Mondray we ni mganga kwanKidono ni Dawa ambayo imetengenezwa kwa mchanganyiko wa vitu mbalimbali (sitavitaja hapa) . Inaweza kukukinga na kitu chenyekuweza kujeruhi eg. Upanga, kisu, rungu, fimbo, chupa n.k.
Kidono kimetofautiana kidogo. Kuna ambacho unachanjwa kwa wembe au Majani makali na Kidono cha kunywa na soda. Ukichanjwa kwa wembe ni wembe pekee utakao weza kukukata lkn ukichanjwa kwa kutumia jani huwezi kujeruhiwa na kitu.
Wanakuchanja ukiwa umekalia baadhi ya vitu vinavyoweza kjeruhi. Pia ukipata kilicho imara hata risasi haiingii mwilini.
KINKUTI.
Hii ni dawa inayoweza kukupatia nguvu za ziada katika kupambana. Ukichanja kinkuti unauwezo wa kuumka mwili wako na ukawa unauwezo wa kupiga hata wanajeshi 100. Hua hakituliziki kirahisi.
MASHARITI YAKE.
Ukiwa na kidono ukijikata au kujipiga na kitu utaumia. Pia ukimruhusu mtu akupige utaumia.
KINKUTI kinafanya kazi mpaka ukiwa na hasira za kuchokozwa ukichokza basi hakifanyi kazi.
Vyote hivyo vinapatikana Kigoma na Congo
aiseeKuna tofauti ya kidono na kinguti.
Kinguti ndio hatar zaidi maana unaweza kua kwenye Full moon unabadirika mwili na kua kiumbe cha ajabu.
Kinguti kumuua ni ngumu mpaka umpatie sehem yake dhaifu.
Vita ya majimaji,wale walopakwa dawa wakaambiwa wakipigwa shaba na mjerumani zitageuka maji,wajerumani wakawa wanajipigia shaba.360 scopeMaji yapi bro.
kwahiyo baadhi ya dawa unatengenezaHapana sema tu naujuzi na mambo hayo si unajua mtoto wa nyoka ni nyoka..
Kaka mi ninavyo vyote nisaidieni namna ya kuondokana navyo wakuu.Kidono ni Dawa ambayo imetengenezwa kwa mchanganyiko wa vitu mbalimbali (sitavitaja hapa) . Inaweza kukukinga na kitu chenyekuweza kujeruhi eg. Upanga, kisu, rungu, fimbo, chupa n.k.
Kidono kimetofautiana kidogo. Kuna ambacho unachanjwa kwa wembe au Majani makali na Kidono cha kunywa na soda. Ukichanjwa kwa wembe ni wembe pekee utakao weza kukukata lkn ukichanjwa kwa kutumia jani huwezi kujeruhiwa na kitu.
Wanakuchanja ukiwa umekalia baadhi ya vitu vinavyoweza kjeruhi. Pia ukipata kilicho imara hata risasi haiingii mwilini.
KINKUTI.
Hii ni dawa inayoweza kukupatia nguvu za ziada katika kupambana. Ukichanja kinkuti unauwezo wa kuumka mwili wako na ukawa unauwezo wa kupiga hata wanajeshi 100. Hua hakituliziki kirahisi.
MASHARITI YAKE.
Ukiwa na kidono ukijikata au kujipiga na kitu utaumia. Pia ukimruhusu mtu akupige utaumia.
KINKUTI kinafanya kazi mpaka ukiwa na hasira za kuchokozwa ukichokza basi hakifanyi kazi.
Vyote hivyo vinapatikana Kigoma na Congo
Shunie habari yako, baada stori kukata nakuona unazurula kila mahala kupata mbili tatukwahiyo baadhi ya dawa unatengeneza
bora nimekuona mbona sioni story mpya ya steve au kaifutaShunie habari yako, baada stori kukata nakuona unazurula kila mahala kupata mbili tatu
Khaaabora nimekuona mbona sioni story mpya ya steve au kaifuta
mi nilikuwa sijui mkuu Ha ha mkuu mayonvu.duh Enzi hizo mitaani ya kalinzI mkabogo kinazi au tusememe manyovu kwa ujumla Vijana wa huko walitisha sana kwa hayo mambo
mbona kila nikiingia entartainment sioni hata sielewiKhaaa![]()
![]()
mi nilikuwa sijui mkuu
Niliacha kufuatilia ili ziwe nyingi nyingi
but why mondrayNdio naweza nyingi tu. Ila sipo interested in uganga.
Uko jukwaa la matangazo asee na ameshatupia sehemu ya nne na ya tano, hafu subscribe mkuumbona kila nikiingia entartainment sioni hata sielewi
Aisee jukwaa la matangazo tena unafanya nn huyu steveUko jukwaa la matangazo asee na ameshatupia sehemu ya nne na ya tano, hafu subscribe mkuu
Dah! Amakweli hii nayo ni taalumaKidono ni Dawa ambayo imetengenezwa kwa mchanganyiko wa vitu mbalimbali (sitavitaja hapa) . Inaweza kukukinga na kitu chenyekuweza kujeruhi eg. Upanga, kisu, rungu, fimbo, chupa n.k.