Kenya inaangamia kipuuzi kabisa

Kenya inaangamia kipuuzi kabisa

Ingekuwa wanaenda kufanya vandalism kwenye benki au biashara zinazomilikiwa na hao viongoz waliowaibia tungewaona wanafanya jambo jema, lakini kwenda kuiba kwa duka la mtoto wa maskini aliyehangaika kutafuta mtaji kwa maumivu afungue duka ni ujinga tu
Kwa hapo hata mimi wamenikera sana kwakweli

Hawa wengi wao ni vijana wahuni tu
 
Ukabila ndizo unawatesa , capitalism imewapa prosperity. Wana Dual citizenship, uchumi wao wanamiliki. Sisi uchumi unamilikiwa na kina Rostam, Dewji na GSM. Matajiri wa Tanzania ni wahindi, waarabu na sasa wachina. Wachina wenyewe wamepaogopa Kenya. Kule kuwekeza inabidi ufuate standard ndio maana Hadi kuna branch ya UN wana HQ Kenya. Wachina hawawezi kununua nyumba na kufungua viwanda maeneo ya makazi Nairobi. Ila Dar jirani na nyumbani kwa Hayati Mwinyi kuna kiwanda. Kiufupi wakati Kenya wanaelekea kuwa richest country in East and Central Africa sisi tunaelekea kubwa kama Congo au Zambia.
Umeandika "Wakenya wanamiliki uchumi wao." 😂😂😂
Watakucheka.
 
Kwanini kama ya Marekani na sio itakayoendana na mazingira yetu?
Mazingira yenu ni kutawalana kwa mfumo wa machifu, sidhani kama raia wengi wako tayari kukubali kabila moja kuhodhi madaraka yote ya nchi.
 
Aliyekuambia Tanzania bado ipo kwenye socialism ni nani?Muwe mnaosoma nyakati
history boss inahukumu, sijasema Tz iko kwenye socialism lkn element za socialism bado zimedhiri shuhuli za kiuchumi na uchumi mpaka sasa, hivyo elements za capitalism zimeadhiri wakenya mpaka sasa.
 
Mazingira yenu ni kutawalana kwa mfumo wa machifu, sidhani kama raia wengi wako tayari kukubali kabila moja kuhodhi madaraka yote ya nchi.
Mbona hata sasa ni familia chache tu zinahodhi madaraka
 
Kwamba kila unapobadilisha katiba basi kutatokea machafuko kama Kenya?

Nchi nyingine zilizopitia vuguvugu la machafuko kama ya Kenya kule kaskazini mwa Afrika (Misri, Tunisia), walibadilisha katiba yeyote?
 
Ukabila ndizo unawatesa , capitalism imewapa prosperity. Wana Dual citizenship, uchumi wao wanamiliki. Sisi uchumi unamilikiwa na kina Rostam, Dewji na GSM. Matajiri wa Tanzania ni wahindi, waarabu na sasa wachina. Wachina wenyewe wamepaogopa Kenya. Kule kuwekeza inabidi ufuate standard ndio maana Hadi kuna branch ya UN wana HQ Kenya. Wachina hawawezi kununua nyumba na kufungua viwanda maeneo ya makazi Nairobi. Ila Dar jirani na nyumbani kwa Hayati Mwinyi kuna kiwanda. Kiufupi wakati Kenya wanaelekea kuwa richest country in East and Central Africa sisi tunaelekea kubwa kama Congo au Zambia.
wewe acha kudanganya watu, ardhi yavtanzania 99% inamilikiwa na watanzania wenyewekwanza watu wa kawaida sana wasio kuwa hata na uwezo wakilima hayo mashamba, wengi ni tifua tifua na jembe na kukodisha, embu jaribu kukodisha shamba ekar moja tuu hapa kilindi, terat, kiteto kilosa, yaan wazee hawana kitu,wanakukodishia , Sasa wewe unanitajia mchina mhindi( hawa hawamiliki utajiriau uchumi wowote tanzania) ni wafanyabiashara wakuja tuu kila kitu wanajodisha wanafanya biashara wanasepa, hakuna ardh, viwanda au majengo waliowekeza useme wanamiliki uchumi wa watanzania. hawa watatu wazawa tangu uhuru ndio ndio unaangaika nao wakati wanafanya uwekazaji na tunapata ajira. nenda kenya uone jinsi matajiri wachache( 200,000) wanamiliki 95% ya ya ardhi ya kenya wengi viongoz na wazungu-settlers
 
Au tuwe na katiba kama ya China mafisadi wawe wananyongwa.
Tulitakiwa kuwa na kigezo cha kuwanyonga mafisadi papa mara baada ya kuanzisha siasa ya kijamaa na kujitegemea mwaka 1967.
Lakini bila kudhibiti wizi au hujuma HATUTASOGEA HATA TUKILETA KATIBA MPYA.
Angalia India na jirani yake China tofauti ya maendeleo ni Ardhi na mbingu.
Angalia South Afrika kwa sasa inanuka umaskini wa kutisha.Wameshindwa kusimamia uchumi uliokuwa umeishatengenezwa na Mzungu Kaburu.

Kenya nayo ni taifa linalomeguka kwa speed kali.Tatizo la Jamhuri ya Kenya si kutunga katiba safi bali kutekeleza yalio ndani ya katiba.
Nchi ya Kenya ilibebwa sana na nchi za magharibi wakaweka vitega uchumi vikubwa sana lakini sikio la kufa halisikii dawa.
Waliazia ukabila lakini sasa wanakubwa na ufukara kutokana na waporaji wa Mali na ardhi.Ufisadi wa kutisha.
Sio Muda itashindwa kutawaliwa itageuka Somalia.
 
Back
Top Bottom