Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,652
- 5,134
kwan we na marekani mpo sawa?Tuwe na katiba kama ya Marekani
kwan we na marekani mpo sawa?Tuwe na katiba kama ya Marekani
dhima nzima ya uzi wako imejifunua hapa kwenye hii comment yako.Hii Mambo ya katiba mpya,ni kujichosha akili TU,hakuna hiyo kitu, Kwa sababu kubweka kumeumbwa,you can continue to bark!
Kila nchi Ina backgrounds yake,wao ni mabeberu na hawakuwa na muda wa kusumbuka na issues za ukombozi wa yeyoye yule,slogan yao ilikuwa Kenya kwanza,wacha wavurugane tu,wameyatafuta wenyewe,wakome kabisa na Gen z wapewe silaha kabisa.Tanzania haijawai Choma hata kijiko chake for the sake of maandamano ila bado kenya inawazidini kila kitu.
Ni kwanini watu wa mfumo ama wanaosapoti mfumo mnachukizwa na kinachotokea kenya?.Kila nchi Ina backgrounds yake,wao ni mabeberu na hawakuwa na muda wa kusumbuka na issues za ukombozi wa yeyoye yule,slogan yao ilikuwa Kenya kwanza,wacha wavurugane tu,wameyatafuta wenyewe,wakome kabisa na Gen z wapewe silaha kabisa.
Soma tena uelewe,wakati tanzania ikiendesha sera ya Twendeni sote, baada ya kuwa huru, Kenya wao walisema tugange ya kwetu ya watu hayatuhusu!Ni kwanini watu wa mfumo ama wanaosapoti mfumo mnachukizwa na kinachotokea kenya?.
unasema wakenya wanabackground yao , sasa nini kinachokuumiza sasa kuhusu kenya?.
ikiwa ni kweli wakenya wana destructive background basi Tanzania yenye constructive background ingelikuwa ahead ya kenya lakini sasa ni kinyume chake.
nenda kajaribu uone, yaan sijui hata unaongea nini, kule hamna wali buku jero ndugu yangu, nimekaa napajua, hakuna makande ya buku, yaan wewe unaongea kitu ambacho ujui, kule ukikanyaga tuu shamba ya mtu unavunjwa mguu, kule ni suvive for the fitest.kenya hawana maisha Magumu kushinda watanzania Sema wana uhuru wa kujadili hadi bei ya Kiberiti.
ombaomba karibu wote wa east Africa yote ukimbilia Kenya kwasababu uchumi wao.
uchumi umemilikiwa na wachache wengi wanateseka ndio maana kila siku watu wanahasira, ya income distribution ina gape kubwa sana kati ya walionacho na wasiokua nacho, yaan kukunua kiwanja tuu cha kujenga ni shidadhima nzima ya uzi wako imejifunua hapa kwenye hii comment yako.
Nb; kila siku mnasema kenya inaangamia,kenya inaangamia.. semeni mnatafuta validation ya kusitawisha upumbavu wenu.
ni kenya hipi inayoangamia?.
uchumi wa Nairobi tu ni sawa na uchumi wa Uganda nzima alafu unaleta story za kenya inaangamia.
pathetic.
sina haja ya kwenda kujaribu ili nione,naweza ona bila kujaribu. Obvious ni kwamba mnalaumu wanasiasa wa Kenya kutofouta Siasa za kuchinja walio kinyume nao na kinachoendelea kenya mnakitazama kama Eye Opener kwa Kenge mliowafungia kwenye Banda kwa miaka 70.nenda kajaribu uone, yaan sijui hata unaongea nini, kule hamna wali buku jero ndugu yangu, nimekaa napajua, hakuna makande ya buku, yaan wewe unaongea kitu ambacho ujui, kule ukikanyaga tuu shamba ya mtu unavunjwa mguu, kule ni suvive for the fitest.
A Sanctimonious Person is composing Poes.uchumi umemilikiwa na wachache wengi wanateseka ndio maana kila siku watu wanahasira, ya income distribution ina gape kubwa sana kati ya walionacho na wasiokua nacho, yaan kukunua kiwanja tuu cha kujenga ni shida
kenya inaendeshwa kwa sheria sio jungle justice kama tz..ukiiingia kwa shamba ya mtu utashitakiwa kwa Trespassory period.nenda kajaribu uone, yaan sijui hata unaongea nini, kule hamna wali buku jero ndugu yangu, nimekaa napajua, hakuna makande ya buku, yaan wewe unaongea kitu ambacho ujui, kule ukikanyaga tuu shamba ya mtu unavunjwa mguu, kule ni suvive for the fitest.
Mpuuzi weweNimeitoa huko kwa mdadisi na aliyekuwa mshiriki wa ujenzi wa katiba ya kenya,
::::::::::::::::::::::::::::::
KENYA INATEKETEA KISA KATIBA MPYA: NI FURSA NA SOMO KWA TANZANIA
Ni dhahiri polisi wa kawaida wamezidiwa. Sasa jeshi limelazimika kuingia kupambana na wanaojiita GenZ.
Bahati niliteuliwa kama mshauri Kwa shirikisho la vyama vya wafanyakazi Cha Kenya (COTU -K) anachoongoza Brother Francis Atwoli. Ni wakati wa mchakato wa kutunga kilichoitwa katiba mpya. Wafanyakazi walishirikishwa vya kutosha. Hivyo ITUC na ILO wakanipa kibarua Cha kushauri. Vikao vingi tulifanya pale Mombasa.
Nilipopitia rasimu nilistaajabu kuona mambo ya hovyo ndani ya rasimu. Nitapitia machache:
1. Pendekezo kwamba kima cha chini cha mshahara (minimum living wage) kitamkwe kwenye katiba. Wenyewe wakidhani ni jambo zuri mno mshahara wa kima cha chini kulindwa kikatiba. Niliwaeleza huu ni ujinga. Mshahara ni suala la "econometrics". Sio a political issue.
2. Majaji wasailiwe na wananchi kabla ya kuajiriwa kupitia runinga. Wao wakiamini kuwa itazuia majaji kula rushwa au kuendelea serikali. Niliwaeleza upumbavu uliopo. Kwanza jaji hapimwi Kwa kigezo kimoja tu. Pili itawezekana vipi raia ambaye hata kuhesabu mpaka 5 hawezi amsaili jaji? Je baada ya kumsaili nani ataamua huyu aajiriwe yule ailsiajiriwe? n.k.
3. Uhuru wa kuandamana na kukusanyika usio na masharti. Niliwaeleza Nini kitatokea uhuru aina hii ukitolewa na katiba. Ndicho kinatokea Sasa.
4. Kuwe na wabunge wanaowakilisha wafanyakazi. Hili niliwarejesha Kwa Uganda, Tanzania, Cameroon na Cote D'Ivoire. Wafanyakazi huko walikuwa wanadai ubunge huo ufutwe hauwasaidii. Tanzania tulifanikiaa kujiondoa kwenye jumuia za chama na ndio JUWATA ikafa ikaja TFTU, baadae OTTU na Sasa TUCTA. Wafanyakazi walikuja kugundua wawakilishi wao walijali matumbo Yao. Pia ukitoka uamuzi unaowaumiza wanashindwa kupinga Kwa kuwa wawakilishi wao walishiriki kutoa uamuzi.
5. Kuruhusu maofisa na watendaji kushitakiwa binafsi hata wanapofanya kosa wakati wanatekeleza majukumu waliyopewa na katiba. Niliwaambia hii itafanya watumishi wa serikali haswa wa vyombo vya Dola kuzembea. Ndio maana Sasa unaona kisichana kinatikisa makalio mbele ya askari mwenye rungu na bunduki. Watumishi aina hii wanatakiwa waadhibiwe na mahakama ya kijeshi tu.
Nimetaja mifano michache lakini kusema kweli katiba ya Kenya ni mbovu mno na ndio chanzo cha haya machafuko . Wanatuambia ni katiba nzuri tuiige hawajui wasemalo. Nao Wana mawazo na matendo ya kina Shakira, Boniface Mwangi, Martha Karua, Kalonzo na Odinga.
Kuvurugika nchi ndio wanapata maslahi Yao
Tukatae. Tusiichezee katiba. Tusifanye reforms kwa mashinikizo.
Mwisho: nyumba ya jirani ikungua wee Jenga nyingi. Wapangaji wapo. Hakuna mtalii ataenda Kenya sasa. Wawekezaji wanaanza kuhama. Huu ndio muda wetu kuchangamka.
Halafu tuimarishe ulinzi mpakani. Wakimbizi wako njiani wanakuja.
Mwishoooo: tuendelee kudhibiti wakorofi wetu kwa nguvu na ari mpya. Bora walie sasa kuliko kuacha waanze kuchoma majengo na mali za watu
Nakazia tuwachape viboko tu,wanaojibidisha kutupeleka katika majanga ya aina hii,si kila jambo nilakuiga.
Ndiyo hali halisi.Mpuuzi wewe
Wewe Mkenya si uende kwenu Kenya utuache na TZ yetu. Kunya country uchumi unamilikiwa na wageni na wakenya wachache nyinyi vibaka mnaishi kwenye mabanda ya mabati halafu ukija huku TZ unaanza kutamba!!?Tanzania haijawai Choma hata kijiko chake for the sake of maandamano ila bado kenya inawazidini kila kitu.
sisi tunabakiwa na ardhi, njoo kilindi huko nikupe heka 10 kwa 2milion, kilosa tena moro nilinunua shamba ekar 1 laki tatu, sasa nalima mpunga n kuna vijana wajiajiri huku kilo umri 20 wanamatreka yao wenyewe. njoo terati huku simanjiro kwa mjomba wangu mdogo miaka 22 amevuna maharage gunia mia mbili amejenga amenunua trekta na kufungua duka la spear za pikipik. nenda kahama kule marafiki zangu wameshika maduara kama yote ya dhahabu wanajipigia pesa. sasa nenda kenya km utapata fursa km hizo. naongea kwa sababu nina mifano hai, bado sijakutajia wa mbulu hapo kwa bibi sasa wamenunua had mabas watoto wadogo kabisaA Sanctimonious Person is composing Poes.
Unajua hata maana ya wachache?..yaani,wachache ukiwaona utawajua ama unajiandikia tu wachache?.
uchumi wa Tanzania umeshikiliwa na watu wa Asia..unajua idadi yao ndani ya Tanzania wapo wangapi?.
ukiondoa hao warangi rangi (walioshikiria uchumi wa Tanzania) ambao hata idadi yao hawafiki hata laki 6 ndani ya ngozi nyeusi milioni 70 watanzania mnabaki na nini?.
Kenya iwe na maisha magumu wakati omba omba wa Tanzania wanakimbilia kenya.
bure kabisa.
Akili iko mbali na wewe.Wewe Mkenya si uende kwenu Kenya utuache na TZ yetu. Kunya country uchumi unamilikiwa na wageni na wakenya wachache nyinyi vibaka mnaishi kwenye mabanda ya mabati halafu ukija huku TZ unaanza kutamba!!?
dhima nzima ya uzi wako imejifunua hapa kwenye hii comment yako.
Nb; kila siku mnasema kenya inaangamia,kenya inaangamia.. semeni mnatafuta validation ya kusitawisha upumbavu wenu.
ni kenya hipi inayoangamia?.
uchumi wa Nairobi tu ni sawa na uchumi wa Uganda nzima alafu unaleta story za kenya inaangamia.
pathetic.