Kazi ya hilo tundu kwenye gari ni nini?

Itzmusacmb

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
1,531
1,133
Wana JF wenzangu naombeni msaada kwa hili,

Naona gari nyingi sana kwenye bonnet huwa kuna uwazi (tundu) kuangalia uelekeo wa gari na sijajua huwa unakazi ipi, mfano Subaru Forrester, Toyota Fortune, Dolge Challenger nk, hebu nijuzeni
Asanten
1467391983525.jpg
 
Wana JF wenzangu naombeni msaada kwa hili,naona gari nyingi sana kwenye bonnet huwa kuna uwazi (tundu) kuangalia uelekeo wa gari na cjajua huwa unakazi ipi, mfano Subaru Forrester, Toyota Fortune, Dolge Challenger nk, hebu nijuzeni
AsantenView attachment 361968

Kwa ninavyofahamu mimi kazi ya hilo tundu ni kwenda kupooza hewa iliyofuliwa na turbocharger ya gari. Hewa huwa inapata moto sana pale ambako kunatokea mgandamizo, lengo la kupooza ni kwamba hewa huungua vizuri na mafuta pale ambapo hewa inakuwa katika kiwango fulani cha joto na si zaidi ya hapo. Nafikiri utakuwa umenielewa na si kupooza engine kama ilivyoelezwa hapo juu.
 
Intercooler. This vehicle is powered with turbo cherger (super charger). When the molecules of oxygen become hot it expand...
 
Hilo tundu sio la turbo charger sababu turbo huwa inaelekea katika aircleaner hivyo inavuta hewa yake kupitia aircleaner!

6546d6b3b63887792272533a716404b3.jpg

hilo tundu ktk bonet huwa ni injection ambalo husaidia pia kuvuta hewa nyingi kupeleka ktk engine
a198a783cb709c55bc5207f81760a5cb.jpg
 
hilo tundu kazi yake huwa lina pooza intercooler.

ipo hivi ukifungua bonet utaona juu ya engine usawa wa hilo tundu kuna kitu kipo/kimefungwa kama rejeta hivi.sasa hiyo iliyokuwa kama rejeta ndio huwa inapoozwa na hewa kutoka nje kupitia hilo tundu.tuseme hilo tundu huwa linaact kama feni ya engine ambayo huwa inafanya kazi ya kupooza maji yaliyopo kwenye rejeta ili yawe ya baridi.

hivyo na hilo tundu huwa lina ingiza hewa ambayo huwa inapooza hewa inayokuwa ndani ya intercooler ili iwe ya baridi .maana hewa ikiwa ya baridi ndio ufanisi mzuri wa kuchomwa hufanyika vizuri.
 
Back
Top Bottom