WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
Huyo unamjua wewe,mimi simjui,shauri yako wewe na yeye endelea naye hukohuko,na isitoshe hata kama ingelikuwa mimi ni yeye kwani yeye hana haki ya kumpongeza huo ni uamuzi wke na kibanda wake.
Dada Wingu naomba uniombee ngozi ya tembo kwa Katibu mkuu wa CCM
Wenye habari tuambie.Nini cha ajabu alichonacho Kinana hadi tusikie hizi kelele?AU ni CCM wanataka mgeuza populist kamawalivyofanya kwa Kikwete halafu baadaye CCM imembee ktk mgongo wake?Bado mimi naona kama game ya Mganga na mchawi kutaka uondoa people kwa kutumia people.
Wanabodi wenye mchango karibuni.

Wewe hujachangia la maana halafu unataka sisi tuchangie! charity begins at home......
Charity begins at home...... wewe hujaonesha kuchangia chochote halafu unataka sisi tuchangie!
Matatizo ya same na Taifa kwa ujumla tembo wetu wanaishaKamanda hebu ongea kama mtu mwenye fikra za kisiasa; Same utakuwa na wakati mgumu sana kuuza sera; matatizo ya Same sio tembo wala ngozi za faru
Chama
Gongo la mboto DSM
Vipi ule wa kwako umechoka?Unaendeleaje na ujauzito wako siku nyingi hujaenda clinic au umechomoa
ulinzi wa kura sehemu hizo ulikuwa 100 na ndio maana ushindi ni vijijini lakini ulinzi ulivyoimarishwa Igunga na Arumeru cha moto mlikionaHiyo hiyo Tume ya Uchaguzi ya Rais ndio iliyowatangaza washindi John Mnyika, Joseph Mbilinyi, Halima Mdee, Godbless Lema, Freeman Mbowe na wengine.
Kaka Ben umemaliza kila kitu,uar so intelligent,wewe ni aina ya madini yenye thamani kubwa katika mgodi wa CDM,yanasubiri kuchimbwa.nakutabiria makubwa kwenye siasa za Tanzania,kuwa mvumilivu tu.nimekufatilia kwa muda mrefu..