Kauli za Rais Samia zilizokosa uzalendo

Kauli za Rais Samia zilizokosa uzalendo

Egoinya

Senior Member
Joined
Jun 12, 2025
Posts
192
Reaction score
398
1.Kifo ni kifo tu.
2.Hayo madini tembo hawali kayachimbeni ila kitalu C msikiguse.

3.Bandari ni maji tu watu awahami nayo leteni watu wakabidhini waiendeshe.

4.Utekaji ni drama za wapinzani.

5.Katiba ni kijitabu tu.

6.Kula urefu wa kamba yako ila usivimbewe.

Ongezea kauli za Rais Samia zilizokosa chembe ya Uzalendo.
 
Sometimes ana kauli fulani kama za DIVISHENI FOO 😎
 
1.Kifo ni kifo tu.
2.Hayo madini tembo hawali kayachimbeni ila kitalu C msikiguse.

3.Bandari ni maji tu watu awahami nayo leteni watu wakabidhini waiendeshe.

4.Utekaji ni drama za wapinzani.

5.Katiba ni kijitabu tu.

6.Kula urefu wa kamba yako ila usivimbewe.

Ongezea kauli za Rais Samia zilizokosa chembe ya Uzalendo.
Bi mipasho ukosefu wa elimu unamsumbua, eti ukinizingua nakuzingua. Just imagine a sitting president uttering rubbish publicly.
 
1.Kifo ni kifo tu.
2.Hayo madini tembo hawali kayachimbeni ila kitalu C msikiguse.

3.Bandari ni maji tu watu awahami nayo leteni watu wakabidhini waiendeshe.

4.Utekaji ni drama za wapinzani.

5.Katiba ni kijitabu tu.

6.Kula urefu wa kamba yako ila usivimbewe.

Ongezea kauli za Rais Samia zilizokosa chembe ya Uzalendo.
kijitabu
 
Sasa mnataka kutuambia hawa ni chadema? Hawa wako ndani ya CCM, ni sukuma gang, ni kundi la kina Mpina. Kwanza ukiangalia vizuri ni km mleta thread amecomment mwenyewe, haiwezekani comment zaidi ya 10 zote zinafanana kimaudhui eti kusiwe na mtazamo tofauti. We ni mshamba flani tu. Samia ana elimu amesomea vyuo bora ikiwemo Manchester University(UK). Hayo makasiriko hayatakusaidia atakuongoza mpk 2030 na huna la kufanya utaendekea kuokoteza vimaneno vya kipumbavu wenzako wanasonga mbele. Mukatadha aliozungumzia hayo maneno ulieleweka vizuri sana we bwege unaweza kupotosha mazombie wenzako
 
1.Kifo ni kifo tu.
2.Hayo madini tembo hawali kayachimbeni ila kitalu C msikiguse.

3.Bandari ni maji tu watu awahami nayo leteni watu wakabidhini waiendeshe.

4.Utekaji ni drama za wapinzani.

5.Katiba ni kijitabu tu.

6.Kula urefu wa kamba yako ila usivimbewe.

Ongezea kauli za Rais Samia zilizokosa chembe ya Uzalendo.
Alisema mkimpigia kura au msipompigia CCM itashinda tu.
 
Back
Top Bottom