Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 13,229
- 37,484
😃😃😃Sasa kama hamtaki wengine tuelewe si mtumiane meseji wenyewe! Matako yenu!
😃😃😃Sasa kama hamtaki wengine tuelewe si mtumiane meseji wenyewe! Matako yenu!
Watu wa mifumoSawa asante kwa taarifa
Mzee wa kupiga ramli kama kawaidaTiyari huko
Barua ya posa kwa Mwashambwa?Tiyari huko
Mwenyewe naona giza giza tuu. 😂😂😂Tufungulie code mwanetu basi
Ni bora CAPO DELGADO Yeye huwa anakumbusha ile Altimatum ya Commonwealth 🤣😁 !Hapa sijaelewa kitu
Akitolewa Yuda basi majani mabichi yatagawana mbao! Halafu tutaongea Lugha Moja huko mbeleni! MKEKA WA SHEIKH YAHAYA bado haujachanikaDJ waleteeee... Yuda dugu avter nyuni
Labda mifumuko ya bei sio mifumo😀😀Watu wa mifumo
SijaelewaTiyari huko
Tiyari huko
Hunizidi mimi, nikimuangalia vile alivyokongoroka nafarijika sana najua Israili amerahisishiwa kaziFuraha yangu n kuona maumivu kwa Samuya na genge lake
Sasa kama hamtaki wengine tuelewe si mtumiane meseji wenyewe! Matako yenu!
Au JudeaMasuala ya T.A.L au?
Soo rahisi hivyo, nguvu ya Nchimbi hamuijui ninyi...
Hii ni moja ya barua zinazongojewa kwa hamu sana. Ni barua ya kuthibitisha kwamba tuhuma zile zilitengenezwa ili mwanamke yule akalie kiti kikuu.Tiyari huko