Tetesi: Barua ya Nchimbi ilifichwa

Tetesi: Barua ya Nchimbi ilifichwa

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,656
Reaction score
58,559
Nchimbi aliandika barua ndefu ya kujiuzulu yenye kurasa nyingi yenye maelezo mengi kwanini anaondoka.

Ndani yake kazungumzia
Ufisadi unaendelea

Mauaji ya raia wasio na hatia ya October 29/2025

Amezungumzia utekaji
Amezungumzia katiba mpya.

Lakini kubwa amezungumzia CCM kujiondoa kuwa chama na kuwa chini ya dollar.

Kazungumzia kesi za mchongo za LISSU

Amezungumzia vifo vya Mashakaka vya Magufuli, Lowasa, Ndungai, kijazi, na wengine wengi

Amesema CCM haiwezi kushinda uchaguzi wowote kwa sababu imejiondoa kwa watanzania

Kaongea mambo mengi mazito ndio maana yupo chini ya ulinzi mkali kwa hofu ya kuvujisha Ile barua lakini wanashindwa kufahamu kuwa barua ishavuja tayari.
 
Kumbe ipo hivyo,weka hiyo barua hapa ili usionekane kiazi kitamu.
 
Unachochea kuni au sio
 
Attachments

  • 1000024076.jpg
    1000024076.jpg
    45.1 KB · Views: 7
Umesema ukwelii kabisa.Nipo kwenye kahawa hapa mjini kuna mchangiaji anasema kwenye barua ya chimbi kuna sehemu alimtaja muuaji mkuu wa watanganyika kama polepole na akahitimisha kuwa na yeye anaweza kufanyiwa hivyo kama alivyofanyiwa polepole,mdude,ben saanane na hii serikali haramu
 
Nchimbi aliandika barua ndefu ya kujiuzulu yenye kurasa nyingi yenye maelezo mengi kwanini anaondoka.

Ndani yake kazungumzia
Ufisadi unaendelea

Mauaji ya raia wasio na hatia ya October 29/2025

Amezungumzia utekaji
Amezungumzia katiba mpya.

Lakini kubwa amezungumzia CCM kujiondoa kuwa chama na kuwa chini ya dollar.

Kazungumzia kesi za mchongo za LISSU

Amezungumzia vifo vya Mashakaka vya Magufuli, Lowasa, Ndungai, kijazi, na wengine wengi

Amesema CCM haiwezi kushinda uchaguzi wowote kwa sababu imejiondoa kwa watanzania

Kaongea mambo mengi mazito ndio maana yupo chini ya ulinzi mkali kwa hofu ya kuvujisha Ile barua lakini wanashindwa kufahamu kuwa barua ishavuja tayari.
Kaongea mambo mengi mazito ndio maana yupo chini ya ulinzi mkali kwa hofu ya kuvujisha Ile barua lakini wanashindwa kufahamu kuwa barua ishavuja tayari.🔥✔❗
 
Nchimbi aliandika barua ndefu ya kujiuzulu yenye kurasa nyingi yenye maelezo mengi kwanini anaondoka.

Ndani yake kazungumzia
Ufisadi unaendelea

Mauaji ya raia wasio na hatia ya October 29/2025

Amezungumzia utekaji
Amezungumzia katiba mpya.

Lakini kubwa amezungumzia CCM kujiondoa kuwa chama na kuwa chini ya dollar.

Kazungumzia kesi za mchongo za LISSU

Amezungumzia vifo vya Mashakaka vya Magufuli, Lowasa, Ndungai, kijazi, na wengine wengi

Amesema CCM haiwezi kushinda uchaguzi wowote kwa sababu imejiondoa kwa watanzania

Kaongea mambo mengi mazito ndio maana yupo chini ya ulinzi mkali kwa hofu ya kuvujisha Ile barua lakini wanashindwa kufahamu kuwa barua ishavuja tayari.
Uliiona hiyo barua au nchimbi kakuambia,au umeamua tu kuzua?
 
Mmh! Hiyo barua ingewekwa hapa ingekuwa rahisi kuaminika kwa hoja hii.
 
Back
Top Bottom