Kauli inayokera: Lets be friends

Ndo ukweli; ila mwingine ndo hivyo kuwa rafiki na mtu anayempenda ni ngumu asije kumbaka bure
Tatizo lenu nyie bodaboda mna pupa na haraka sana halafu mkisha piga tu mnasepa.
Hao wa kujifanya tuwe marafiki mi ndio hua nnawapenda maana hua tunaenda kirafiki rafiki mpk tunajikuta tayari tupo kitandani. Yaani ukishafikia hapo bint upendo wake kwako ndio umekolea kwelikweli halafu wewe bado unashikilia palepale kwenye urafiki tu, hio ndio inakua zamu yake na yeye kuisoma namba.

Maendeleo hayana chama
 
Nakupinga hapo kwenye hakuna uhusiano bila urafiki so kwel, unaweza ukakutana na dem kwa event yyt ile ukamtongoza akakubali siki hyohyo,.Turud kwenye ushauri sasa badilisha swaga unazotumia kutongozea hao madem jarib kuw creative hasa unapokuw na madem ,kumtongoza demu ni mbinu

Sent from my iPhone using JamiiForums
Sina haja ya ku comment Ushamaliza mzee baba ..........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nikionaga jibu kama hilo najua tayari ndege kashakuwa wangu#sinaga haraka wala kuonesha nina mfeel kihivyo
 
Urafiki ni kipindi muhimu sana kabla ya kuingia kwenye love relationship. Ina faida kwa pande zote mnasomana na kugundua kama mnaweza kusonga mbele ama la. Kuna mahusiano hayavuki urafiki hata mkijaribu kulazimisha inakuwa ngumu unagundua you were meant to be only friends.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom