cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,298
- 187,950
Duuuh
Duuuh
Kwenda wapi sasaLazima heche akimbia mji mwaka huu.
Mna mpango wa kumpa ugaidi?Lazima heche akimbia mji mwaka huu.
A group of failures and losers as well.Furaha yangu n kuona maumivu kwa Samuya na genge lake
NadhaniAu kuhusu Yuda?
"tayari huko" maana yake NI TAYARIUandishi wa hivi muwe mnatumiana sms inbox sasa "tayari huko" ndo nini 😏😏
Mimi jina langu ni Mzee Tomaso. Mpaka taarifa rasmi ikitoka ndiyo nitaamini.Tiyari huko
Absolutely trueKuna mjukuu nimemuomba anipe abc maana huu uzee wetu kuanza kufikiri ni kupandisha sukari tu
na hafi mtuHakuna mtu anajiuzuru hapa,labda mmuuwe.
Chikwera siyo MZUNGU.Mimi barua zenu sizijui zaidi ya Commonwealth.
Ninachojua zimebaki siku 8 lissu aachiwe.
Asanteni sana wazungu
Maana hapa tutaumiza vichwa kujiuliza kua barua imeandikwa ili:Kuna mjukuu nimemuomba anipe abc maana huu uzee wetu kuanza kufikiri ni kupandisha sukari.