Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,559
Kajaribu kugugo naww tuone.Loh....hiyo uligugo usinidandanye
Kajaribu kugugo naww tuone.Loh....hiyo uligugo usinidandanye
Hahaaa unataka dawa za mapenzi?Kidding
Kajaribu kugugo naww tuone.
Ule sio uganga ni unajimu.We ngoja niweke bando.
Kumbe hata waganga wa kibongo wanatumia lugha ya kidhungu kwenye maandishi yao ee...
Hahaaa unataka dawa za mapenzi?
Unapafaham kibirizi. Gungu. Kichwere ndio wanaongoza kua na vitu hivyo.
Mmhh ngoja nitakufanyia ww mwenyewe ngoja nikusanye vyombo hutachomokaSasa hiyo si ndo yenye dia...fanya niipte aise uwiiii...mapenzi mubasharaaaa
Penyewe kabisa mkuu kwa wabembe na warundi.View attachment 491003Kibirizi hapo mkuu
Mmhh ngoja nitakufanyia ww mwenyewe ngoja nikusanye vyombo hutachomoka
Mwakeye mwenewachu?Mondray we ni mganga kwan


! Kaka mi ninavyo vyote nisaidieni namna ya kuondokana navyo wakuu.
Sio siri hua unafikia wakati mie najiogopa aseee, hua nikifika ugenini najikuta nakua mnyonge, sijichanganyi mahala panapoweza kunipa changamoto, yamenifanywa nikaachishwa mafunzo ya jeshi nateseka sana
Ndio naweza nyingi tu. Ila sipo interested in uganga.
Mkuu mimi nimeshuhudia, kusimuliwa pia kufundishwa hizo mambo sometimes ni mbaya sanah hasa ukizidisha aina ya dawa. Kuna zingine hutakiwi kukaa sehem zenye watu ikiwa full moon maana wengine hubadurika na kua viumbe vya ajabu.





Mm situmii kinkuti kabisa na aliyenielekeza alikataa kunipa hiyo kitu kabisa. Ila kidono haina madhara.
"....ukiwa umekalia baadhi ya vitu vinavyoweza kukudhulu.."Kidono ni Dawa ambayo imetengenezwa kwa mchanganyiko wa vitu mbalimbali (sitavitaja hapa) . Inaweza kukukinga na kitu chenyekuweza kujeruhi eg. Upanga, kisu, rungu, fimbo, chupa n.k.
Kidono kimetofautiana kidogo. Kuna ambacho unachanjwa kwa wembe au Majani makali na Kidono cha kunywa na soda. Ukichanjwa kwa wembe ni wembe pekee utakao weza kukukata lkn ukichanjwa kwa kutumia jani huwezi kujeruhiwa na kitu.
Wanakuchanja ukiwa umekalia baadhi ya vitu vinavyoweza kjeruhi. Pia ukipata kilicho imara hata risasi haiingii mwilini.
KINKUTI.
Hii ni dawa inayoweza kukupatia nguvu za ziada katika kupambana. Ukichanja kinkuti unauwezo wa kuumka mwili wako na ukawa unauwezo wa kupiga hata wanajeshi 100. Hua hakituliziki kirahisi.
MASHARITI YAKE.
Ukiwa na kidono ukijikata au kujipiga na kitu utaumia. Pia ukimruhusu mtu akupige utaumia.
KINKUTI kinafanya kazi mpaka ukiwa na hasira za kuchokozwa ukichokza basi hakifanyi kazi.
Vyote hivyo vinapatikana Kigoma na Congo
Unataka uturudishie historia ya MAJI MAJI walipaka vidono wakaambiwa risasi zitageuka maji! WakaishaMkuu kidono ni nzuri
Kwa mfano nikiwa vitani na nimechanjia risasi haitaingia na nitaipataje.!?
Mmmmh mimi Tomaso!Vidono vipo aina nyingi mkuu.
Ila ukifatilia hayo mambo sana waweza kuwa jambazi bure. Kuna ambazo kweli risasi haipiti.
Mm rafiki yangu anaweza kuuchana mti mbichi kwa kuuvuta tawi na tawi.
Bila shaka walikosea masharitiUnataka uturudishie historia ya MAJI MAJI walipaka vidono wakaambiwa risasi zitageuka maji! Wakaisha
Ilikuwepo lakini haikuonyesha mafanikio babu MAJI MAJI WAR wazee wetu walipotea sana kwa kuamini hizi mambo! Sasa kama mtu unaamini kidono kwanini usimwamini na Mungu?Dah kipindi kile cha Ukoloni hii sayansi haikuwepo mbona tumenyanyasika kwa mababu zetu kufungwa minyororo kirahisi na kupelekwa utumwani!!?