Bhikalamba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 2,314
- 3,336
Hiyo code ya pili imekuwa ngumu kidogo, au unamaanisha Ka-ngirimaji Lugomola maana huyo kwa rhumba, usiseme.Nina mashaka na Kitambi cha shybush high na Mtaalamu wa Rhumba aliyeimba wimbo wa Paroko