Kibanda: Kinana ni Kimbunga

Kibanda: Kinana ni Kimbunga

Maranya we kumbe KILAZA kabisa nilikuwa nadhani una timamu kumbe haim kabisa,yani kweli unashindwa kutambua kwamba kiongozi ambaye ameshindwa kulea na kuitunza familia yake hana uwezo wa kuingoza nchi?,hivi na hili ni jambo ambalo linakutaka kuwa na Masters moja au mbili kulifahamu?!,hebu nenda kwenye Biblia angalia hata maandiko matkifu yanvyosema juu ya mtu kama Dr.Slaa,hivi umeshinda kusimamia na kuiendesha na kuiongoza nyumba yenye watu watano,utaweza nchi yenye zaidi ya watu milioni 45?.

Hata lile ombi lako la Asubuhi kamba niendelee kukuheshimu naachana nalo moja kwa moja kwa sababu nimegundua wewe ni 'Kimburu',unachojua ni kula tu lakini kutafuta wala kuwinda hujui unsubiri wenzako wakutengenezee ndio wewe ufike na kubugia mwisho wa siku ndiyo hivyo tena unakula kisha unambiwa unatkiwa kulipa na mlipo yenyewe unachaguliwa namna y kulipa!

Sitaki kufikishana mbali sana na wewe lakini wito wangu kwako ni kwamba jifunze kukubali kukosolewa,hakuna mtu asiyempenda Slaa,lakini ili tumfanye akubalike na kuonekan ni kiongozi mzuri tumshauri na kumueleza madhambi yake ayajue.


Kwa taarifa yako mimi siko hapa JF kutafuta heshima kutoka kwa misukule ya ccm ama waganga njaa kama wewe. Hiyo heshima ichukue halafu tuone kama nitakuwa nimepungukiwa nini. Watu wanaoniheshimu na ninao waheshimu wanatosha kwahiyo sihitaji heshima toka kwa misukule ya ccm. Na kwa taarifa yako heshima yangu inaongezeka kila siku hapa JF na hata huko mtaani.

Kama ungekuwa na akili timamu ungetambua kwamba hata katiba yetu haijaweka masharti ya kumtaka mtu kuwa kiongozi lazima awe ameoa ama kuolewa kwakuwa katika kutekeleza majukumu yake ikitokea anaumwa ama ana udhuru wowote hatuwezi kumkabidhi majukumu mke wake au mme wake. Ndio sababu tunakuwa na nafasi ya makamu wa raisi kwa mfano ukizungumzia nafasi ya raisi na wasaidizi mbalimbali ndani ya ofisi ya raisi ikulu.

Tunayo mifano iliyo dhahiri inayoonyesha maraisi kadhaa wa nchi mbalimbali ambao walipata kuongoza nchi zao tena kwa mafanikio makubwa huku wakiwa hawajaoa, sasa sijui hapo utasemaje. Tunachohitaji kama nchi ni kiongozi mwenye vision, mzalendo wa kweli na anayefahamu mahitaji ya wananchi na nchi yake. Hatuhitaji raisi aliye na mke lakini hajui sababu ya umasikini wa nchi yake. Hatuhitaji raisi aliye na mke na mke wake ndiye anaongoza serikali kupitia mlango wa uani. Hatuhitaji raisi mwenye mke lakini fisadi, anatumia mamlaka yake kuiibia nchi kwa kutumia kampuni ya mkewe ama ya mtoto wake kujilimbikizia mali.
 
haya ndo yale anayayaongelea kibanda kwani viongozi na pro CDM mnakera sana pale ukweli ukisemwa juu yenu kwanini kama kweli mnajiamini mnapenda kusifiwa kila siku? kukosolewa na kuambiwa uwezo wa adui yako ni njia moja wapo ya kuweza kujipanga kwaajili ya mapambano,au ndo yale mkishapigwa chini 2015 mrudi na kutuambia wamechakachua? jua uwezo wa adui yako.So mlitaka aandike Kinana ni kilaza then mfurahi na kusherekea kutumia ruzuku hiyo ni challenge mnatakiwa mlifanyie kazi.kwa hili Big up Kibanda.
Kwani mkuu wewe huujui ule msemo wa kule uswazi kwamba tumbo linaponza makalio? Wewe ukiambiwa kula kaka umeshalipiwa, utakubali! Au?
 
Nilichokuwa nataka ni kuthibitisha kama kweli niliyoelezwa kwamba wewe ni kichaa ni sahihi sasa nimethibitisha kwamba kweli wewe ni chizi kolea!!!,angalia thread zako zote za leo tangu nimekugusa ulipoanza kuchanganyikiwa halafu uone kati yangu na wewe nani ambaye anataka ajue kama mwenzake ni rijali?,umesema mimi sio rijali,mana yake ni kwamba ulishawahi nipa nikashindwa kitu ambacho natka niuthibitishie umma kwamba si kweli,ila kama unataka kuthibitisha kwamba niko fiti tena zaidi ya sana,niambie nikukute wapi ili ule dozi ya kufa mtu kama ile aliyokuwa anaizungumzia Bujibuji>

Chizi ni nani kati yangu ama wewe unayefuatilia nyendo za dada yako na mama yako, hata aibu huna unamfuatilia hata mama yako, ukimfuma na dume unakwenda kuripoti kwa baba yako sio? hiyo ni nini kama sio uchizi?

Mwanaume rijali anatafuta wanawake, lakini ukiona mtu anajibaraguza kwamba yeye rijali halafu anatafuta wanaume basi ni dhahiri kwamba urijali wake umeshift position, unakuwa umehamia kwenye masaburi, na ndicho kitu unachotutangazia hapa, hata huoni aibu? bahati yako tuko Tanzania, ungekuwa Uganda kwa comments hizi za leo lazima ungeswekwa ndani kwa kuendekeza ushoga.
 
Kibanda kama anaona Kinana ni Kimbunga aende kwenye kampuni yake wakasafirishe meno ya tembo atuondolee upuuzi hapa na propaganda za kizamani .Ameshindwa kabla hajaanza .Kibabda alikuwa ameanza kushusha hadhi ya gazeti la Tanzania Daima next in line ni Ngurumo wacha tuone heshima ya TD itakuwaje baada ya yeye kujikata kwa mafisadi wenzake .
 
Lakini ukumbuke kwamba wakati huo mamlaka ya utawala hayakuwa mikononi mwake. Alikuwa anapokea tu instructions kutoka kwa walio juu yake wakati huo akina Makamba. what can you expect out of Makamba. Ninachojaribu kueleza hapa ni ule uzoefu wa kukabiliana na changamoto na misukosuko ya kisiasa akiwa kama kampeni manager. Ni wazi yeye akiwa ndiyo mshika usukani atakuwa na nafasi nzuri zaidi maana anajua ni wapi huwa kuna loophole katika uchaguzi na atatoa maagizo, tofauti na mwanzoni alipokuwa anaagizwa.

Sasa kibanda angeeeleza haya kwenye ile makala yake ya kwanza. Hoja zake kwenye ile makala zilikuwa nyepesi mno. Nadhani ndo maana watu wengi wanamlalamikia.
 
Anapomuongelea Kinana, binafsi naungana na mawazo ya Kibanda, what he sees is what I see.
Ninatofautiana naye katika maeneo mengine katika andiko lake hili, maana anaonekana anapinga mambo mengi bila kuleta substitut/altenative ideas....anaishia kuanya harafu anaomba credits(kutambulika).
Huwezi ukajigeuza kiona mbali wa jamii (bundi) kwa kutoa milio ya ishara peke yake, unahitaji kwenda mbali zaidi ya hapo.
 
Alafu heading ya hii thread haijakaa vizuri. Mkuu Kimbunga eti wewe ndiye Kinana? Naona heading ya thread inasomeka "Kinana ni Kimbunga"!
Mkuu TUMBIRI hapana mimi si Kinana mimi ni Kimbunga ila Kibanda kamfananisha Kinana na Kimbunga yaani ule upepo mkali uvumao na kukusanya vitu mbalimbali aghalabu huviinua juu na kuvitupilia kando! Kimbunga ni Kimbunga na Kinanan ni Kinana Mkuu!

Ila Kibanda naona katoa hoja kunjufu japokuwa kwa baadhi ya watu amechafua hali ya hewa.

Hapa suala si kubeza tu lakini wapinzani inabidi waangalie jinsi CCM ilivyojipanga. Unapokuwa na watu kama Mzee Mangula na Kinana kwenye safu ya uongozi ndani ya Chama ujue kuna kitu. JF tumemsema Kinana katika mambo mbalimbali mara sijui kampuni yake ilisafirisha wanyama lakini hatujajikita juu ya utendaji kazi wake. Mimi najua Kinana ni kama wale watu ambao humfukuza mwizi kimya kimya; hana papara anapanga mambo yake kimya kimya. Mzee Mangula ndio engine yenyewe; hana makeke ni kuchapa kazi. Miaka hii miwili iliyobaki tunaweza kushuhudia mabadiliko makubwa ndani ya CCM na serikali yake baada ya ujio wa hao wawili. CCM wametishiwa kifo na hakuna mtu yeyote anayekubali kukata roho bila kufanya purukshani: Hizi ni purukuishani za CCM wanajitahidi kuepuka kifo hivyoo purukushani hizi zinaweza kihuisha roho ya CCM.

USIMBEZE KIBANDA.

Tatizo letu tukiambiwa ukweli hatutaki tunakuwa kama viongozi wa enzi hizo za Ujamaa na Ushoshalisti kwamba wao kila wakipita ni kupigiwa makofi, vigelegele na mbija kwa watu kulazimishwa hata kama watu wenyewe hawapendi!

 
Last edited by a moderator:
Anachokifanya Kibanda kina baraka zote za mmiliki wa TD ambaye yeye aliishasema pale Kizota kuwa JK ni kiongozi safi. Kwa maana nyingine TD imeishavuta mkwanja wake na ile kazi ya kuikosoa ccm haipo tena. Mbowe yupo kibiashara zaidi..!
 
Yaani kiongozi wa kitaifa ambaye watanzania wanamtegemea kuwa rais katelekeza familia mke wake pamoja na watoto na kesi ipo mahakamani unataka kutufunga mdomo tusijadili uadilifu wa kiongozi wa taifa kisa wewe umesema ni aibu.

Watu hawajamsingizia Dr Slaa yote kayafanya nyie Pro-Chadema JF ndio mnatakiwa mkae na Dr Slaa na mwambieni ni kitendo cha aibu alichokifanya kiongozi ni kioo cha jamii.

Hakuna aibu kumjadili kiongozi ambaye hana maadili.

Mkurugenzi wa cia amejiuzuru kwa kua na nyumba ndogo hapa tanzania dr slaa kapora mke wa mtu mchana kweupe bado mijitu mijinga inasema mahusiano ya ngono ya slaa tusiingilie ,dr slaa angekua mtu wa kawaida kwenye jamii tusinge sema hili,lakini hata kama angekua msanii au mwimba bongo fleva kapora mke wa mtu tunge mwambia,sasa yeye anataka urais tukae kimya na uzinzi wake
 
Anachokifanya Kibanda kina baraka zote za mmiliki wa TD ambaye yeye aliishasema pale Kizota kuwa JK ni kiongozi safi. Kwa maana nyingine TD imeishavuta mkwanja wake na ile kazi ya kuikosoa ccm haipo tena. Mbowe yupo kibiashara zaidi..!

Mkuu rudia tena haya maneno manake sijakusikia vyema.
 
WOWOWO,
Historia katika siasa zetu ni jambo la muhimu sana. Naona unajidanganya na upepo wa mwaka 2010 uliowapitia Chadema wakapata viti vya ubunge 23 vinawapa upofu mnajisahau mnadhani Chadema mnakubalika kila kona ya nchi yeyote atakayewakosoa lazima hatakuwa mpinzani wa Chadema.

Hakuna anayepuuza historia lakini fahamu kuwa historia ni matunzo ya kilichotokea huko nyuma ambacho not necessarily kitokee tena unless kwa jamii ambayo haijifunzi na haibadiliki. Lazima unapozungumzia historia ujaribu basi kuunganisha na uhalisia wa nyakati zilizopo na zinazokuja. Hauwezi kupiga filimbi ya Kinana na historia yake bila kuonesha ni kwa vipi atashindana na wakati tulionao sasa na zaidi unaokuja.
 
Kibanda amejikita mno kwa kinana as aperson hajadili mfumo wa CCM na maasi yao yanafichwaje na ujio wa kinana! Kinana anawezaje kubadili ugumu wa maisha ya watanzania?
 
Mkuu rudia tena haya maneno manake sijakusikia vyema.
Kaka gazeti ni la Mbowe siku chache nyuma lilikuwa linaiponda ccm na kufagilia cdm but now days mambo iko kinyume kabisa. Nashindwa kuelewa why huyo mhariri mpaka saa hizi hajapoteza kibarua chake, kuna dalili tosha kuwa he has Mbowe's back up.
 
Ukitaka kujua kama Kinana ni kimbunga yeye ndio alifanikisha ushindi wa kishindo kwa CCM kuanzia mwaka 1995, 2000, 2005, 2010.

Kama aliweza kuratibu na kupanga ushindi wa CCM hakiwa amekabidhiwa dhamana ya muda mfupi ya kuongoza kamati ya taifa ya kampeni za chama hicho.

Tutalajie nini akipanga mikakati na kusimamia mwenyewe utekelezaji wa mipango ya chama kama Katibu Mkuu.

Hapo ndipo unatakiwa umsome vizuri Kibanda.

Ngoja tuombe Kinana agombee uras kupitia ccm 2015.
 
Last edited by a moderator:
Kama kuna Kiongozi yeyote wa CHADEMA anakataa uchambuzi wa jambo au mambo based on facts hafai
Kama kuna mwanachama au shabiki yeyote wa CHADEMA ambaye anakataa uchmbuzi wa jambo au mambao based on facts hafai.

Ila kama kati ya hao wanakataa uchambuzi wa jambo au mambo based on facts but twisted to suite a certain purpose then wana haki ya kukataa. Maana hii fact lakini inakuwa misrepresented na hivyo kuwa fallacy! Kwa mfano Mhandishi Kibanda anaposema kuwa Kinana ni Kimbunga kinachopulizwa kuelekea upinzani,did he check his facts correctly? Maana ndani ya CCM kuana mambo ya msingi yanatakiwa kufanywa na mkutano mkuu wa CCM ulikosa fursa " missed the opportunity" ya kuyaingiza mambo hayo kwenye "resolution",ambayo Kinana angetumia kufanya utekelezaji. Kinana anaweza kuwa Kimbunga kama Chief Campaign strategist ila kama mtendaji wa Chama I am yet to see!
 
Kaka gazeti ni la Mbowe siku chache nyuma lilikuwa linaiponda ccm na kufagilia cdm but now days mambo iko kinyume kabisa. Nashindwa kuelewa why huyo mhariri mpaka saa hizi hajapoteza kibarua chake, kuna dalili tosha kuwa he has Mbowe's back up.

Mkuu Gazeti la TD ni Gazeti huru kabisa na mhariri wake yupo huru. Huu ndio uhuru wa vyombo vya habari tunaoutaka.
 
Kama unafanya kikao kuanzia mwanzo hadi mwisho bila ya mtu hata mmoja kupinga au kuchallenge mawazo yako, basi ujue kuna tatizo. Huwezi kujua madhaifu yako kama hutaki kukosolewa...WENYE HEKIMA WAMENIELEWA.
 
Chizi ni nani kati yangu ama wewe unayefuatilia nyendo za dada yako na mama yako, hata aibu huna unamfuatilia hata mama yako, ukimfuma na dume unakwenda kuripoti kwa baba yako sio? hiyo ni nini kama sio uchizi?

Mwanaume rijali anatafuta wanawake, lakini ukiona mtu anajibaraguza kwamba yeye rijali halafu anatafuta wanaume basi ni dhahiri kwamba urijali wake umeshift position, unakuwa umehamia kwenye masaburi, na ndicho kitu unachotutangazia hapa, hata huoni aibu? bahati yako tuko Tanzania, ungekuwa Uganda kwa comments hizi za leo lazima ungeswekwa ndani kwa kuendekeza ushoga.

Mperekee sasa na huyo mama na dada yako ili nao awashughulikie si unamsifu ni rijali?!!kwa sababu naona unajipendekeza kwake!!!!!!!!!!Sijawahi mwanamume anamsifu mwanmume mwenzake kwamba ni rijali,hapa maana yake ni kwamba aliwahi kukushughulikia na hivyo unaujua urijali wake.
 
Nadhani tatizo la CCM si Kinana. Kinana anaweza kuwa kimbunga kama anavyosema Kibanda lakini ugonjwa wa CCM ni mkubwa kiasi kwamba hata Kinana angekuwa daktari bingwa, mgonjwa hatibiki. Tafakari.
 
Back
Top Bottom