Kibongo bongo iPhone ni taashira ya hadhi au?

Kibongo bongo iPhone ni taashira ya hadhi au?

Well, that explains it then.

But I also had a feeling that there was a catch somewhere and voila..you said it: the contract.

The game is different in the US.

I don't know of any carrier who gives out newly released phones for free. Do you know any [in the US]?

Halafu mambo ya long term contract US siku hizi hayapo na ndo maana sim-free factory unlocked ni dili....

Watu hawaoni haja ya kuwa tied na carrier mmoja kwa miaka.

Niko na Verizon ukinitibua naenda zangu T-Mobile najiunga na BYOD plan...unlimited data, minutes, etc.

BYOD=bring your own device...na namba yako inabaki kuwa ileile.

More freedom for the consumer.
Contract yao wanakupa free phone with a package for $60 per month (mfano) then unatakiwa utumie hio simu na package for 18 or 24 months,baada ya hapo unaweza kufanya chochote.
Sim-free zipo kama uko tayari kutoa $$$ kulingana na bei.
 
Hayo ya contract nayajua vyema sana.

Nimetumia Verizon Wireless kwa muda mrefu na kila baada ya miaka miwili walikuwa wanaku entice u-sign contract mpya ya miaka mingine miwili na ukifanya hivyo watakupa simu bure [ambayo ukweli wa mambo si bure...iko subsidized tu]. Walinipa Blackberries mpya mbili...ukweli ni kwamba hawakunipa bure hivi hivi tu...hela yao ilirudi kwa njia na mbinu tofauti tofauti.

Kwa hiyo hata mimi nayajua vyema kabisa hayo mambo ya ma contract ya simu za mikononi.

Lakini kwa US mambo si hivyo tena. Watu hawana kabisa mpango wa ku sign ma contract ya simu zilizofungwa [locked].

Uzuri wa sim-free factory unlocked ni kwamba unakuwa hauko tied na kampuni yoyote ile. Pia zinatumika dunia nzima.

Kwa mtu anayesafiri sana kimataifa kama mimi hizo ndo zinanifaa.

Halafu huyo niliyemjibu alikuwa anazungumzia sijui mambo ya roaming charges.....nimestukia hasafiri sana kimataifa.

Hivi kabisa unadhani mtu anayetumia Verizon au Sprint atakuja Tanzania na kuendelea kutumia namba hiyo hiyo ya US ambapo kila sekunde kuna roaming charges?

Kwa nini uingie gharama za kipumbavu namna hiyo wakati unachoweza kufanya ni kutoa tu sim iliyopo [kama una unlocked device] na kupachika ya local carrier ya mahali ulipo? Doesn't that make economic sense to you?

Hapa ninajua ninachokiongelea na wala sibahatishi. Nimeshachajiwa roaming charges za kimataifa na Verizon mpaka nikachukia nikaachana nao kabisa.

Soma hicho kipande hapo chini uone jinsi mambo ya simu za mikataba yalivyobadilika US....
http://www.slate.com/blogs/moneybox...less_carriers_are_phasing_two_year_plans.html
So Long, Cellphone Contracts. You Won’t Be Missed.

Earlier this month Verizon dealt a critical blow to the cruel tyranny of smartphone contract plans; on Monday so did Sprint. With T-Mobile eliminating the contract option long ago as part of its “uncarrier” campaign, AT&T has quickly become the only major wireless carrier in the U.S. to still offer multiyear contracts with subsidized phones, and even it is making those plans harder to obtain.

Don’t expect to see many tears. As long as contract plans have been the norm in the wireless industry, they’ve also been the bane of consumers—particuarly those who care about having the latest device. Phone contracts sign users into long-term agreements (typically two years) and keep them there with the threat of hefty early-termination fees. Want the new iPhone when it comes out only halfway through your existing carrier contract? Pay up, or tough luck.

So, are these new contract-free options better? The not-really-helpful answer is that it depends. If you’re the type of person who prioritizes having a shiny new device, then you probably stand to benefit from going the contract-free route. Under the “iPhone Forever” promotion that Sprint announced on Monday, for example, customers are eligible to upgrade any time they “don’t have the latest iPhone.” On the other hand, if you, like me, are happy to hang onto your dated smartphone for its two-year term, going contract-free might ultimately increase your spending. That’s because with most of these new plans, the cost of your freedom from a two-year contract is the full price of your device—either paid all at once upfront, or tacked onto your bill in monthly installments.

Whether ditching a two-year contract is cheaper or more expensive in the long run will depend on your particular plan and device. Consider Verizon. Under the company’s new pricing plan, an iPhone 6 user with 3GB of data would get a pretax monthly bill of about $92—$45 for data, $20 for the smartphone connection, and $27.08 for the monthly device payment—and can upgrade any time once she’s paid the device off. By contrast, with Verizon’s older “more everything” plan, that same iPhone 6 user would have paid $90 a month pretax ($50 for data plus $40 for the smartphone connection), as well as $199.99 for the subsidized device and $40 to either activate or upgrade. In this case, the new pricing model is cheaper because the subsidized device cost was essentially built into your monthly smartphone connection charges under the two-year contract. Still, there’s no guarantee that you’ll always save money by going contract-free.

Nianze na fasili kwanza maana wengi wenu nyie 'millennials' hamjui lugha. Iwe Kiswahili au Kiingereza, hamko vizuri kivile. Ni wababaishaji tu😀.

Taashira maana yake ni ishara/ au dalili. Naamini mnajua maana ya ishara na dalili.

Sasa kuna jambo nimeliona ambalo ningependa kusikia maoni ya wengine kulihusu.

Hivi hapa bongo iPhone ni ishara ya hadhi [ya juu]? Nauliza hivyo kwa sababu nimeshapigwa sana mizinga ya 'Ngabu naomba niletee iPhone basi...hata kama ni iPhone 5 au iPhone SE'.

Kwa nini iPhone kwa sana na si Samsung, LG, Motorola, au zinginezo?

View attachment 632283

Inategemea nani anakupiga mzinga. I will always have Iphone kwa sababu I just like features zake na kila kitu.... and never status.
 
Nianze na fasili kwanza maana wengi wenu nyie 'millennials' hamjui lugha. Iwe Kiswahili au Kiingereza, hamko vizuri kivile. Ni wababaishaji tu😀.

Taashira maana yake ni ishara/ au dalili. Naamini mnajua maana ya ishara na dalili.

Sasa kuna jambo nimeliona ambalo ningependa kusikia maoni ya wengine kulihusu.

Hivi hapa bongo iPhone ni ishara ya hadhi [ya juu]? Nauliza hivyo kwa sababu nimeshapigwa sana mizinga ya 'Ngabu naomba niletee iPhone basi...hata kama ni iPhone 5 au iPhone SE'.

Kwa nini iPhone kwa sana na si Samsung, LG, Motorola, au zinginezo?

View attachment 632283

Kibongobongo hasa uswaz wakikuona na iphone hata ya mchina basi wanakuona uko vizuri sijui uwa wanafikiri ina nini cha ziada
 
Inategemea wewe unachukuliaje. Mwingine kutoa £800 kununua simu halafu atoe tena £50 za huduma ya kawaida anaona sio. Kwahio anaamua achukue free phone alipe hio £50 ya huduma monthly, hio £800 afanyie vitu vingine.
Nyani Ngabu
 
Sio bongo tu..ni jinsi iphone walivyo jibrand hata target market yao haikuwa watu wa level ya chini.
 
Ungeuambia kwanza huko ulipo ukionekana unatumia Iphone unaonekana mtu wa aina gani na simu gani ukitumia unaonekana una hadhi ya juu au ya chini
 
USIKUBARI KUENDEKEZA UMASKINI, HAUNA HURUMA NA WEWE ILA WEWE NDO UNAPASWA UJIONEE HURUMA, NDO MANA UNAWEZA UZALIWE MASKINI, UKUE MASKINI NA UFE MASKINI.

Swala ni kufurahia maisha haijalish una njaa au laa!, binafsi nimpenz sana wa NOKIA, nikikuambia nilisha nunua simu ya BATAN online mpaka naipata ilinigharimu lak 6, ilikua Nokia E6, mpk jamaa yng akanishangaa alipoiona kwa sbb kwa kpnd kama hiki laki sita ningepata smartphone nzuri tu, Lakn mimi furaha yng ni kupata ninachokipenda sio kinachopendwa na weng. Nikaja kununua MICROSOFT LUMIA 950 xl, kwa 1.2M, sio kwamba nina uchumi mzuri au hiyo hela ninawezaipata ndan ya wiki, la hasha. Ila Siwez kukubali kukosa vyote, yan nikose pesa na furaha piaa???, Aaa hapo tutasameheana. Kwaio kama wewe unatumia tecno na unafuraha nayo, hio inatosha ila kama unatumia kwa ubahiri wako pole yako, mimi ni Mpare ila ujinga huo sina. BTW ninacho amini ni mstari mwembamba sana unaomtenganisha Mbahili na mchoyo au mbinafsi.

MWISHO: FURAHIA MAISHA SASA, HUNA MKATABA NA BWANA WEWE. Shenz typ.
 
Iphone Iphone tuuu..acha tulonge weeee ila ukiona Iphone tu lazima kanafsi ka bump bump....

Swali la chap chap hapoooo...mara ya mwisho umekula tunda la la Apple lini? (team vi apple nijibuni) maana nyie mnaturingishia vicm vyenu akat kila siku tunawaona mnakula maembe na machungwa.

Tumia Iphone na kila jioni ukirud nyumban Beba mfuko wa ma Apple..(mamaeeee) ukiweza hlo zoez kipind chote cha matumiz yako ya Iphone bhas kweli ww sio wa ki spot spot.

Team Iphone wengi ukweli n kwamba (hawajazinunua) either kapewa hela na baba/mama/dada/kaka/baby/darling nk....walionunua Iphone kwa cash hata ktk kuchangia hii Thread tu Utamjua.

Sasa angalia wanaotumia Iphone ambazo hawajatoa cash zao 100% pitia comment zao..utawapenda yani.

Wanaboaaaaaaaaaaaaa....

(ILa iphone tamu bana kama kale ka tunda pale back)

Tuache kula maembe...Team itel oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee...Itel juuuuuuuuu juuuu zaidi Oking juuuuuu Juu zaid,vodafone juuuu juuu zaidi.

Iphone shndwa na ulegeee pepo MUFILISI
 
USIKUBARI KUENDEKEZA UMASKINI, HAUNA HURUMA NA WEWE ILA WEWE NDO UNAPASWA UJIONEE HURUMA, NDO MANA UNAWEZA UZALIWE MASKINI, UKUE MASKINI NA UFE MASKINI.

Swala ni kufurahia maisha haijalish una njaa au laa!, binafsi nimpenz sana wa NOKIA, nikikuambia nilisha nunua simu ya BATAN online mpaka naipata ilinigharimu lak 6, ilikua Nokia E6, mpk jamaa yng akanishangaa alipoiona kwa sbb kwa kpnd kama hiki laki sita ningepata smartphone nzuri tu, Lakn mimi furaha yng ni kupata ninachokipenda sio kinachopendwa na weng. Nikaja kununua MICROSOFT LUMIA 950 xl, kwa 1.2M, sio kwamba nina uchumi mzuri au hiyo hela ninawezaipata ndan ya wiki, la hasha. Ila Siwez kukubali kukosa vyote, yan nikose pesa na furaha piaa???, Aaa hapo tutasameheana. Kwaio kama wewe unatumia tecno na unafuraha nayo, hio inatosha ila kama unatumia kwa ubahiri wako pole yako, mimi ni Mpare ila ujinga huo sina. BTW ninacho amini ni mstari mwembamba sana unaomtenganisha Mbahili na mchoyo au mbinafsi.

MWISHO: FURAHIA MAISHA SASA, HUNA MKATABA NA BWANA WEWE. Shenz typ.
Kama namekuelewa hiviiii
 
Mimi natumia IPhone
Moja ya Faida ya IPhone siazimwi Charger.
Nilihama Samsung kwa kero ya kuazimana charger na team techno

Hata mim hili la charger nafurahia saaana yaaan mtu akitaka kuniomba charger akakuta natumia iphone huyo anaondoka...
 
ebhanaaa daaah sikujua, kumbe wabongo mnaichukulia iphone kua mali kiasi iki? leo ndio nimejua aloo, binafsi siwezagi kutumia simu nyingine tofauti na iphone na nna yachukulia ya kawaida tu, yaani sioni ata ni kitu kikubwa sanaa, na nna kipato cha kawaida tu.
 
Nianze na fasili kwanza maana wengi wenu nyie 'millennials' hamjui lugha. Iwe Kiswahili au Kiingereza, hamko vizuri kivile. Ni wababaishaji tu😀.

Taashira maana yake ni ishara/ au dalili. Naamini mnajua maana ya ishara na dalili.

Sasa kuna jambo nimeliona ambalo ningependa kusikia maoni ya wengine kulihusu.

Hivi hapa bongo iPhone ni ishara ya hadhi [ya juu]? Nauliza hivyo kwa sababu nimeshapigwa sana mizinga ya 'Ngabu naomba niletee iPhone basi...hata kama ni iPhone 5 au iPhone SE'.

Kwa nini iPhone kwa sana na si Samsung, LG, Motorola, au zinginezo?

View attachment 632283

Siyo hapa tu, ata nchi za watu iphone ni simu ya bei juu mfano china bila kuwa na iphone unaonekana mtu wa kawaida sana
 
Cheap is Expensive & Expensive is cheap
Tecno ni cheap ila maudhi yake ni expensive,!
Iphone ni expensive ila maudhi yake ni cheap! Kwa. Vichwa maji a.k.a Vilaza hapa namaanisha ukinunua Tecno ukaishi nayo miaka 3 basi upewe ballon d'or ya kumiliki Tecno kwa muda mrefu coz hapo katikati utaifanyia matengenezo yatakayozidi gharama ya Iphone mpya ambayo inaweza kuishi over 3 years bila matatizo ya aina yoyote! Hapo ndo utajua Cheap is Expensive & Expensive is Cheap
NB: karibuni kwenye jukwaa la wazee wa kubeti, nabeti ili ninunue iphone 6s+ kwa sasa nina 5s niliinunua kwa mtu ina mwaka wa 3 huu
mzee nina iphone 5s nlinunua sikumingi sana na sijui spana wala kustakstak....nna kitecno pemben nimenunua juz kinastakstak kama kina kifafa..kama mtu amewah kutumia hiz platform, i mean ios na adroid anajua nnachosema......
 
Ukiwa na Mercedes Benz kwny harusi unaenda ku block Gari ya Bwanaharusi Halafu unajificha kwny Kundi la wasiokujua, utaskia mwny namba T 665 DCK Aina ya gari ni Mercdes Benz anaombwa atoke Nje kuna Tatizo kidogo sasa hapo ndo unaanza kutoka kwa kuzunguka mbele pale kwny keki huku unarekebisha Funguo kwny lux ya Mkanda kila Mtu a kutambue

Sasa hapo waliokuja harusini kwa Uber lazima wakupige madongo ,

Masikini wengi wana roho mbaya japo Sijui Mahusiano ya roho mbaya na Umaskini wetu

Daaaaah nmecheka saana aiseee
Hahahahaha
 
Yani kitendo cha kuianzisha thread hapa JF tayari ushaipa status ya juu kabisa,kwakweli iPhone mahaba yake sio ya nchi hii kwanza lile tunda pale nyuma wacha weeee,kingine ukishika mahala pako na watu wengi tayar watakupa status yako kua we sio mtu wa sport sport kingine ukianza tumia iPhone huwez acha ina levya zaidi ya cocaine TEAMAPPLE. Mahaba to the moon and back.
X baby

Umeona tunda hilo?

20171119_083102.jpg
 
Ni mapenzi na kitu alafu sio kwamba anakipato kuna wengine tulinunuliwa na ndugu zetu kama zawadi, ila upande wa kitu kuwa hali ya juu au chini ni kutokana na kinyowakaa watu kwenye akili yao au mapokezi ya akili zao, hapa nipo na iphone 7plus na sina hata 10,000/= japo mtu akifika bei nambwagia kwa 1,400,000/= tu ili nitafute iphone ya pesa kidogo pesa nyingine nifanye yangu, naipenda I phone kutokana na mazoeya ya matumizi ya simu niliyopitia
 
Back
Top Bottom