Kibongo bongo iPhone ni taashira ya hadhi au?

Kibongo bongo iPhone ni taashira ya hadhi au?

Kuna mtu hata asevu mwaka mzima hawezi kutimiza hiyo 1.8 m, mfano mtu mwenye kipato net laki 4, hiyo ni basic salary ya laki 5 na nusu.

Unadhani anaweza ku-afford kusave 150,000 kwa mwezi ili aje anunue simu ya 1.8M?

Na hao ndo waliojaa humu JF (50%+ members humu wana kipato cha gross chini ya 1M).

Hiyo ela ya mboga 1m naandika hapa wameingiza siku ya j3 tu within masaa 2 ukitaka mtafute ontario akuambie vijana wake wanafanya nin mda huu watu kwa siku wanaingiza mapesa kibao we endlea kufikiria stori za Salary
 
Mimi natumia IPhone
Moja ya Faida ya IPhone siazimwi Charger.
Nilihama Samsung kwa kero ya kuazimana charger na team techno
hahahahaha na mimi ntahamia huko mkuu maana chaja yangu ishakuwa kero sasa
 
Sababu tunapenda sana maigizo.wengi wetu tumekuwa na tabia ya kutowatilia maanani watu wenye vitu flani.

Unaweza azima gari ukaenda kusumbua watu road.kumbe hujui hata bima yake ni aina gani.

Unaweza kuwa na iphone ya 2mill harafu unakodi bodaboda kwenda misele ambayo ni bei hiyo hiyo.

Kifupi hii ni mauzo kwa watu wenye mashaka na vipato vyao,ila ambaye amemaliza anaona ujinga tu.

Hizi standard sijui mnatoaga wap kwan kua na sim ya mil 2 na ukapanda boda boda shida iko wapi Utanzania n mzigo sana Ulitaka wenye magari ndo wawe na iphone mbona kwenye manual ya apple uki unbox hakuna mahala wanasema usitumie usafir flan na shida yenu mnataka mtu akiwa na ela ajioneshe
 
Hiyo ela ya mboga 1m naandika hapa wameingiza siku ya j3 tu within masaa 2 ukitaka mtafute ontario akuambie vijana wake wanafanya nin mda huu watu kwa siku wanaingiza mapesa kibao we endlea kufikiria stori za Salary

What is the Pareto 80 20 rule?

The principle was suggested by management thinker Joseph M. Juran. It was named after the Italian economist Vilfredo Pareto, who observed that 80% of income in Italy was received by 20% of the Italian population. The assumption is that most of the results in any situation are determined by a small number of causes.

Mkuu hii ina-apply kila mahali, hatuwezi kuwa wote wa kipato sawa.
 
Hahaaa what?

Carrier gani anatoa simu bure kwa wenye good credit?

I mean...a free iPhone X because you have good credit? Sounds too good to be true....anywho...who does that?

Niambie tafadhali....
Mimi mmojawapo nachukua simu bure,hata UK simu wanachukua bure wanakubana kwenye contract
 
Hizi standard sijui mnatoaga wap kwan kua na sim ya mil 2 na ukapanda boda boda shida iko wapi Utanzania n mzigo sana Ulitaka wenye magari ndo wawe na iphone mbona kwenye manual ya apple uki unbox hakuna mahala wanasema usitumie usafir flan na shida yenu mnataka mtu akiwa na ela ajioneshe
Wala hakuna ubaya kuwa na simu ya milioni 2 au 3 na kupanda bodaboda.

Hela si zako mwenyewe bana...sioni baya hapo.
 
Mimi mmojawapo nachukua simu bure,hata UK simu wanachukua bure wanakubana kwenye contract
Unaona sasa...

Hakuna carrier atakayekupa simu iliyo sim-free na iliyo unlocked.

Eti kwamba we Ngabu chukua hii iPhone X isiyo na sim, isiyo locked, na inayoweza kutumika popote duniani kwa carrier yoyote yule kwa sababu tu nina FaICO score ya 730.

Hakuna kitu kama hicho.

Ukitaka simu iliyo sim-free...unlocked na iliyo compatible na mitandao mingi ya kimataifa ni lazima ulipe tu toka mfukoni.

Carrier wako nani?
 
Kuna hela naisubiri sehemu niuze iPhone 7 Plus yangu niagize iPhone X.

Hello tomorrow.
 
hahahahaha na mimi ntahamia huko mkuu maana chaja yangu ishakuwa kero sasa

Karibu Mkuu!
Team techno wengi simu zao hazina Charger Sijui Kwanini ?
Mie Mtu akiomba nimuazime Charger naona Kama Mtu kaniazima Mswaki, spendi kabisa, un simu ya laki 9 Halafu huna charger ya elf 30
 
Karibu Mkuu!
Team techno wengi simu zao hazina Charger Sijui Kwanini ?
Mie Mtu akiomba nimuazime Charger naona Kama Mtu kaniazima Mswaki, spendi kabisa, un simu ya laki 9 Halafu huna charger ya elf 30
Hahahaa eti mswaki!,

Halafu kwenye manual za simu zinasema charge with respective charger.

brain is the beautiful part of the body.
 
Back
Top Bottom