Kibanda: Kinana ni Kimbunga

Kibanda: Kinana ni Kimbunga

HATARI:Weka mbali na tembo wetu la sivyo tutazikuta pembe Hongkong
 
kumbe watu wengi hawaoni cha Kinana kupigia upatu na kelele Nyingi hivi km vile ni Massih wa CCM.Sijui wapo wapi CCM watuambie ana nini Kipya cha wao kusisimka hivyo, hadi kutupigia kelele kibao.Kwa kiasi kikubwa inaonekana ni tabia ya CCM kuamini porojo sana.Ni CCM pekee wanaopenda abuse ujinga na uaminifu wa wafuasi wake kwa Fikra za mwenyekiti, kwa kuwadanganya nao kudanganyika kuliko watoto wadogo.
 
swali langu jamani,je kinana mke wake ni msomali pia? na je watoto wake nao muonekano wao ni wa kisomali pia??
 
Umekuwa na haraka tuu.Bado najiuliza nini cha maana anacho hadi tukie hizi kelele.Nashindwa ona tofauti na wachawi wengine.So nimeachia mwenye kuona ch ajabu hadi akamsupport au akawa carried away with these noises anaweza tuambia alichokiona.

Yeye anajua umuhimu wa ccm kuendelea kubaki madarakani zaidi ya Mukama, na kwamba anauwezo wa kufanya hadaa zaidi ya Makamba, mimi sioni kingine.

Kinachofanyika sasa ni kwamba, CCM wanaamini wanaweza kujirejeshea kukubarika kwa wananchi kwa kuwa na watu wenye ujasiri wa kuongea kwa sababu without power and authority CHADEMA wamejipatia kukubarika kwa wananchi kwa sababu wanaongea.

Hiki kinachoonekana kukutisha ni kawaida kabisa katika Maisha ya binaadamu, muda si mrefu tutarudi katika hali halisi, kwamba CCM wanatakiwa na wametakiwa kwa muda mrefu sana toka nchi yetu ipate uruhu kutumia mamlaka na nguvu za kuongoza serikali yetu kusababisha maendeleo katika maisha ya watanzania na si kuyatumia kuongea ongea, sababu mpaka sasa inajurikana wazi maneno yoyote kutoka CCM NI UONGO.
 
Nimesikia makelele mengi sana yakipigwa humu jamvini yakimsema kada maarufu wa CCM,kinana kwamba ni msomali
sasa mimi naomba kuuliza ina maana jamaa hadi mke wake pia naye ni msomali?? na je watoto wake wakoje je ni wasomali pia?? nauliza hivi sababu ukimwangalia kinana na rage wak tofauti na bashe(bashir),isije ikawa tunamsema vibaya kumbe mwenzetu kinana ni wale wasomali wabantu(wazigua),ambao ni watz wenzetu waliochukuliwa utumwa!!!

na kama ndio wale wazigua basi hizi kelele zote inabidi zife mana wale siyo wasomali na wala huko somalia hawakubaliki kuwa ni wasomali,ndio maana nauliza familia yake ikoje mana kinana anaweza asionekane kama msmali lakini familia yake ndio itatupa majibu je ni wasomali kabisa?? yaani kama vile bashe??
Nawasilisha wana jamvi karibuni.
 
Mtu yoyote ambaye ana uchu wa madaraka anachofanya Kinana ataona ni kilele, lakini kama mtu ana nia njema na nchi yake atasikiliza na kutafakari.
 
Yeye anajua umuhimu wa ccm kuendelea kubaki madarakani zaidi ya Mukama, na kwamba anauwezo wa kufanya hadaa zaidi ya Makamba, mimi sioni kingine.

Kama CCM waliweka makatibu wasiojua huo umuhimu basi ni wazi hawastahili kuwepo.Kwani watakuw apia hawajui umuhimu wa kutatua matatizo ya watanzania.Watakuwa hawajuai umuhimu wa nchi kuendelea kiuchumi na nyanja nyingine.

Pia sioni kama Huo umuhimu wa CCM kubaki madarakani ni wa kitaifa zaidi ya kichama.
Kinachofanyika sasa ni kwamba, CCM wanaamini wanaweza kujirejeshea kukubarika kwa wananchi kwa kuwa na watu wenye ujasiri wa kuongea kwa sababu without power and authority CHADEMA wamejipatia kukubarika kwa wananchi kwa sababu wanaongea.
lakini CHADEMA HAWAONGEI TUU JUST WAMEONGEA, wanaonge sense wakiongeza vyema kwa kuongezea ujasiri na authority.Wanaongea kweli na si majungu kama JK na wengine.Wasio na fikra mbadala, pamoja na kuumbuak mara zote ktk majungu yao kuwa sijui CDM ni ya Kikanda,Sijui ya Kidini, sijui ya Kikabila bado hawan akili mbadala.
Hiki kinachoonekana kukutisha ni kawaida kabisa katika Maisha ya binaadamu, muda si mrefu tutarudi katika hali halisi, kwamba CCM wanatakiwa na wametakiwa kwa muda mrefu sana toka nchi yetu ipate uruhu kutumia mamlaka na nguvu za kuongoza serikali yetu kusababisha maendeleo katika maisha ya watanzania na si kuyatumia kuongea ongea, sababu mpaka sasa inajurikana wazi maneno yoyote kutoka CCM NI UONGO.
Sidhani kama kuna cha kunitisha ktk CCM, zaidi ya hofu iliyopo kwangu kwa kukiangalia hicho chama kuona daktari akijjianda tumia panga lenye kutu kufanya operation kubwa kwa mgonjwa.CCM ni kama panga lenye kutu linalozagaa ktk meza ya vifaa ndani ya theatre.

CCM hawajawahi takiwa kama walivyotaka wao kubaki.CCM hawawezi leta maendeleo zaidi ya natural growth ya nchi, hata kama watapewa karne.CCM hakikuundwa kuwa chama cha maendeleo.Ndio maana hakina neno maendeleo wala democrasia ktk jina wala ilani zao.Wanaposema maendeleo wanaongea mapinduzi (overthrowing/topling of regimes) na si revolution ya Developements in other national growth aspects.

CCM si tuu inajulikana kuwa ni waongo , pia ni Waongo kweli kivitendo.
 
Ukitaka kujua kama Kinana ni kimbunga yeye ndio alifanikisha ushindi wa kishindo kwa CCM kuanzia mwaka 1995, 2000, 2005, 2010.

Kama aliweza kuratibu na kupanga ushindi wa CCM hakiwa amekabidhiwa dhamana ya muda mfupi ya kuongoza kamati ya taifa ya kampeni za chama hicho.

Tutalajie nini akipanga mikakati na kusimamia mwenyewe utekelezaji wa mipango ya chama kama Katibu Mkuu.

Hapo ndipo unatakiwa umsome vizuri Kibanda.

Alifanikishaje? Aliratibu vipi na kupanga ushindi? Kupanga ushindi? Aliwadanganya wapiga kura? Honestly, do you really think that Mr. Kinana ana ushawishi kiasi hicho kwa Watanzania? Kwamba ushindi wa CCM unamtegemea yeye? Au ninashindwa kukuelewa. Labda unamaanisha yeye ni mtaalamu wa wizi wa kura?
 
Last edited by a moderator:
Nimesikia makelele mengi sana yakipigwa humu jamvini yakimsema kada maarufu wa CCM,kinana kwamba ni msomali
sasa mimi naomba kuuliza ina maana jamaa hadi mke wake pia naye ni msomali?? na je watoto wake wakoje je ni wasomali pia?? nauliza hivi sababu ukimwangalia kinana na rage wak tofauti na bashe(bashir),isije ikawa tunamsema vibaya kumbe mwenzetu kinana ni wale wasomali wabantu(wazigua),ambao ni watz wenzetu waliochukuliwa utumwa!!!

na kama ndio wale wazigua basi hizi kelele zote inabidi zife mana wale siyo wasomali na wala huko somalia hawakubaliki kuwa ni wasomali,ndio maana nauliza familia yake ikoje mana kinana anaweza asionekane kama msmali lakini familia yake ndio itatupa majibu je ni wasomali kabisa?? yaani kama vile bashe??
Nawasilisha wana jamvi karibuni.
kwani bashe muonekano wake ndio unaowakilisha wasomali kwa wingi wao?Wasomali wapo weusi kabisa, wenye ngozi zilizochakaa na nywele kama watu weus wenye kwashakoo au watu wenye Ukwimwi.Nywele kugeuka kuwa vinyweleo kama vya panya.

Wasomali kwa asili ni weusi, hao wenye muonekano tunauona na kuuita wa kisomali, nao ni mchanganyiko wa wageni toka ukanda wa ethiopia, yemeni na jamii za makabila yasiyo ya kibantu na wabantu.
 
mods hizi threads zina kinana ktk character ila ni tofauti sana.
 
Kibanda ni lazima amuogope Kinana, sisi sote pia Lazima tumuogope Kinana, kitu kinachofanya Kinana aogopewe simply nii Ujangili wake wa Kuua Tembo, Pia kwa Msomali mhamiaji haramu kujiingiza kwenye siasa za nchi aliyovamia na kuwa Mwana Jeshi hadi kufikia Level ya ukanali, kama haitoshi kufikia kuwa Katibu wa Chama tawala, siajabu huyu Msomali Jangili akapewa nafasi ya Kugombea Urais na Chama tawala, Kibanda ana kila Sababu ya kumuogopa huyu jamaa aisee
Huyu Jamaa anatisha ati Jamani
 
Last edited by a moderator:
kwani bashe muonekano wake ndio unaowakilisha wasomali kwa wingi wao?Wasomali wapo weusi kabisa, wenye ngozi zilizochakaa na nywele kama watu weus wenye kwashakoo au watu wenye Ukwimwi.Nywele kugeuka kuwa vinyweleo kama vya panya.

Wasomali kwa asili ni weusi, hao wenye muonekano tunauona na kuuita wa kisomali, nao ni mchanganyiko wa wageni toka ukanda wa ethiopia, yemeni na jamii za makabila yasiyo ya kibantu na wabantu.

Mtu kama huyu eti ndio tegemeo la Chadema...ukitaka kujua upumbavu wa mtu upo kiwango gani msome mabandiko yake...wewe jamii ambayo unaiheshimu ni Wachaga tu. Mtu makini hawezi kuandika maneno haya.
 
Mtu kama huyu eti ndio tegemeo la Chadema...ukitaka kujua upumbavu wa mtu upo kiwango gani msome mabandiko yake...wewe jamii ambayo unaiheshimu ni Wachaga tu. Mtu makini hawezi kuandika maneno haya.

hivi wewe mzee wa kudekeza ubongo undhani kuongea kwa stahili hii itabibadilisha?Hembu changamsha hiyo akili uniambie unanishutumu kwa lipi ktk ya niliyosema?

Nania kakuambia mimi ni tegemeo la chadema?Au tayari fikra zako zimependa hivyo.Umbea utakumaliza mzee wa kudekeza ubongo.
 
Kibanda ni lazima amuogope Kinana, sisi sote pia Lazima tumuogope Kinana, kitu kinachofanya Kinana aogopewe simply nii Ujangili wake wa Kuua Tembo, Pia kwa Msomali mhamiaji haramu kujiingiza kwenye siasa za nchi aliyovamia na kuwa Mwana Jeshi hadi kufikia Level ya ukanali, kama haitoshi kufikia kuwa Katibu wa Chama tawala, siajabu huyu Msomali Jangili akapewa nafasi ya Kugombea Urais na Chama tawala, Kibanda ana kila Sababu ya kumuogopa huyu jamaa aisee
Huyu Jamaa anatisha ati Jamani...
 
Last edited by a moderator:
Mtu kama huyu eti ndio tegemeo la Chadema...ukitaka kujua upumbavu wa mtu upo kiwango gani msome mabandiko yake...wewe jamii ambayo unaiheshimu ni Wachaga tu. Mtu makini hawezi kuandika maneno haya.
Sasa jamaa asiseme!!!!!
Je Nyie mliofikia hatua ya Kumpa ukatibu Mkuu Msomali Jangli wa Kuua Tembo si ndo hatar zaid, na Mpaka mkiondoka 2015 Tembo wetu watakuwa wote wameshauawa na kuhamishiwa Mogadishu, safar hii sio Oman tena
 
Ritz anadhani ataweza ni blackmail kwa mambo duni ya kibaguzi ili kunifumnga mdomo.Hayo niliyoadika nimeandika nikijua naandika nini.Kuna mentality fulani ya watu na hata kati ya wasomali wenyewe kuwa wasomali wote ni wazuri wazuri, ila ukweli ni wazi sana kuwa hao wazuri ni segement kidogo sana, na kwa wale wanaowahusisha uzuri na uchotara bao kundi la hao wasomali ni dogo sana.

Nilishwahi wasikia wasomali fulani wakijsifu ktk mji mmoja kule kaskazini kuwa wao ni wazuri na hawawezi olewa na nywele ngumu, nilipochallenge nikampa ride tupite ktk mji ilipo mitaa ya wasomali na anayemowna kuwa ni mzuri tumpige picture kwa ujanja tokea kwenya gari, halafu baadaye tukafanya comparison kw avigezo vya uzuri ten alaivyoviweka mwenyewe na watanzania wengine majibu aliyopata alishangaa. alikuta wengi meno mabaya, taya hazipo sawa, wengine nywele ni nefu lakini dhaifu, alikuta kama ni hips ni kwa watoto wachache wengine wamelegea makalio kama tembo wanaponenepa, etc.It was a nice day.

Huyo jamaa aliyeweka comparison ya Bashe alikuwa na mitazamo hiyo hiyo ndio maana nikapa jibu lile kwa kujiamini kabisa.Na hata familia ya Kinana inao wasomali wengi tuu wanaodhani Kinana ni smart sana compared na nywele ngumu ndio maana kaitwa kufanya rescue.Its funny kuwa hata yeye mwenyewe anaweza kuwa akiamini hivyo kama wale wahindi na waarabu koko wa Tanga, pemba, unguja, tabora, kondoa etc.huwa wanajiona wapo juu sana ya watanzania weusi.Huku wakiw awamezungukwa na watu waliokosa self esteem kabisa kiasi ch akujichekesha na kuwapa opportunitie huku wakiwahofia.Utaona wapuuzi wengi tuu wamekosa esteem kwa watu wa matabaka fulani kiasi cha kupiga kelele kama hivi za CCM.Wamejaribu sana mtukuza kinana na ujambazi wake, wamejaribu sana mtafutia sifa njema ambazo hata kinana mwenyewe kama hakuzisikia kwa watu asingejiamini ktk siasa kwa vile anajua hana hizo sifa.
 
sikujua kama kibanda amesomampaka chuo kikuu,na sijui yeye kama mwandishi ametafiti haya aliyoyaandika, kinachonishangaza kwa mwandishi kama huyu anashindwa kujadili hoja zenye mantiki naye ameingia kwenye ushabiki wa kitoto, badala yake anajadili watu. watu watapita ila taasisi zilizojengwa vizuri zitasimama, kuijenga taasisi imara kama chama cha siasa kunahitaji muda na si lazima CHADEMA washinde uraisi 2015, kwa mtu mwenye fikra pevu lazima ufocus miaka 50-100 ijayo maana yake ni kwamba dr.slaa asipokuwa raisi mwaka 2015,chama kiendelee kuimarika zaidi ilikitoe maraisi bora baadaye kama zito, lisu, au myika miaka ijayo. tusijadili siasa kama vile mwaka 2015 ndo mwisho wa maisha.

1.kwa hiyo kumjadili kinana au slaa badala ya kujadili mikakati ya vyama, ni upeo mdogo wa kufikiri.kwanza huyo kinana anayeogopwa na kusifiwa ni bingwa wa kupora sera za CHADEMA

2.huyo kinana si anakashafa lukuki. moja ni kampuni anayoimiliki kusafirisha nje nyara za sserikali na anasemekana ana hisa kwenye makampuni ya kinyonyaji ya artmus energy

3.Huyu kibamba amepatwa na nini mpaka kumuogopa kinana. mbona hatujawahi kunsikia kinana akikemea rushwa au alikuwa wapi wakati chama chake kiliposhindwa kuvua gamba, wala hatujahi kumsikia misimamo yake kuhusu maswala mazito yenye mustakabari wa taifa letu kama katiba mpya,muungano, eti leo ndo aibuke na kusambaratisha wapinzani, yeye kama yeye haiingii akilini

Namuonea huruma sana Ansbert Ngurumo, atachukuwa nafasi ya Kibanda wakati gazeti limeshaanguka kimauzo na itakuwa ni kazi ngumu sana kulirudisha Tanzania Daima kwenye hadhi yake. Nadhani wote mnakumbuka Gazeti la Majira ndilo lilikuwa linaongoza na hata Kipanya alikuwa kule.
 
daaa mtu anamaliza tembo wetu halafu anaitwa jembe a.k.a kimbunga kaenda arusha kuimarisha chama kapanda jukwaa moja na lowasa,wakati makamu wake mwenyekiti anasema hata subiri ushahidi wa kimahakama kuchukua hatua dhidi ya wala rushwa,katibu mkuu anapanda jukwaaani na wanaotajwa na kutuhumiwa wala rushwa wakuu eti wanaimarisha chama cha mapinduzi are these people serious????this is a silly nation!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom