Bodabodafasta
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 372
- 364
- Thread starter
- #41
Naona unajichukulia point tatu muhimu
Naona unajichukulia point tatu muhimu
Ni bora ukapinga mapema uweke msingi mzuri mapema; ili ajue interest yako..
Hahaha tuna anzia kwanza kwenye 'friend zone' halafu badae tutapanda mdogo mdogo.Naona unajichukulia point tatu muhimu
Gharama ya friend zone moja hivi ndo ilinifanya nisiamini katika friend zone, maana yeye nishamtimizie viwili vitatu ila m bado ubao unasoma nishpigwa tatu bila. Nikaona isiwe tabu bora nichane mkeka tuHahaha tuna anzia kwanza kwenye 'friend zone' halafu badae tutapanda mdogo mdogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni facts hamna ishu zaidi ya ku jump kwenye swali la msingi; mengine mbwembwe tuUnakua na urafik na mwanamke mnaongea nini ..labda awe mfanyakazi mwenzio lakini sio mmekutana tu eti mnakua marafiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ndo pamenishinda ukifikiria hata wap za kina sultan huangalii; unawaza nini Kita wa connectsUnakua na urafik na mwanamke mnaongea nini ..labda awe mfanyakazi mwenzio lakini sio mmekutana tu eti mnakua marafiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi tuwe marafiki nijifunze kwako; hw be a friend look like😀😀😀😀😀Kama hauna tabia kama za mtoa mada Sawa 🙈🙈
Tatizo lenu nyie bodaboda mna pupa na haraka sana halafu mkisha piga tu mnasepa.Ndo ukweli; ila mwingine ndo hivyo kuwa rafiki na mtu anayempenda ni ngumu asije kumbaka bure
Sina haja ya ku comment Ushamaliza mzee baba ..........Nakupinga hapo kwenye hakuna uhusiano bila urafiki so kwel, unaweza ukakutana na dem kwa event yyt ile ukamtongoza akakubali siki hyohyo,.Turud kwenye ushauri sasa badilisha swaga unazotumia kutongozea hao madem jarib kuw creative hasa unapokuw na madem ,kumtongoza demu ni mbinu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ongezea LA PILI C St. KayumbaAsante mkuu; unajua sisi wengine tumeishia la pili c shule za kayumba.
Kwahy ni kumalizana au ni mahusiano!?Ngoja niongeze ubunifu mkuu, ila sio kila mwanamke ananiambia hivyo; ila hii ni case ya kawaida kwa wadada wengi wanaojifanya wapo serious; wengine mbona mapema tu tunamalizana mkuu
Wapo Milion 27 kati ya 45Sasa na nyie mnabembelezaga nini... ukiona hataki si unaacha wanawake chungu nzima wote hawa.
Haha mimi huwa sina haraka mkuu. Hivyo tutaenda sawa.Kama hauna tabia kama za mtoa mada Sawa
Q1qMimi ndo pamenishinda ukifikiria hata wap za kina sultan huangalii; unawaza nini Kita wa connects
Ila
Sawa mkuu; mm la pili C mkuu; shule nilikataa nimeamua kutafuta hela; we baki na elimu yako