Keep waiting , Barua ishaandaliwa

Keep waiting , Barua ishaandaliwa

Siasa za Tanzania zimekuwa chafu sana. Hapa hakuna CHADEMA wala CCM, wananchi ndiyo tunabeba mzigo wa siasa zao. Kila upande unajiona una watu wema, lakini ukifuatilia kwa makini, maslahi binafsi yanaonekana kutawala kuliko maslahi ya wananchi.

Kwa kifupi, tusidanganyane kwa majina ya vyama. Ufisadi, ubinafsi na matumizi mabaya ya madaraka havina chama.
 
Samia, Kikwete, Rostam, kuna wa kuweza kuwashida hadi sasa?
All I know mwisho mfumo utashinda. Ukichakata mapito ya Taifa hili inawezekana kinasukwa kitu ambacho hakuna atayekuja kutikisa Taifa kwa miaka 50 ijayo. Hizi sarakasi ni za uchungu wa kuzaa lakini atatoka mtoto wenye siha njema ..... I believe tutabaki na Taifa imara.
 
Kabla hatujafika huko, lazima watu wawajibishwe kama fundisho kwa wengine.
 
All I know mwisho mfumo utashinda. Ukichakata mapito ya Taifa hili inawezekana kinasukwa kitu ambacho hakuna atayekuja kutikisa Taifa kwa miaka 50 ijayo. Hizi sarakasi ni za uchungu wa kuzaa lakini atatoka mtoto wenye siha njema ..... I believe tutabaki na Taifa imara.
mfumo ? unamaanisha mtandao wa kina Jk?
 
All I know mwisho mfumo utashinda. Ukichakata mapito ya Taifa hili inawezekana kinasukwa kitu ambacho hakuna atayekuja kutikisa Taifa kwa miaka 50 ijayo. Hizi sarakasi ni za uchungu wa kuzaa lakini atatoka mtoto wenye siha njema ..... I believe tutabaki na Taifa imara.
Mtazamo wako ni mzuri lakini usisahau kuwa sasa "watu wanapenda fedha" kuliko wa zamani. Hiki ndio kikwazo
 
Nadhani ni kuachiwa kwa mwenyekiti wa wale jamaa.

Hata hivyo ikiwa hivyo litakuwa jambo jema Sana na baada ya kuachiwa ni vema mambo mengine yafanyike wanguwangu Sana maana ni kama taifa limesimama sana hakuna kinachoendelea cha maana nchini ni Bora michakato ya katiba na time huru ya uchaguzi zifanyike ili kufikia 2030 ufanyike uchaguzi wapatikane viongozi watakaolipeleka taifa mbele.
Leo nimekutana na comment yenye akili halafu bila shaka imetoka kwa mtu asiyefungamana na upande wowote.
2030 mbali ila kwa uliyoyawaza it's all well 🫡
 
Akitolewa Yuda basi majani mabichi yatagawana mbao! Halafu tutaongea Lugha Moja huko mbeleni! MKEKA WA SHEIKH YAHAYA bado haujachanika
Labda refund mkuu,ulishachanika ilibidi oct29 ashinde mtu wa upinzani kama braza Salum hivi😂
 
All I know mwisho mfumo utashinda. Ukichakata mapito ya Taifa hili inawezekana kinasukwa kitu ambacho hakuna atayekuja kutikisa Taifa kwa miaka 50 ijayo. Hizi sarakasi ni za uchungu wa kuzaa lakini atatoka mtoto wenye siha njema ..... I believe tutabaki na Taifa imara.
Kwa akili zetu hili nakataa...uimara umezungumzia kwenye angle ipi?
Sayansi no,mambo ya uongozi tupo nyuma na ni ngumu kupona karibuni,kiuchumi -rasilimali hazitunufaishi ipasavyo.
Tushukuru tu Mungu siku zinaenda na mkate unapatikana.
 
Back
Top Bottom