xiaomi ndio simu durable stylish na affordable kuliko iphoneNdo umeandika nini hapo?
xiaomi ndio simu durable stylish na affordable kuliko iphone![]()
Hakuna kitu kizuri kama kukonga moyo wako kwenye maisha, kila mtu anakitu ambacho nafsi yake inataman kupata, wapo ambao wanawaza kujenga, wengine gari na wengine iPhone, sasa huwezi ukamjudge mtu eti kanunua iPhone ni limbukeni, hapana kafata hitaji la nafsi yake. Kwahiyo hata mtu awe na milion 2 na kaenda kununua sim ya 1.9 million kabaki na laki moja ni sawa tu roho yake imeridhika sasa shida ipo kwa watu wanaoishi kwa mawazo ya watu. Konga nyoyo life is too short
Bado sikuelewi!xiaomi ndio simu durable stylish na affordable kuliko iphone![]()
fungua uzi wetu au anzisha madaxiaomi ndio simu durable stylish na affordable kuliko iphone![]()
Mimi natumia IPhone
Moja ya Faida ya IPhone siazimwi Charger.
Nilihama Samsung kwa kero ya kuazimana charger na team techno


Sio bongo ni duniani
Iphone ni aina ya simu zinazoitwa Highend smartphones. Kawaida company yao hawatoi simu za lower end. Mfano Huwezi kuta iphone inauzwa elfu themanini, laki moja, laki 2, tatu ama tano..Nianze na fasili kwanza maana wengi wenu nyie 'millennials' hamjui lugha. Iwe Kiswahili au Kiingereza, hamko vizuri kivile. Ni wababaishaji tu😀.
Taashira maana yake ni ishara/ au dalili. Naamini mnajua maana ya ishara na dalili.
Sasa kuna jambo nimeliona ambalo ningependa kusikia maoni ya wengine kulihusu.
Hivi hapa bongo iPhone ni ishara ya hadhi [ya juu]? Nauliza hivyo kwa sababu nimeshapigwa sana mizinga ya 'Ngabu naomba niletee iPhone basi...hata kama ni iPhone 5 au iPhone SE'.
Kwa nini iPhone kwa sana na si Samsung, LG, Motorola, au zinginezo?
View attachment 632283
Si ndio maana nakupenda, mambo ndio hayo bwana.
Si ndio maana nakupenda, mambo ndio hayo bwana.
Sio vizuri kurushana roho ujue!!!
Mimi natumia IPhone
Moja ya Faida ya IPhone siazimwi Charger.
Nilihama Samsung kwa kero ya kuazimana charger na team techno
