Kibonde aiponda tuzo ya Mo Ibrahimu

Akitangaza katika kipindi cha jahazi, mtangazaji Kibonde ameiponda tuzo ya Mo Ibrahimu inayotolewa kwa viongozi/marais wa Africa wanaofanya vzuri katika uongozi wao. Ameielezea tuzo hiyo kuwa ni ya kisiasa zaidi isiyo na tija.

Katika maelezo yake Kibonde anahoji kwa nini zitolewe fedha?kwa nini iwe ni kwa marais wa Africa na c Ulaya? Kwa nini pesa hizo zisingetolewa tu kwa Ngo's yeyote kusaidia maendeleo? Tuzo hiyo mwaka huu imetolewa kwa aliyekuwa rais wa visiwa vya Carpe Verde Bwana Pedro Verona.

Alitaka apewe vasco da gama aka jk aka ******!anafikiri ilo jopo liliokaa kumchagua huyo mtu ni vichwa maji kma yye!je anajua miaka miwili hakupatikana mwenye vigezo vya kupata hyo tuzo?
 
Akitangaza katika kipindi cha jahazi, mtangazaji Kibonde ameiponda tuzo ya Mo Ibrahimu inayotolewa kwa viongozi/marais wa Africa wanaofanya vzuri katika uongozi wao. Ameielezea tuzo hiyo kuwa ni ya kisiasa zaidi isiyo na tija.

Katika maelezo yake Kibonde anahoji kwa nini zitolewe fedha?kwa nini iwe ni kwa marais wa Africa na c Ulaya? Kwa nini pesa hizo zisingetolewa tu kwa Ngo's yeyote kusaidia maendeleo? Tuzo hiyo mwaka huu imetolewa kwa aliyekuwa rais wa visiwa vya Carpe Verde Bwana Pedro Verona.

Ni kiherehere chako wewe nani amekuambia usikulize hiyo radio ya cloufs fm
 
nahisi ni mwoga wa kufikiri ila jasiri wa kula, ALIWAHI KUWASIHI WAANDISHI WA HABARI KUACHA KUANDIKA HABARI ZA UPELELEZI ETI WASIJE WAKAUAWA. ila wajikite kwenye umbea na kusifia watu.
 
Kawaida yake anajifanya anajua kila kitu.........SIAANZISHE YA KWAKE
 
Akitangaza katika kipindi cha jahazi, mtangazaji Kibonde ameiponda tuzo ya Mo Ibrahimu inayotolewa kwa viongozi/marais wa Africa wanaofanya vzuri katika uongozi wao. Ameielezea tuzo hiyo kuwa ni ya kisiasa zaidi isiyo na tija.

Katika maelezo yake Kibonde anahoji kwa nini zitolewe fedha?kwa nini iwe ni kwa marais wa Africa na c Ulaya? Kwa nini pesa hizo zisingetolewa tu kwa Ngo's yeyote kusaidia maendeleo? Tuzo hiyo mwaka huu imetolewa kwa aliyekuwa rais wa visiwa vya Carpe Verde Bwana Pedro Verona.

Ndio maana akaitwa KIBONDEEEE. sie tuangalie mambo ya mstakabali wa inchi yetu
 
Kibonde ni bonge la mtangazaji, ana sauti inayosikika vizuri pia ana upeo mkubwa wa kupambanua mambo, ninachokiona hapa ni chuki binafsi mlizonazo juu yake!

Sauti na upeo ndiyo kumfanya achukiwe? Si lazima kupost kama huna la kuchangia.
 
bado unamsikiliza kibonde yule hana akili, hata matokeo yake yaliwahi kutolewa hapa jamvini, ukilinganisha yale matokeo na anvyojadili hoja hata hatofautiani. yule ni kilaza aende zake hajui hata anachozungumza.
 
Wabongo wana wivu wa kike sana!! Yaani mtu akifanikiwa kidogo tu watamwandama mpaka aanguke!! Watu wanaomkandia kibonde nawafananisha na wale wauzaji wa corner bar
 
Mwee Kibonde amefanikiwa nini jamani? Au kale ka Camry kake anchokimiliki. Mweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Una matatizo ya brain?? He is the most famous radio presenter in tz,kipind chake kinaongoza kwa kusikilizwa,kupendwa na matangazo mean kinauzika! Sauti yake inatumika kwenye matangazo ya makampuni makubwa yote ya tz e.g.airtel,tbl,barclays,tff! Ni mc wa kimataifa,siyo mc njaa wa kwenye viharusi vya uswazi! Ni mc wa big events,events ambazo hata wakulu jk,lowasa,sitta,rostam wanahudhuria! Ni mc wa big sports event zote zinazotokea tz! Akiongea kitu wanafiki wote wa jf wanaacha kufanya kazi na kumjadili yeye kwa chuki zilizopitiliza,wangapi inaweza kuwatokea hilo! All in all jamaa ni mtoto wa mjini,kazaliwa upanga kakulia upanga kasoma upanga tena bonge la shule mzizima unlike wanafiki wengi wa humu ndani waliokulia vijijini na kulivamia jiji uzeeni
Hivi huyu kafanikiwa nini kwa mfano?
 
Back
Top Bottom