Je, kisheria kesi ya ugaidi dhidi ya Mbowe na wenzake inaweza kufufuliwa? Ili kesi hiyo ife inachukua muda gani?

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
7,177
7,750
Nauliza kama kisheria inawezekana kufufua kesi ya jinai iliyokuwa inamkabili Mbowe na wenzake.

Je, ili kesi ife inatakiwa ichukue miaka mingapi?
 
Nauliza kama kisheria inawezekana kufufua kesi ya jinai iliyokuwa inamkabili Mbowe na wenzake.

Je, ili kesi ife inatakiwa ichukue miaka mingapi?
Kama nakumbuka vizuri ile case waliachiwa kwenye sheria kuna msemo unaotumika kuwa "huwezi fungua case kwa watu wale wale na kwenye case ile ile ambayo imeshatolewa maamuzi"
 
Back
Top Bottom