Kauli za Rais Samia zilizokosa uzalendo

Kauli za Rais Samia zilizokosa uzalendo

1.Kifo ni kifo tu.
2.Hayo madini tembo hawali kayachimbeni ila kitalu C msikiguse.

3.Bandari ni maji tu watu awahami nayo leteni watu wakabidhini waiendeshe.

4.Utekaji ni drama za wapinzani.

5.Katiba ni kijitabu tu.

6.Kula urefu wa kamba yako ila usivimbewe.

Ongezea kauli za Rais Samia zilizokosa chembe ya Uzalendo.
Daaa
 
Alisema mkimpigia kura au msipompigia CCM itashinda tu.
Kura Inatakiwa kueshimiwa aisee kura ndo nguvu ya Umma ilipo ndo maana watu wanaozani reforms ni za chadema nacheka sana
 
Is your head handsome? Kichwa chako kiko vizuri mleta mada,
Yeye mwenyewe alikiri secondary hakufanya vizuri na inawezekana ana elimu ya kuunga unga ila ana bahati sana yule mama,
Leaders are born or Leaders are made?
Leaders are made, but can be supplemented by instincts, inborn talents
 
Mtu aliyeapa kuilinda katiba halafu anasimama anasema katiba ni kijitabu tu,hakika hata shetani mwenyewe anashangaa
 
Aliwaambia majaji wasipindishe haki kwa hela kidogo
Wapindishe kwa hela nyingi
1695056233438.jpg
 
1.Kifo ni kifo tu.
2.Hayo madini tembo hawali kayachimbeni ila kitalu C msikiguse.

3.Bandari ni maji tu watu awahami nayo leteni watu wakabidhini waiendeshe.

4.Utekaji ni drama za wapinzani.

5.Katiba ni kijitabu tu.

6.Kula urefu wa kamba yako ila usivimbewe.

Ongezea kauli za Rais Samia zilizokosa chembe ya Uzalendo.
Tunaongozwa na 🚮🚮🚮🚮
 
Back
Top Bottom