Kenya inaangamia kipuuzi kabisa

Kenya inaangamia kipuuzi kabisa

sisi tunabakiwa na ardhi, njoo kilindi huko nikupe heka 10 kwa 2milion, kilosa tena moro nilinunua shamba ekar 1 laki tatu, sasa nalima mpunga n kuna vijana wajiajiri huku kilo umri 20 wanamatreka yao wenyewe. njoo terati huku simanjiro kwa mjomba wangu mdogo miaka 22 amevuna maharage gunia mia mbili amejenga amenunua trekta na kufungua duka la spear za pikipik. nenda kahama kule marafiki zangu wameshika maduara kama yote ya dhahabu wanajipigia pesa. sasa nenda kenya km utapata fursa km hizo. naongea kwa sababu nina mifano hai, bado sijakutajia wa mbulu hapo kwa bibi sasa wamenunua had mabas watoto wadogo kabisa
HUNA MAARIFA.
 
Mwaka 2010 Nchi ya Kenya kwasababu ya "Pressure" kutoka Vyama vya Upinzani,WAKENYA "walikurupuka" na kuja na KATIBA MPYA ambayo kimsingi ilikuwa na madhara makubwa kwa Nchi hiyo mpaka Jana!Kelele za REFORMS sio mpya sana katika ukanda wa Afrika Mashariki huu!

Pressure hiyo kubwa iliyotokana na matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2007 iliwafanya WAKENYA kudhani kuhitaji(I) REFORMS kubwa kwa(II) wakati Mmoja katika(III) Taasisi Nyeti za Taifa(Political and Legal Reformation s),Makosa makubwa!

Maandamano ambayo unashuhudia leo Nchini Kenya huku Nchi ikiwa katika "panic" kubwa mpaka Rais Ruto kukosa utulivu wa kuendesha Nchi ni matokeo ya kukimbilia kujibu matakwa ya Wapinzani kwa kukurupuka(No Reforms No Election).

Dhana hii ya No Reforms No Election sio dhana mpya watu wakadhani ni dhana ya Chadema bali mambo haya yalishafanyika Nchini Kenya na kwa sasa baada ya KATIBA MPYA ya mwaka 2010 haya sasa ndio matokeo yake!

KATIBA ya Kenya inaruhusu Maandamano bila ukomo!KATIBA ya Kenya inakataza Polisi na Vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama kutotumia risasi za moto hata kama wandamanaji wanasonga Ikulu 🤣🤣🤣!Ndani ya Bunge la Kenya ni kawaida sana Viongozi kupigana NGUMI!KATIBA MPYA ya Kenya 2010 inatamka Rais kuweza kushitakiwa baada ya kutoka madarakani!Huu👆👆ndio/ndizo REFORMS ambazo WAKENYA walizichagua na sasa zinavuruga AMANI na Usalama wa Nchi!

Tegemea soon kuona WAKENYA wengi wakikimbilia Nchini Tanzania kama maandamano haya👆👆👆👆 yatashika kasi!(I)Maduka yanaporwa na Vijana wahuni wa Upinzani(II)Magari ya Raia wa Kenya yanachomwa moto barabaranii,(III)Polisi wanapigwa na Raia,(IV)Raia wanaiba/pora gari za Polisi(V)Raia wanaua Polisi na kuchukua uniform za Polisi na kuzivaa🤣🤣🤣!Haya ndio "Mazao " ya KATIBA MPYA yaani No Reforms No Election kwa Kenya!

WAKENYA wakafanya mabadiliko makubwa kwenye KATIBA yao wakidhani ndio kuwapa watu wao Demokrasia🤣🤣kumbe wanaenda kuua Nchi yao wenyewe!

Tunasema reforms is a gradual process which with time has to be tested kujua uzuri na ubaya!Niliwahi kuandika hapo nyuma kwamba ni "kichaa" tu ambaye anaweza Kukubali "Full Reformation" kwenye mifumo yake ya Nchi ya (I) Uchaguzi (II) MAHAKAMA (III) KATIBA at per!KATIBA MPYA ya Kenya ulikuwa ni ukichaa uliopitiliza kwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama hasa Idara ya Usalama wa Taifa ya Kenya(NIS)kushindwa kuona "shadow" hii ya KATIBA MPYA ya mwaka 2010!

Narudia tena,kwa watu makini,kwa Taifa makini "Reformation chache has to be tested before going to full reforms".

Msije Tanzania kufanya KOSA la Kenya eti kisa Mzee Warioba na Timu yake wanataka fully Reforms!

Never Test!
 
View attachment 3397903
Watch a stupidity of kenyan.
Nilisema kwamba: Tanzania haijawai poteza hata kijiko kwasababu ya maandamano uku kila siku mnatuonyesha picha ya kenya inayoteketea.. sasa inakuwaje Kenya inawazidini karibu kila Sector?.

basically tulipaswa kuona Tanzania iko mbele ya kenya kwasababu Tanzania haijawai kuwa na maandamano na uhalibifu wa mali lakini sasa ni kinyume chake.

isn't it obvious mnaichukia siasa za Kenya kwasababu zinaweza kuwa Eye opener kwa watanzania?.
 
Hivi niwaulize wote ambao mnataka damu imwagike ,hivi watanzania wkilianzisha kuna mmja wenu humu yuko tiali kushika ata gobire kutangulia msitari wa mbele ,tutmie Hakiri kwanza kabla ya kutenda ,inabidi tuwe na mahamzi yenye busara na hekima ,sisi ni watanzania na si wasudani wala wakenya ,mwenzio akinyolewa na zako tia maji
 
Kila mara ukabila wa Kenya huwa unatajwa, ila nikiri tu bado sijaona kama ni sababu kuu ya tofauti zao. Nadhani Wakenya wamevurugwa tu kisaikolojia na jambo au mambo mengine, ila inapotokea ishu ambayo kwao wanaitazama kama ukiukwaji wa haki au demokrasia, basi inakuwa kama vile inachochea kuvurugwa kwao, wanaingia street. Kwa ufupi nadhani kuna jambo la kisaikolojia linalowafanya wakose uvumilivu kwa mambo mengine ya kijamii
Inasemekana ni pamoja na utafunaji wa mirungi na kuna nyingine mpya wanatafuna siku hizi inaitwa mkokaa!
Majani hayo ya kulevya ambayo kwenye nchi yao siyo haramu kama somalia na Yemen ndio yanawavuruga akili!
 
Nilisema kwamba: Tanzania haijawai poteza hata kijiko kwasababu ya maandamano uku kila siku mnatuonyesha picha ya kenya inayoteketea.. sasa inakuwaje Kenya inawazidini karibu kila Sector?.

basically tulipaswa kuona Tanzania iko mbele ya kenya kwasababu Tanzania haijawai kuwa na maandamano na uhalibifu wa mali lakini sasa ni kinyume chake.

isn't it obvious mnaichukia siasa za Kenya kwasababu zinaweza kuwa Eye opener kwa watanzania?.
Shida wengi wanabwabwaja bila ata fact yoyote
 
Tuna haki ya kuwa na katiba mpya sawa hila tuangalie tusije kuwa ka hao wakenya ambao walitaka katiba mpya ikawapeleka maandamanoni ,kama tutpewa nafasi ya kutunga rasimu za katiba basi tuwe makini San katika mawazo yetu tusije tukajuta kwa bad outcomes mbelen
 
Nimeitoa huko kwa mdadisi na aliyekuwa mshiriki wa ujenzi wa katiba ya kenya,
::::::::::::::::::::::::::::::

KENYA INATEKETEA KISA KATIBA MPYA: NI FURSA NA SOMO KWA TANZANIA

Ni dhahiri polisi wa kawaida wamezidiwa. Sasa jeshi limelazimika kuingia kupambana na wanaojiita GenZ.

Bahati niliteuliwa kama mshauri Kwa shirikisho la vyama vya wafanyakazi Cha Kenya (COTU -K) anachoongoza Brother Francis Atwoli. Ni wakati wa mchakato wa kutunga kilichoitwa katiba mpya. Wafanyakazi walishirikishwa vya kutosha. Hivyo ITUC na ILO wakanipa kibarua Cha kushauri. Vikao vingi tulifanya pale Mombasa.

Nilipopitia rasimu nilistaajabu kuona mambo ya hovyo ndani ya rasimu. Nitapitia machache:

1. Pendekezo kwamba kima cha chini cha mshahara (minimum living wage) kitamkwe kwenye katiba. Wenyewe wakidhani ni jambo zuri mno mshahara wa kima cha chini kulindwa kikatiba. Niliwaeleza huu ni ujinga. Mshahara ni suala la "econometrics". Sio a political issue.

2. Majaji wasailiwe na wananchi kabla ya kuajiriwa kupitia runinga. Wao wakiamini kuwa itazuia majaji kula rushwa au kuendelea serikali. Niliwaeleza upumbavu uliopo. Kwanza jaji hapimwi Kwa kigezo kimoja tu. Pili itawezekana vipi raia ambaye hata kuhesabu mpaka 5 hawezi amsaili jaji? Je baada ya kumsaili nani ataamua huyu aajiriwe yule ailsiajiriwe? n.k.

3. Uhuru wa kuandamana na kukusanyika usio na masharti. Niliwaeleza Nini kitatokea uhuru aina hii ukitolewa na katiba. Ndicho kinatokea Sasa.

4. Kuwe na wabunge wanaowakilisha wafanyakazi. Hili niliwarejesha Kwa Uganda, Tanzania, Cameroon na Cote D'Ivoire. Wafanyakazi huko walikuwa wanadai ubunge huo ufutwe hauwasaidii. Tanzania tulifanikiaa kujiondoa kwenye jumuia za chama na ndio JUWATA ikafa ikaja TFTU, baadae OTTU na Sasa TUCTA. Wafanyakazi walikuja kugundua wawakilishi wao walijali matumbo Yao. Pia ukitoka uamuzi unaowaumiza wanashindwa kupinga Kwa kuwa wawakilishi wao walishiriki kutoa uamuzi.

5. Kuruhusu maofisa na watendaji kushitakiwa binafsi hata wanapofanya kosa wakati wanatekeleza majukumu waliyopewa na katiba. Niliwaambia hii itafanya watumishi wa serikali haswa wa vyombo vya Dola kuzembea. Ndio maana Sasa unaona kisichana kinatikisa makalio mbele ya askari mwenye rungu na bunduki. Watumishi aina hii wanatakiwa waadhibiwe na mahakama ya kijeshi tu.

Nimetaja mifano michache lakini kusema kweli katiba ya Kenya ni mbovu mno na ndio chanzo cha haya machafuko . Wanatuambia ni katiba nzuri tuiige hawajui wasemalo. Nao Wana mawazo na matendo ya kina Shakira, Boniface Mwangi, Martha Karua, Kalonzo na Odinga.

Kuvurugika nchi ndio wanapata maslahi Yao

Tukatae. Tusiichezee katiba. Tusifanye reforms kwa mashinikizo.

Mwisho: nyumba ya jirani ikungua wee Jenga nyingi. Wapangaji wapo. Hakuna mtalii ataenda Kenya sasa. Wawekezaji wanaanza kuhama. Huu ndio muda wetu kuchangamka.

Halafu tuimarishe ulinzi mpakani. Wakimbizi wako njiani wanakuja.

Mwishoooo: tuendelee kudhibiti wakorofi wetu kwa nguvu na ari mpya. Bora walie sasa kuliko kuacha waanze kuchoma majengo na mali za watu
Nakazia tuwachape viboko tu,wanaojibidisha kutupeleka katika majanga ya aina hii,si kila jambo nilakuiga.
Nilisema, na narudia maneno ya wazee: "huwezi kuzuia kuhara kwa kidole kimoja". Hii ndio Kenya, wanaiteketeza huku wakihisi wapo sahihi na ni wasomi wa grade 1. Fikiria hii ni Magunas Supermarket (ipo Makutano, Meru). Vijana wanabomoa, wanachukua/kuiba na kuchoma mali za wafanyabiashara au serikali moto. Wasipodhibitiwa, mzigo wa shida unasambaa Afrika ya Mashariki, hasa hasa sisi majirani wa pande nyingi. Leo Kenya isipotawalika, hata sisi tunaumia kwa kiasi kikubwa sana.
#wanachimba highways yao iliyojengwa Kwa mabilioni ya DollarView attachment 3397922
View attachment 3397877
Huna Akili, uliwezaje kualikwa kwenye Mchakato wa Katiba ya Kenya?
 
Hii Mambo ya katiba mpya,ni kujichosha akili TU,hakuna hiyo kitu, Kwa sababu kubweka kumeumbwa,you can continue to bark!
Katiba mpya kwangu ni kuwa na tume huru ya uchaguzi ,
Kuondoka wakuu wa wilaya na mikoa bali wawepo maseneta na ma- ded wasiteuliwe na rais bali wafanyiwe usaili .
Polisi wasihusishwe kwenye uchaguzi
Wakuu wa taasisi zote wasiteuliwe na rais bali wafanyiwe usaili.
Kiwango Cha elimu Cha wabunge iwe ni degree.
Hayo mengine tunaweza copy kwa katiba iliyopo
 
Akili iko mbali na wewe.
Uchumi wa Tanzania unamilikiwa na wahindi na midlle easterners ambao hata hawafiki laki 3 katikati ya watanzania milioni 70 ila bado unaujasili wa kusema uchumi wa kenya unamilikiwa na wageni.
uko manipulated sana ndiyo mnaujasiri wa kushangilia in your defeat.
Bure kabisa
Hili suala nilipiga kelele huko reddit watu wakaja juu na kusema eti Rostam, GSM na Dewji ni watanzania mna nina wivu aisee. Wazungu wanashangaa Tanzania inazunguka kutafuta wawekezaji wa nje na Rostam. Eti ni mfanyabishara mzawa . Watu wana ndugu uarabuni na Uhindini halafu unategemea wakipata faida wawekeze hapa Tanzania ?Hili nchi tuko nyuma sana. Ukienda Kenya makampuni makubwa yote yanamilikiwa na wakenya asilia. Mpaka unaenjoy doing business. Kuanzia mashamba ya chai na kahawa mpaka meat processing plants.
 
Nimeitoa huko kwa mdadisi na aliyekuwa mshiriki wa ujenzi wa katiba ya kenya,
::::::::::::::::::::::::::::::

KENYA INATEKETEA KISA KATIBA MPYA: NI FURSA NA SOMO KWA TANZANIA

Ni dhahiri polisi wa kawaida wamezidiwa. Sasa jeshi limelazimika kuingia kupambana na wanaojiita GenZ.

Bahati niliteuliwa kama mshauri Kwa shirikisho la vyama vya wafanyakazi Cha Kenya (COTU -K) anachoongoza Brother Francis Atwoli. Ni wakati wa mchakato wa kutunga kilichoitwa katiba mpya. Wafanyakazi walishirikishwa vya kutosha. Hivyo ITUC na ILO wakanipa kibarua Cha kushauri. Vikao vingi tulifanya pale Mombasa.

Nilipopitia rasimu nilistaajabu kuona mambo ya hovyo ndani ya rasimu. Nitapitia machache:

1. Pendekezo kwamba kima cha chini cha mshahara (minimum living wage) kitamkwe kwenye katiba. Wenyewe wakidhani ni jambo zuri mno mshahara wa kima cha chini kulindwa kikatiba. Niliwaeleza huu ni ujinga. Mshahara ni suala la "econometrics". Sio a political issue.

2. Majaji wasailiwe na wananchi kabla ya kuajiriwa kupitia runinga. Wao wakiamini kuwa itazuia majaji kula rushwa au kuendelea serikali. Niliwaeleza upumbavu uliopo. Kwanza jaji hapimwi Kwa kigezo kimoja tu. Pili itawezekana vipi raia ambaye hata kuhesabu mpaka 5 hawezi amsaili jaji? Je baada ya kumsaili nani ataamua huyu aajiriwe yule ailsiajiriwe? n.k.

3. Uhuru wa kuandamana na kukusanyika usio na masharti. Niliwaeleza Nini kitatokea uhuru aina hii ukitolewa na katiba. Ndicho kinatokea Sasa.

4. Kuwe na wabunge wanaowakilisha wafanyakazi. Hili niliwarejesha Kwa Uganda, Tanzania, Cameroon na Cote D'Ivoire. Wafanyakazi huko walikuwa wanadai ubunge huo ufutwe hauwasaidii. Tanzania tulifanikiaa kujiondoa kwenye jumuia za chama na ndio JUWATA ikafa ikaja TFTU, baadae OTTU na Sasa TUCTA. Wafanyakazi walikuja kugundua wawakilishi wao walijali matumbo Yao. Pia ukitoka uamuzi unaowaumiza wanashindwa kupinga Kwa kuwa wawakilishi wao walishiriki kutoa uamuzi.

5. Kuruhusu maofisa na watendaji kushitakiwa binafsi hata wanapofanya kosa wakati wanatekeleza majukumu waliyopewa na katiba. Niliwaambia hii itafanya watumishi wa serikali haswa wa vyombo vya Dola kuzembea. Ndio maana Sasa unaona kisichana kinatikisa makalio mbele ya askari mwenye rungu na bunduki. Watumishi aina hii wanatakiwa waadhibiwe na mahakama ya kijeshi tu.

Nimetaja mifano michache lakini kusema kweli katiba ya Kenya ni mbovu mno na ndio chanzo cha haya machafuko . Wanatuambia ni katiba nzuri tuiige hawajui wasemalo. Nao Wana mawazo na matendo ya kina Shakira, Boniface Mwangi, Martha Karua, Kalonzo na Odinga.

Kuvurugika nchi ndio wanapata maslahi Yao

Tukatae. Tusiichezee katiba. Tusifanye reforms kwa mashinikizo.

Mwisho: nyumba ya jirani ikungua wee Jenga nyingi. Wapangaji wapo. Hakuna mtalii ataenda Kenya sasa. Wawekezaji wanaanza kuhama. Huu ndio muda wetu kuchangamka.

Halafu tuimarishe ulinzi mpakani. Wakimbizi wako njiani wanakuja.

Mwishoooo: tuendelee kudhibiti wakorofi wetu kwa nguvu na ari mpya. Bora walie sasa kuliko kuacha waanze kuchoma majengo na mali za watu
Nakazia tuwachape viboko tu,wanaojibidisha kutupeleka katika majanga ya aina hii,si kila jambo nilakuiga.
Nilisema, na narudia maneno ya wazee: "huwezi kuzuia kuhara kwa kidole kimoja". Hii ndio Kenya, wanaiteketeza huku wakihisi wapo sahihi na ni wasomi wa grade 1. Fikiria hii ni Magunas Supermarket (ipo Makutano, Meru). Vijana wanabomoa, wanachukua/kuiba na kuchoma mali za wafanyabiashara au serikali moto. Wasipodhibitiwa, mzigo wa shida unasambaa Afrika ya Mashariki, hasa hasa sisi majirani wa pande nyingi. Leo Kenya isipotawalika, hata sisi tunaumia kwa kiasi kikubwa sana.
#wanachimba highways yao iliyojengwa Kwa mabilioni ya DollarView attachment 3397922
View attachment 3397877
Kenge maji wewe usifikiri TZ ya sasa ni ya wale wapumbavu wa zamani...pelekea chawa wenzio vilaza huo ugoro....
 
Mwafrika si kiumbe anayetakiwa kutawaliwa kwa demokrasia.
 
Umemjibu vizuri,tatizo si katiba Yao ,Maisha ya vijana Kenya ni Magumu kuliko unafikiria hawana ajira,Wala shamba , matokeo yake wanaona hawana Cha kupoteza hata wakiwaua sana ndo watazidi kuharibu...
#Silaha ni Uchumi mzuri,uhuru na haki ndo utajenga Nchi yenye amani,
Sidhan kuwa hawana Mashamba ila wengi wao wanakimbilia mijini.
Sio Kila kazi inahitaji uwe na shamba maana hata hao wafanyabiashara wengi ni wasomali ambao hawana maeneo .
Wakenya wengi wanaamini katika kiingereza na kuajiriwa na sio kujihangaikia.
Watanzania wengi hawaamini katika serikali bali katika kujihangaikia ili kukuza kipato.
 
Bila ya kuwa na viongozi wenye uadilifu na uwajibikaji hata ikija Katiba kutoka mbinguni hakuna kitakachobadilika. Kuna nchi hazina hata katiba iliyoandikwa lakini uadilifu na uwajibikaji wa viongozi unafanya mataifa hayo kuwa mbali kiuchumi miaka 1000 mbele zaidi ya sisi tunaotegemea katiba
 
Back
Top Bottom