General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,186
Mkuu Tablet si mzigo?Mafanikio ni kitu relative son,kama mtu katoka kwenye flipphone jana kapata iPhone leo anaweza kuona mafanikio.
Wakati watu tunazitafuta flipphone kwa sababu zinakaa na chaji wiki nzima, hayo mengine ya iPhone tutayafanya kwenye tablets na laptop.
Kwanini usiwe na sim ndogo na ka Samsung kakuperuzi JF?