Kenya inaangamia kipuuzi kabisa

Kenya inaangamia kipuuzi kabisa

Akili iko mbali na wewe.
Uchumi wa Tanzania unamilikiwa na wahindi na midlle easterners ambao hata hawafiki laki 3 katikati ya watanzania milioni 70 ila bado unaujasili wa kusema uchumi wa kenya unamilikiwa na wageni.
uko manipulated sana ndiyo mnaujasiri wa kushangilia in your defeat.
Bure kabisa
Wewe ni shithole tu hujui lolote au unaongea siasa siyo halisia eti uchumi TZ umemilikiwa na wageni labda huko kwenu Kenya. Tanzania uchumi unamilikiwa na watz wenyewe awe mhindi, waarabu au weusi hakuna mgeni hapa TZ anamiliki ardhi na ardhi ndio uchumi wenyewe kama hujui.
 
Kuna watu ni deliberately ignorant kama mleta mada.
lengo la uzi wake ni kudemarket siasa za Kenya na sio kitu kingine.
Nairobi peke yake ni karibu ya uchumi wa Uganda nzima.
magari yaliyopo Tanzania na Uganda ukiyachanganya pamoja bado hayafikiii idadi ya magari yaliyopo kenya tena ikiwa mbele ya Ethiopia.
Ebu tuanzie hapo kwenye records za magari.
Kitu pekee ambacho kinaweza determine wingi wa magari ni kwa Fanya sampling based on reality.
Ntakupa mfano mmoja wa importation ya buses kwa mwez June -july ( kuna buses zaid ya 120 hapo bila kuweka trucks na small cars) na nimechukua sample ya buses tu.
Tukija Kenya hakuna idadi ya buses zilizotengenezwa au nunuliwa zinazofikia hata units 100 kwa mwaka huu mzima.
I. e Over 40passengers
wakenya wana strong Healthcare kuliko nchi yoyote Africa mashariki (ni ya tatu kwa Africa) hadi maraisi na watu wakubwa tz wakipatwa na magonjwa mazito brek ya kwanza ni kwenya.
upande wa Elimu ndiyo basi kabisa.. M'bibi uko kenya ndani ndani
Issue ya kuwa na wasomi wengi ingewasaidia kujinufaisha kiuchumi badala ya kutegemea ajira, usomi sio ajira bali Ile kuweza kuyamaster mazingira yako na ukayafanya fursa,
Lakini pamoja na yote bado usomi wenu umebaki kwenye karatasi , maana pamoja na kuwa na kuwa nchi kubwa zaid ya Vietnam na lakini mko nyuma sana kwahiyo usomi wenu haujawasaidia popote.
Na kama mneutumia usomi wenu lazima wakati mnaandaa katiba mngekumbuka kuweka issue za ardhi maana ndo ustawi taifa lenu.

anachanganua mambo makubwa ya kitaifa kuliko profesa wa Tanzania.
alafu Kuna mtu anasimama anasema kenya si lolote kwa Tanzania kwasababu tuliwai kuwape Sembe!.

kenya wana upungufu wa ardhi si kwasababu ardhi imehodiwa na wachache bali nchi yao ni ndogo kulinganisha na idadi yao.tunawazidi kidogo kitu katika idadi ya watu na Nchi yetu ni kubwa karibu Mara mbili yao nchi yao.
we are rejoicing in our defeat.
Kwa Dunia ya sasa ardhi sio mtaji Tena , kuna kazi kibao zinaweza fanyika bila hata kuhitaji ardhi kubwa sana
 
Matatizo wanayopitia Kenya sasa ni tofauti kabisa na Tz.
Hata tabia za wananchi na mihemko yao iko tofauti kabisa.
Tabia za watanzania na Kenya ni tofauti. Tanzania hawapend kusumbuana. Katiba ya Tanzania inahitaji marekebisho kidogo sana hasa hii mifumo ya teuzi na uchaguzi
Kwani katiba ya Tz ikirekebishwa ni lazima ifanane na ya Kenya??
Hii hoja wanatumia wapumbavu peke, ati ona Kenya wanavyopigana, katiba mpya haisaidii. Sasa kwani utachukua ya Kenya na kuipaste Tz ilhali hatufananii kwa mambo mengi sana.
 
Tatizo la Kenya siyo katiba wala nini, tatizo kubwa la Kenya lilisababishwa na Jommo Kenyatta kuanza kujimilikisha maeneo makubwa utaratibu ambao uliigwa na viongozi waliokuwa serikalini na hata wengine waliofuatia akiwemo Odinga, Ruto nk matokeo yake raia wa kawaida(wanyonge)ambao ndio wengi wakawa ama wana maeneo kidogo sana au hakuna kabisa. Kwa Kenya mtu kumiliki ardhi ya ekari 2 tu ni issue, watu hawana maeneo ya kulima wanategemea kununua chakula ndio maana bei ya unga ikipanda kidogo tu tatizo.Tanzania watu tena wanyonge tu wanamiliki maeneo makubwa wanalima wanapata chakula cha kutosha wanakula wanashiba ukiwaambia waandamane kudai katiba hawakuelewi.Kipindi cha nyuma kidogo hali ya viongozi kuanza kujimilikisha ardhi ilianza hapa bongo mnakumbuka akina Sumaye nk. Tusiruhusu watu wachache wajimilikishe ardhi kuepuka yanayotokea Kenya.
 
Kuna watu ni deliberately ignorant kama mleta mada.
lengo la uzi wake ni kudemarket siasa za Kenya na sio kitu kingine.
Nairobi peke yake ni karibu ya uchumi wa Uganda nzima.
magari yaliyopo Tanzania na Uganda ukiyachanganya pamoja bado hayafikiii idadi ya magari yaliyopo kenya tena ikiwa mbele ya Ethiopia.

wakenya wana strong Healthcare kuliko nchi yoyote Africa mashariki (ni ya tatu kwa Africa) hadi maraisi na watu wakubwa tz wakipatwa na magonjwa mazito brek ya kwanza ni kwenya.
upande wa Elimu ndiyo basi kabisa.. M'bibi uko kenya ndani ndani anachanganua mambo makubwa ya kitaifa kuliko profesa wa Tanzania.
alafu Kuna mtu anasimama anasema kenya si lolote kwa Tanzania kwasababu tuliwai kuwape Sembe!.

kenya wana upungufu wa ardhi si kwasababu ardhi imehodiwa na wachache bali nchi yao ni ndogo kulinganisha na idadi yao.tunawazidi kidogo kitu katika idadi ya watu na Nchi yetu ni kubwa karibu Mara mbili yao nchi yao.
we are rejoicing in our defeat.
Rudi kwenu Kenya mkafanye maandamano ili muibe mali za watu hapa TZ mtapigwa na kuvunjwa miguu tu.
 
Tatizo la Kenya siyo katiba wala nini, tatizo kubwa la Kenya lilisababishwa na Jommo Kenyatta kuanza kujimilikisha maeneo makubwa utaratibu ambao uliigwa na viongozi waliokuwa serikalini na hata wengine waliofuatia akiwemo Odinga, Ruto nk matokeo yake raia wa kawaida(wanyonge)ambao ndio wengi wakawa ama wana maeneo kidogo sana au hakuna kabisa. Kwa Kenya mtu kumiliki ardhi ya ekari 2 tu ni issue, watu hawana maeneo ya kulima wanategemea kununua chakula ndio maana bei ya unga ikipanda kidogo tu tatizo.Tanzania watu tena wanyonge tu wanamiliki maeneo makubwa wanalima wanapata chakula cha kutosha wanakula wanashiba ukiwaambia waandamane kudai katiba hawakuelewi.Kipindi cha nyuma kidogo hali ya viongozi kuanza kujimilikisha ardhi ilianza hapa bongo mnakumbuka akina Sumaye nk. Tusiruhusu watu wachache wajimilikishe ardhi kuepuka yanayotokea Kenya.
Kiuhalisia kwa mtaani watanzania wanafuu kubwa ya maisha kuliko huko Kenya ni vile tu watu hawajatambua
 
Katiba tunayoitaka ni ile itakayoruhusu kunyongwa wezi wote wanaotajwa na CAG.

Kufutwa kwa Matumizi ya Anasa ya viongozi

Kuondoa wabunge wa darasa la saba

Kuwapa RAIA nafasi ya kuchagua viongozi wanaowataka
 
Rudi kwenu Kenya mkafanye maandamano ili muibe mali za watu hapa TZ mtapigwa na kuvunjwa miguu tu.
hii ndiyo equality ya kenya:kenya leaders wanafanya corruption na wanachi wanafanya vandalism wakiwa na hasira.
Tanzania leaders are too corrupt ila mwananchi haruhusiwa hata kuiba kijiko hata kuongea huruhusiwu na huo ndiyo uzalendo mnaouhubiri.
your days are numbers. Tanzanians are about to wake up from their slumber.
 
Wewe ni shithole tu hujui lolote au unaongea siasa siyo halisia eti uchumi TZ umemilikiwa na wageni labda huko kwenu Kenya. Tanzania uchumi unamilikiwa na watz wenyewe awe mhindi, waarabu au weusi hakuna mgeni hapa TZ anamiliki ardhi na ardhi ndio uchumi wenyewe kama hujui.
You are deliberately ignorant na alarmist. Nina kuignore ukufe na ujinga wako wa maksudi.
 
Ebu tuanzie hapo kwenye records za magari.
Kitu pekee ambacho kinaweza determine wingi wa magari ni kwa Fanya sampling based on reality.
Ntakupa mfano mmoja wa importation ya buses kwa mwez June -july ( kuna buses zaid ya 120 hapo bila kuweka trucks na small cars) na nimechukua sample ya buses tu.
Tukija Kenya hakuna idadi ya buses zilizotengenezwa au nunuliwa zinazofikia hata units 100 kwa mwaka huu mzima.
I. e Over 40passengers

Issue ya kuwa na wasomi wengi ingewasaidia kujinufaisha kiuchumi badala ya kutegemea ajira, usomi sio ajira bali Ile kuweza kuyamaster mazingira yako na ukayafanya fursa,
Lakini pamoja na yote bado usomi wenu umebaki kwenye karatasi , maana pamoja na kuwa na kuwa nchi kubwa zaid ya Vietnam na lakini mko nyuma sana kwahiyo usomi wenu haujawasaidia popote.
Na kama mneutumia usomi wenu lazima wakati mnaandaa katiba mngekumbuka kuweka issue za ardhi maana ndo ustawi taifa lenu.

Kwa Dunia ya sasa ardhi sio mtaji Tena , kuna kazi kibao zinaweza fanyika bila hata kuhitaji ardhi kubwa sana
bure kabisa.
 
hii ndiyo equality ya kenya:kenya leaders wanafanya corruption na wanachi wanafanya vandalism wakiwa na hasira.
Tanzania leaders are too corrupt ila mwananchi haruhusiwa hata kuiba kijiko hata kuongea huruhusiwu na huo ndiyo uzalendo mnaouhubiri.
your days are numbers. Tanzanians are about to wake up from their slumber.
Ingekuwa wanaenda kufanya vandalism kwenye benki au biashara zinazomilikiwa na hao viongoz waliowaibia tungewaona wanafanya jambo jema, lakini kwenda kuiba kwa duka la mtoto wa maskini aliyehangaika kutafuta mtaji kwa maumivu afungue duka ni ujinga tu
 
Mwaka 2010 Nchi ya Kenya kwasababu ya "Pressure" kutoka Vyama vya Upinzani,WAKENYA "walikurupuka" na kuja na KATIBA MPYA ambayo kimsingi ilikuwa na madhara makubwa kwa Nchi hiyo mpaka Jana!Kelele za REFORMS sio mpya sana katika ukanda wa Afrika Mashariki huu!

Pressure hiyo kubwa iliyotokana na matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2007 iliwafanya WAKENYA kudhani kuhitaji(I) REFORMS kubwa kwa(II) wakati Mmoja katika(III) Taasisi Nyeti za Taifa(Political and Legal Reformation s),Makosa makubwa!

Maandamano ambayo unashuhudia leo Nchini Kenya huku Nchi ikiwa katika "panic" kubwa mpaka Rais Ruto kukosa utulivu wa kuendesha Nchi ni matokeo ya kukimbilia kujibu matakwa ya Wapinzani kwa kukurupuka(No Reforms No Election).

Dhana hii ya No Reforms No Election sio dhana mpya watu wakadhani ni dhana ya Chadema bali mambo haya yalishafanyika Nchini Kenya na kwa sasa baada ya KATIBA MPYA ya mwaka 2010 haya sasa ndio matokeo yake!

KATIBA ya Kenya inaruhusu Maandamano bila ukomo!KATIBA ya Kenya inakataza Polisi na Vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama kutotumia risasi za moto hata kama wandamanaji wanasonga Ikulu 🤣🤣🤣!Ndani ya Bunge la Kenya ni kawaida sana Viongozi kupigana NGUMI!KATIBA MPYA ya Kenya 2010 inatamka Rais kuweza kushitakiwa baada ya kutoka madarakani!Huu👆👆ndio/ndizo REFORMS ambazo WAKENYA walizichagua na sasa zinavuruga AMANI na Usalama wa Nchi!

Tegemea soon kuona WAKENYA wengi wakikimbilia Nchini Tanzania kama maandamano haya👆👆👆👆 yatashika kasi!(I)Maduka yanaporwa na Vijana wahuni wa Upinzani(II)Magari ya Raia wa Kenya yanachomwa moto barabaranii,(III)Polisi wanapigwa na Raia,(IV)Raia wanaiba/pora gari za Polisi(V)Raia wanaua Polisi na kuchukua uniform za Polisi na kuzivaa🤣🤣🤣!Haya ndio "Mazao " ya KATIBA MPYA yaani No Reforms No Election kwa Kenya!

WAKENYA wakafanya mabadiliko makubwa kwenye KATIBA yao wakidhani ndio kuwapa watu wao Demokrasia🤣🤣kumbe wanaenda kuua Nchi yao wenyewe!

Tunasema reforms is a gradual process which with time has to be tested kujua uzuri na ubaya!Niliwahi kuandika hapo nyuma kwamba ni "kichaa" tu ambaye anaweza Kukubali "Full Reformation" kwenye mifumo yake ya Nchi ya (I) Uchaguzi (II) MAHAKAMA (III) KATIBA at per!KATIBA MPYA ya Kenya ulikuwa ni ukichaa uliopitiliza kwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama hasa Idara ya Usalama wa Taifa ya Kenya(NIS)kushindwa kuona "shadow" hii ya KATIBA MPYA ya mwaka 2010!

Narudia tena,kwa watu makini,kwa Taifa makini "Reformation chache has to be tested before going to full reforms".

Msije Tanzania kufanya KOSA la Kenya eti kisa Mzee Warioba na Timu yake wanataka fully Reforms!

Never Test!
STUPID, KAMA WENYE NCHI WANATAKA REFORMS UNASUBIRI NINI? uPUUZI WENU NI KUWA NCHI HII NI YA SAMIA NA GENGE LAKE, NA KUSAHAU KUWA WANANCHI NDIO WENYE NCHI. WATAKAVYO KWA NCHI YAO IFANYWE WATAKAVYO! kATIBA MPYA WANATAKA!
 
Ingekuwa wanaenda kufanya vandalism kwenye benki au biashara zinazomilikiwa na hao viongoz waliowaibia tungewaona wanafanya jambo jema, lakini kwenda kuiba kwa duka la mtoto wa maskini aliyehangaika kutafuta mtaji kwa maumivu afungue duka ni ujinga tu
watawala wenye akili uiba nje(kama kageme )ili kulinufaidha taifa lake. lakini nyie mnapora masikini hand to mouth people ili mnunue mashangingi na kujenga majumba ya kifahari katikati ya makazi ya mafukara alafu mnasema hsuo ndiyo maendeleo.
mzee asiye na Bima ya Afya anakufa kwa kukoswa panadol halikuumizi ila unaumia kuona waandamanaji wenye hasira kenya wakipora kwa Duka la Mama Ngina.
 
Nimeitoa huko kwa mdadisi na aliyekuwa mshiriki wa ujenzi wa katiba ya kenya,
::::::::::::::::::::::::::::::

KENYA INATEKETEA KISA KATIBA MPYA: NI FURSA NA SOMO KWA TANZANIA

Ni dhahiri polisi wa kawaida wamezidiwa. Sasa jeshi limelazimika kuingia kupambana na wanaojiita GenZ.

Bahati niliteuliwa kama mshauri Kwa shirikisho la vyama vya wafanyakazi Cha Kenya (COTU -K) anachoongoza Brother Francis Atwoli. Ni wakati wa mchakato wa kutunga kilichoitwa katiba mpya. Wafanyakazi walishirikishwa vya kutosha. Hivyo ITUC na ILO wakanipa kibarua Cha kushauri. Vikao vingi tulifanya pale Mombasa.

Nilipopitia rasimu nilistaajabu kuona mambo ya hovyo ndani ya rasimu. Nitapitia machache:

1. Pendekezo kwamba kima cha chini cha mshahara (minimum living wage) kitamkwe kwenye katiba. Wenyewe wakidhani ni jambo zuri mno mshahara wa kima cha chini kulindwa kikatiba. Niliwaeleza huu ni ujinga. Mshahara ni suala la "econometrics". Sio a political issue.

2. Majaji wasailiwe na wananchi kabla ya kuajiriwa kupitia runinga. Wao wakiamini kuwa itazuia majaji kula rushwa au kuendelea serikali. Niliwaeleza upumbavu uliopo. Kwanza jaji hapimwi Kwa kigezo kimoja tu. Pili itawezekana vipi raia ambaye hata kuhesabu mpaka 5 hawezi amsaili jaji? Je baada ya kumsaili nani ataamua huyu aajiriwe yule ailsiajiriwe? n.k.

3. Uhuru wa kuandamana na kukusanyika usio na masharti. Niliwaeleza Nini kitatokea uhuru aina hii ukitolewa na katiba. Ndicho kinatokea Sasa.

4. Kuwe na wabunge wanaowakilisha wafanyakazi. Hili niliwarejesha Kwa Uganda, Tanzania, Cameroon na Cote D'Ivoire. Wafanyakazi huko walikuwa wanadai ubunge huo ufutwe hauwasaidii. Tanzania tulifanikiaa kujiondoa kwenye jumuia za chama na ndio JUWATA ikafa ikaja TFTU, baadae OTTU na Sasa TUCTA. Wafanyakazi walikuja kugundua wawakilishi wao walijali matumbo Yao. Pia ukitoka uamuzi unaowaumiza wanashindwa kupinga Kwa kuwa wawakilishi wao walishiriki kutoa uamuzi.

5. Kuruhusu maofisa na watendaji kushitakiwa binafsi hata wanapofanya kosa wakati wanatekeleza majukumu waliyopewa na katiba. Niliwaambia hii itafanya watumishi wa serikali haswa wa vyombo vya Dola kuzembea. Ndio maana Sasa unaona kisichana kinatikisa makalio mbele ya askari mwenye rungu na bunduki. Watumishi aina hii wanatakiwa waadhibiwe na mahakama ya kijeshi tu.

Nimetaja mifano michache lakini kusema kweli katiba ya Kenya ni mbovu mno na ndio chanzo cha haya machafuko . Wanatuambia ni katiba nzuri tuiige hawajui wasemalo. Nao Wana mawazo na matendo ya kina Shakira, Boniface Mwangi, Martha Karua, Kalonzo na Odinga.

Kuvurugika nchi ndio wanapata maslahi Yao

Tukatae. Tusiichezee katiba. Tusifanye reforms kwa mashinikizo.

Mwisho: nyumba ya jirani ikungua wee Jenga nyingi. Wapangaji wapo. Hakuna mtalii ataenda Kenya sasa. Wawekezaji wanaanza kuhama. Huu ndio muda wetu kuchangamka.

Halafu tuimarishe ulinzi mpakani. Wakimbizi wako njiani wanakuja.

Mwishoooo: tuendelee kudhibiti wakorofi wetu kwa nguvu na ari mpya. Bora walie sasa kuliko kuacha waanze kuchoma majengo na mali za watu
Nakazia tuwachape viboko tu,wanaojibidisha kutupeleka katika majanga ya aina hii,si kila jambo nilakuiga.
Nilisema, na narudia maneno ya wazee: "huwezi kuzuia kuhara kwa kidole kimoja". Hii ndio Kenya, wanaiteketeza huku wakihisi wapo sahihi na ni wasomi wa grade 1. Fikiria hii ni Magunas Supermarket (ipo Makutano, Meru). Vijana wanabomoa, wanachukua/kuiba na kuchoma mali za wafanyabiashara au serikali moto. Wasipodhibitiwa, mzigo wa shida unasambaa Afrika ya Mashariki, hasa hasa sisi majirani wa pande nyingi. Leo Kenya isipotawalika, hata sisi tunaumia kwa kiasi kikubwa sana.
#wanachimba highways yao iliyojengwa Kwa mabilioni ya DollarView attachment 3397922
View attachment 3397877
July 4 1776 bila shaka kuna machawa wa makabaila wa Uingereza na falme za ulaya yalikuwa yakiandika maoni kama haya haya kwa America kudai uhuru wake!.
Kwa maoni yako ni kama kumshangaa mwanaume aliyepitia tohara, kila ukiwaza maumivu aliyopitia basi unasema hapana huku akimchheka wakati yupo hatua za mwishoni kupona kidonda
 
Back
Top Bottom