wale waasi wa maimai ambao ukiwapiga risasi zinageuka maji wakikutana na wanajeshi wa kizungu risasi zinapenya kama kawa??? Au uchawi una limits/ uchawi wa wazungu umezidi wa waafrika??Serikali haiamini uganga na Uchawi.
Ila wnajeshi wenyewe ndio huwatafuta waganga wawape hizo dawa. Mm nishashuhulikia wanajeshi zaidi ya watano kwa dawa hizo.
KINJEKITILEEEMkuu kidono ni nzuri
Kwa mfano nikiwa vitani na nimechanjia risasi haitaingia na nitaipataje.!?
SonKidono ni Dawa ambayo imetengenezwa kwa mchanganyiko wa vitu mbalimbali (sitavitaja hapa) . Inaweza kukukinga na kitu chenyekuweza kujeruhi eg. Upanga, kisu, rungu, fimbo, chupa n.k.
Kidono kimetofautiana kidogo. Kuna ambacho unachanjwa kwa wembe au Majani makali na Kidono cha kunywa na soda. Ukichanjwa kwa wembe ni wembe pekee utakao weza kukukata lkn ukichanjwa kwa kutumia jani huwezi kujeruhiwa na kitu.
Wanakuchanja ukiwa umekalia baadhi ya vitu vinavyoweza kjeruhi. Pia ukipata kilicho imara hata risasi haiingii mwilini.
KINKUTI.
Hii ni dawa inayoweza kukupatia nguvu za ziada katika kupambana. Ukichanja kinkuti unauwezo wa kuumka mwili wako na ukawa unauwezo wa kupiga hata wanajeshi 100. Hua hakituliziki kirahisi.
MASHARITI YAKE.
Ukiwa na kidono ukijikata au kujipiga na kitu utaumia. Pia ukimruhusu mtu akupige utaumia.
KINKUTI kinafanya kazi mpaka ukiwa na hasira za kuchokozwa ukichokza basi hakifanyi kazi.
Vyote hivyo vinapatikana Kigoma na Congo
whaaaaat!?Vidono vipo aina nyingi mkuu.
Ila ukifatilia hayo mambo sana waweza kuwa jambazi bure. Kuna ambazo kweli risasi haipiti.
Mm rafiki yangu anaweza kuuchana mti mbichi kwa kuuvuta tawi na tawi.