Kibongo bongo iPhone ni taashira ya hadhi au?

Kibongo bongo iPhone ni taashira ya hadhi au?

Mimi sijaona kwamba IQ yako ni ndogo,ila ukiwa kama mwanaume,achana na dhana kwamba iphone inakupa status yoyote.labda kama uko below 18yrs.hii ni simu tu,itabaki kuwa hivyo,unaweza toa ktk daladala iphone x,demu uliekaa naye pembeni akatoa x na note 8 wakati huo huo.

Ndio maana wabishi wameenda mbali zaidi,wao wana satelite phone za milii 15 na zaidi.

Hilo satphone umtishie nalo nan watu watajua n radio call au watasema jama ana act series ya narcos au Mambo ya ugaidi kitu apple kwisha habari
 
Hilo satphone umtishie nalo nan watu watajua n radio call au watasema jama ana act series ya narcos au Mambo ya ugaidi kitu apple kwisha habari
Ndio status za watu wabishi sasa.lengo ubeze afu umnyodoe.kumbe anatembea na gari kiunoni.
 
Ndio status za watu wabishi sasa.lengo ubeze afu umnyodoe.kumbe anatembea na gari kiunoni.

IST au .? Mana mliozoea gar usede halafu za mwaka 2004 na 1998 mnajionaga na nyie watu kumbe wala moshi wa magari yaliofutwa ulimwengu wa 1
 
Hatuko kwenye wavelengths sawa.

Mimi nazungumzia uzoefu wa Sprint na Verizon wao wanazungumzia sijui mavitu gani huko.

Haki ya mungu kama AT&T wanagawa simu bur
Hatuko kwenye wavelengths sawa.

Mimi nazungumzia uzoefu wa Sprint na Verizon wao wanazungumzia sijui mavitu gani huko.

Haki ya mungu kama AT&T wanagawa simu bure mbona ningekuwa nnazo hata 100....
Europe competition ya kuuza simu ni cut throat,providers wako tayari wakupe bure lakini wakukamate kwenye long term contract
 
Natumia wereva J8 ila nikipata fedha ya kunitosha nanunua iPhone. Hata Samsung ni km wereva tu hakuna jipya
 
Hakuna kitu kizuri kama kukonga moyo wako kwenye maisha, kila mtu anakitu ambacho nafsi yake inataman kupata, wapo ambao wanawaza kujenga, wengine gari na wengine iPhone, sasa huwezi ukamjudge mtu eti kanunua iPhone ni limbukeni, hapana kafata hitaji la nafsi yake. Kwahiyo hata mtu awe na milion 2 na kaenda kununua sim ya 1.9 million kabaki na laki moja ni sawa tu roho yake imeridhika sasa shida ipo kwa watu wanaoishi kwa mawazo ya watu. Konga nyoyo life is too short
 
Unaona sasa...

Hakuna carrier atakayekupa simu iliyo sim-free na iliyo unlocked.

Eti kwamba we Ngabu chukua hii iPhone X isiyo na sim, isiyo locked, na inayoweza kutumika popote duniani kwa carrier yoyote yule kwa sababu tu nina FaICO score ya 730.

Hakuna kitu kama hicho.

Ukitaka simu iliyo sim-free...unlocked na iliyo compatible na mitandao mingi ya kimataifa ni lazima ulipe tu toka mfukoni.

Carrier wako nani?

Labda za tiGO na Voda wanazogawa kwa celebrities.
 
IST au .? Mana mliozoea gar usede halafu za mwaka 2004 na 1998 mnajionaga na nyie watu kumbe wala moshi wa magari yaliofutwa ulimwengu wa 1
Tz ni serikali pekee yenye uwezo wa kununua gari jipya.

Wengine ni 2nd 3rd na 4th generation huko.
 
Europe competition ya kuuza simu ni cut throat,providers wako tayari wakupe bure lakini wakukamate kwenye long term contract

Well, that explains it then.

But I also had a feeling that there was a catch somewhere and voila..you said it: the contract.

The game is different in the US.

I don't know of any carrier who gives out newly released phones for free. Do you know any [in the US]?

Halafu mambo ya long term contract US siku hizi hayapo na ndo maana sim-free factory unlocked ni dili....

Watu hawaoni haja ya kuwa tied na carrier mmoja kwa miaka.

Niko na Verizon ukinitibua naenda zangu T-Mobile najiunga na BYOD plan...unlimited data, minutes, etc.

BYOD=bring your own device...na namba yako inabaki kuwa ileile.

More freedom for the consumer.
 
nilishangaa kumuona boss wangu mchina,pamoja na utajiri wa karibia tirion 5 za kitanzania anazomiliki lakini anatumia nokia ile ya tochi
kilichokushangaza ?....acheni ulimbuken...everybody has his own priorities...for the time being boss wenu amefocus kwene kuwatumikisha ninyi(na hii ndio priority yake ya kwanza) ili azid kuzidisha hayo mahela uliyosema na sio kitu kingine...next time usishangae learn somwthing ne out of it...ila kama unaona haifai ho get a kitoch and you will be a billionaire like him....
 
Cheap is Expensive & Expensive is cheap
Tecno ni cheap ila maudhi yake ni expensive,!
Iphone ni expensive ila maudhi yake ni cheap! Kwa. Vichwa maji a.k.a Vilaza hapa namaanisha ukinunua Tecno ukaishi nayo miaka 3 basi upewe ballon d'or ya kumiliki Tecno kwa muda mrefu coz hapo katikati utaifanyia matengenezo yatakayozidi gharama ya Iphone mpya ambayo inaweza kuishi over 3 years bila matatizo ya aina yoyote! Hapo ndo utajua Cheap is Expensive & Expensive is Cheap
NB: karibuni kwenye jukwaa la wazee wa kubeti, nabeti ili ninunue iphone 6s+ kwa sasa nina 5s niliinunua kwa mtu ina mwaka wa 3 huu
 
Kutumia simu sio mafanikio, kila mmoja ana chaguo lake. Wako wanaopenda iphone, wako wanaopenda Samsung na wako wanaopenda Nokia kama Chief Mkwawa.
Mkuu kisu cha ngariba umegusa penyewe. Mimi mwenyewe napambana na hali yangu nataka nimiliki nokia 9. Tena kuanzia mimi, my wife, my uncle, mke wake, watoto wake yaani nikiagiza naagiza kama 8 hivi. Napenda sana nokia tangu six button
 
Kwanini iPhone 5 na siyo 8?
Ishu ni iphone yenye logo na ios os.kama anaweza kutoa laki tatu kwa simu pekee,mtoe ktk kundi la masikini.anaweza kuacha mengine akanunua hiyo 8s kama kaamua kuwa nayo.

Juzi tecno wameleta simu mpya,inauzwa laki 8 kuna mtu ataacha samsung kwa bei hiyo na iphone kibao za bei hiyo.atabeba hii tecno.

Unajifunza kitu gani ktk hilo??
 
Mkuu uliposema “Hivi hapa bongo Iphone ni ishara ya hadhi ya juu?” Una maanisha nini na neno ‘hapa’ ili hali unadai hauko hapa nchini? Au una maana (hapa=Jamiiforums) naweza sema hapana kwani wanaokuomba uwaletee si wanajamiiforums
Kajisahau kuwa hayupo bongo yupo mambefele
 
Back
Top Bottom