Kibongo bongo iPhone ni taashira ya hadhi au?

Kibongo bongo iPhone ni taashira ya hadhi au?

Unasafiri sana kimataifa wewe?
SIMU KUA NA BAND ZINAZOIFANYA ISHIKE MASAFA MENGI SIO HOJA KAMA ULIVYOMUULIZA MKUU HAPO JUU HATA XIAOMI ZINA BAND NYING TU KAMA IPHONE ILA WE JIULIZE SWA LI MOJA TU.
KWA NINI MADEM ZENU MNAWAPA TINDA AINA YA APPLE PALE MAPENZI YANAPOKUA YAKO HOT AU UNAPOANZA MAHUSIANO SI MNAPOTAKA KUTENGANA ?
 
Haya nasubiri
Nilisafiri umbali mrefu sana nikiwa na lumia 950xl sasa ikatokea kua pembeni yangu niko na mwanamke mrembo sana kwa kutaka misifa nikaamua kumuomba anisevie namba yake ya simu kwa kumuonyesha zile tiles za lumia zinavyocheza cheza .Akawa anashangaaa anaanza kuuliza kwani.hii simu ni aina gani kaka? KUMBE NINA IPHONE 5imetulia tu mfukoni unajua nilipoitoa
 
Khaaa
 
de445ac95a8fc95bb6031c9da83da7c1.jpg
 
wabongo hatuzi utilize smartphone
wanatumia kwa 20-30%
watz hawajui kutumia hata google map lkn nae ana smartphone kaz yake whatsapp,insta,facebook
 
KUITOA TU ETI KAKA MI NAHISI NIMEIPENDA HIO SIMU NDOGO ZAIDI KULIKO HII YA MWANZO NIKAMWAMBIA USIJALI MAMA HII NDIO IPHONE MAMA . NIKASHANGAAA GHAFLA.TU MAHABA YANAPANDA PALE PALE PIGA KELELE TEAM KAAPLE WOTEEE
Afu utakuta wewe ni mwanaume una miaka zaidi ya 25.

Yesu wangu.
 
Sasa sim free ya nini? Popote napokwenda labda to the moon,hiyo No itafanya kazi.Enzi za kubadilibadili Sim haziko tena-hii no I have had it for many years-ni almost ID yangu-its not kama niko Bongo you just chuck away a sim card and look for another one
Hio conversation ndio maana kule kule maana nilijua haitakwisha kwasababu kuna watu wanaamini wakijuao wao ndio utaratibu dunia nzima.
Hizo simu za bure nilikuwa nachukua then 'nazipoteza' aka nazituma bongo watu wanatumia, sasa nashangaa unlocked kuonekana big deal!
Back then inakuwa na insurance, na claim imepotea kumbe nimeituma bongo napewa ingine mwisho wakaniambia ukipoteza tena hupati simu ingine.
 
wabongo hatuzi utilize smartphone
wanatumia kwa 20-30%
watz hawajui kutumia hata google map lkn nae ana smartphone kaz yake whatsapp,insta,facebook

Hao wasiojua tumia google map hua wananikera sana
 
Afu utakuta wewe ni mwanaume una miaka zaidi ya 25.

Yesu wangu.
Sio nahisi ukweli ndio huo mimi ni mme na hio user name ni yangu na sahihi kabisa sasa unahisi nini ukweli utabaki pale pale tu ndugu yangu .Iphone iko vizuri sana japo kwa sasa natumia xiaomi note 4ila sihitaji matusi yako wala kunidhihaki ila moyoni utakua unajua nn kinaendelea
 
Back
Top Bottom