Mr Antidote
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 955
- 1,314
Kidono + Kinkuti = Immortal
Ukhuty anafahamu kuwa unajua ugagula?Hapana sema tu naujuzi na mambo hayo si unajua mtoto wa nyoka ni nyoka..
Hiii kitu inatofautiana na jamiii na jamiii katika majina.Kidono ni Dawa ambayo imetengenezwa kwa mchanganyiko wa vitu mbalimbali (sitavitaja hapa) . Inaweza kukukinga na kitu chenyekuweza kujeruhi eg. Upanga, kisu, rungu, fimbo, chupa n.k.
Kidono kimetofautiana kidogo. Kuna ambacho unachanjwa kwa wembe au Majani makali na Kidono cha kunywa na soda. Ukichanjwa kwa wembe ni wembe pekee utakao weza kukukata lkn ukichanjwa kwa kutumia jani huwezi kujeruhiwa na kitu.
Wanakuchanja ukiwa umekalia baadhi ya vitu vinavyoweza kjeruhi. Pia ukipata kilicho imara hata risasi haiingii mwilini.
KINKUTI.
Hii ni dawa inayoweza kukupatia nguvu za ziada katika kupambana. Ukichanja kinkuti unauwezo wa kuumka mwili wako na ukawa unauwezo wa kupiga hata wanajeshi 100. Hua hakituliziki kirahisi.
MASHARITI YAKE.
Ukiwa na kidono ukijikata au kujipiga na kitu utaumia. Pia ukimruhusu mtu akupige utaumia.
KINKUTI kinafanya kazi mpaka ukiwa na hasira za kuchokozwa ukichokza basi hakifanyi kazi.
Vyote hivyo vinapatikana Kigoma na Congo
Yeah, inategemea na manuizi yaliyo fanywa na mtaalam wako.Mkuu kidono ni nzuri
Kwa mfano nikiwa vitani na nimechanjia risasi haitaingia na nitaipataje.!?
Hivi havitumiki hapa kwa sababu kwanza ni hiari, pili ni mchezo, tatu ni taarifaKina Matumla wangekuwa hatari sana, ukute Cheka ana Muku na Matumla ana Kinkuti, Tyson angesubiri.

Tanga zipo inaitwa MUKUNtaipatataje hii??
Naitaka hii mkuu,uko tanga??Tanga zipo inaitwa MUKU
Ilikuwepo sana.Dah kipindi kile cha Ukoloni hii sayansi haikuwepo mbona tumenyanyasika kwa mababu zetu kufungwa minyororo kirahisi na kupelekwa utumwani!!?
Ubaya wa hizi ishu ni kuwa, ukipandwa na hasira, zinakuwa hasira haswa, hau shikiki wala kuamulika wala husikizi kitu hadi lengo litimieKaka mi ninavyo vyote nisaidieni namna ya kuondokana navyo wakuu.
Sio siri hua unafikia wakati mie najiogopa aseee, hua nikifika ugenini najikuta nakua mnyonge, sijichanganyi mahala panapoweza kunipa changamoto, yamenifanywa nikaachishwa mafunzo ya jeshi nateseka sana
Yeah mkuuu.Hadithia mkuu.
Ila ujue TANGA n KIGOMA hatuna tofauti
Yeah hapo hata upigwe na nin huachii mtu, ukipiga kabali hadi unaua. Baba hiii kitu nilikataa fanyiwa, coz nataka niishi natural, nilipewa ofa kufanyiwa freee nilivyo kuwa napeleleza na kuona ishu za upande wa pili zilivyo, wakataka wafanye noooma.Huo ndio ubaya wake.
Kuna ile ukichukia unaumka halafu miguu inatitia ardhini mbaya sana hiyo unaweza kuta umeua watu wote.
Haha unaitaka mkuu, siliasi????Naitaka hii mkuu,uko tanga??
kwa nn haupo interested na uganga wkt unajuaBut what?
Kwanini sipo interested in uganga wakati najua au kwanini ninajua hivyo vitu?
Mkuu mimi nimeshuhudia, kusimuliwa pia kufundishwa hizo mambo sometimes ni mbaya sanah hasa ukizidisha aina ya dawa. Kuna zingine hutakiwi kukaa sehem zenye watu ikiwa full moon maana wengine hubadurika na kua viumbe vya ajabu.
Huo ndio ubaya wake.
Kuna ile ukichukia unaumka halafu miguu inatitia ardhini mbaya sana hiyo unaweza kuta umeua watu wote.
Umefanyiwa kidono?Mm situmii kinkuti kabisa na aliyenielekeza alikataa kunipa hiyo kitu kabisa. Ila kidono haina madhara.
NdioUmefanyiwa kidono?