Kibongo bongo: How to let ladies know you own a car?

funguo za gari..jpg
 
mmmh aise iyo kwa upande wangu ni kinyume kabisaa. yn nikupapatikie eti kisa nimeona umening'iniza ufunguo. haiingiagi kabisa.
 
hongera kwa msimamao wako.
ila kwa wadada wengine sio lazima azione funguo,kitendo tu cha kumwambia "samahani nitakupigia baadaye,nipo barabarani na-drive", ni kishawishi tosha cha kutoka nae.hili unalizungumziaje?.:eyebrows:
 
Ila kwa upande wa pili vijana wengi mikato yao kimavaz sikuiz ni modo, haijalish ni jinsi au kitambaa hence ukiweka mafunguo yako mzee daah hukai kwa raha. Wanavyosemaga lakin.
 
MK254
vipi vijana wa nairobi,nao wana tabia kama ya vijana wa dar?.naona siku hizi nai vijana wengi wanamiliki probox,yaani imekuwa ni kama gari la taifa kwa kenya.
1391436484_597279576_5-probox-on-sell-all-inclusive-new-car-Nairobi.jpg

Hahahaha!! wacha bana wee, maboy wa Nai hawatumii Probox, hizi huwa zinaletwa mjini na Wakikuyu wa kutoka vijijini wakizitumia kupiga hela na ndio maana zimejaa na kutuzingua mjini.

Hapo pa kumfanya demu ajue una gari kwa kunig'iniza ufunguo ni tabia ya vijana ma-hustler wa campus. Vidume kama sisi hatuna haja, kwa jinsi unavyotamba, unavyojirusha na kuagiza watu wapewe vitu na simu uliyonayo demu mwenyewe anajijazia aina ya gari ulionayo. Hafai kuhangaika akili kama una gari au la. Yaani ikatokea kwamba huna gari, atakushangaa sana ama adhani uliibiwa.
kui
 
Last edited by a moderator:

Hahaaaa!, ati adhani uliibiwa.....lol!
Hategemei kuwa huna gari, it's not even a question to say the least!, kuonesha onesha mafunguo ni backward thinking kusema kweli. Mimi najua there's MORE, to life than owning a car, ndo nasema Kidume kikijileta matawi mimi ntajifanya mti kabsaa!, ntamuuliza what kind of car you're drving cause am alergic to certain cars....lol!
 
Hahahaha!! wacha bana wee, maboy wa Nai hawatumii Probox, hizi huwa zinaletwa mjini na Wakikuyu wa kutoka vijijini wakizitumia kupiga hela na ndio maana zimejaa na kutuzingua mjini.

Hapo pa kumfanya demu ajue una gari kwa kunig'iniza ufunguo ni tabia ya vijana ma-hustler wa campus. Vidume kama sisi hatuna haja, kwa jinsi unavyotamba, unavyojirusha na kuagiza watu wapewe vitu na simu uliyonayo demu mwenyewe anajijazia aina ya gari ulionayo. Hafai kuhangaika akili kama una gari au la. Yaani ikatokea kwamba huna gari, atakushangaa sana ama adhani uliibiwa.
kui
you're very right bro,
material wise,real gentlemen dont tempt girls with only keys of the car they drive, indeed there is more than that.

hivi ilikuwaje mwana dada blogger Njoki Chege anawadharau ''machali'' wa nai wanao drive Subaru?.
Njoki Chege insults guys who drive blue Subaru Imprezzas- They are not real men.
 
dah...mara wanataka uwe na hela mara uwe na gar??sijui madem mtaamia kwa masela wa kipato cha chini mwaka gani..daaammmn
 
:lol::lol::lol::lol: hii mada nzuri sana kadoda, nimeipenda....
asante jestina.
ndio hivo tena,sisi tusio na magari hapa town,mademu wenye viwango kama wewe jestina na lara 1,tutaishia kuwaota tu.

tazama wewe mwenyewe hawa mabrazameni kwenye picha.:lol::lol:
attachment.php
 
Last edited by a moderator:
hongera kwa msimamao wako.
ila kwa wadada wengine sio lazima azione funguo,kitendo tu cha kumwambia "samahani nitakupigia baadaye,nipo barabarani na-drive", ni kishawishi tosha cha kutoka nae.hili unalizungumziaje?.:eyebrows:
vizuri kwa kuongelea wadada generally. naweza nkakuunga hoja yako kwa kutoa 90% kua wadada wa kileo ukizungumzia tu Gari anaona kua ayo ndo maisha badala ya kutongoza basi atakutongoza. bt nikiongelea kwa wale walio kwenye 10% iliyobaki Gari ni kitu ambacho ni minor sana, ninachoangalia ni kumkichwa kama kunastahili hekima ya Suleiman.
 
Hahahaha!! wacha bana wee, maboy wa Nai hawatumii Probox, hizi huwa zinaletwa mjini na Wakikuyu wa kutoka vijijini wakizitumia kupiga hela na ndio maana zimejaa na kutuzingua mjini.

Hapo pa kumfanya demu ajue una gari kwa kunig'iniza ufunguo ni tabia ya vijana ma-hustler wa campus. Vidume kama sisi hatuna haja, kwa jinsi unavyotamba, unavyojirusha na kuagiza watu wapewe vitu na simu uliyonayo demu mwenyewe anajijazia aina ya gari ulionayo. Hafai kuhangaika akili kama una gari au la. Yaani ikatokea kwamba huna gari, atakushangaa sana ama adhani uliibiwa.
kui

hahahaaaaa dah nimebaki tu nacheka.
 
Last edited by a moderator:
vizuri kwa kuongelea wadada generally. naweza nkakuunga hoja yako kwa kutoa 90% kua wadada wa kileo ukizungumzia tu Gari anaona kua ayo ndo maisha badala ya kutongoza basi atakutongoza. bt nikiongelea kwa wale walio kwenye 10% iliyobaki Gari ni kitu ambacho ni minor sana, ninachoangalia ni kumkichwa kama kunastahili hekima ya Suleiman.
asante kwa maoni yako,hakika nimeyapenda.

ila kuna swali moja niliuliza,mpaka sasa hakuna mdada aliyelijibu.nauliza tena,kwa mdada ili kumuonyesha mkaka kwamba yuko vizuri,amekuja na "dinga" yake mwenyewe,funguo mnahifadhi wapi.sisi wakaka ni kwenye suruari,nyinyi je?.:eyebrows:
 
hahahaaa sidhani kama walishindwa kukupa jibu! labda kama hukuuliza kwa style hii.
 
Back
Top Bottom