Kauli inayokera: Lets be friends

Baby Doll

Baby Doll

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2017
Messages
3,399
Likes
16,707
Points
280
Baby Doll

Baby Doll

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2017
3,399 16,707 280
Thanks mkuu; hujatoa uzoefu wako unasemaje
Mimi boyfriend wangu ana miaka 19, alianza kunitongoza tangu yupo 18yrs, nikamwambia tuwe marafiki maana yeye ni mdogo. Wakati huo Mimi nipo 20yrs. Basi akakubali thereafter tunafanya tendo la ndoa japo we still in friendship.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
B

Bodabodafasta

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Messages
318
Likes
297
Points
80
B

Bodabodafasta

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2018
318 297 80

That is nice; and it's what I like; haiwezekani friend isiwe na benefits
 
B

Bodabodafasta

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Messages
318
Likes
297
Points
80
B

Bodabodafasta

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2018
318 297 80
Raha ya Mahusiano hunoga sana kama yataanzia na urafiki,sio unatongoza dem Leo kesho kaanika papuchi upige,utapiga ila utamchukulia pia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sawa ila wengne mambo ya kupotezeana mda hatuyawezi mkuu; mwisho wa siku gharama unapoteza kumaintain friend zone ni kubwa kuliko unachokipata
 
B

Bodabodafasta

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Messages
318
Likes
297
Points
80
B

Bodabodafasta

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2018
318 297 80
basi unakua umemtamani tu, ila kama ni future wife au wife material una mipango nae walai roho itakutoka
Hata kama una mpango kama aaoneshwi kuguswa na swali lako mapema; inabidi hujitoe kwanza siunajua uhaba unaongeza thamani?? Akikukumbuka ndo mnaanza kuyajenga upya
 
Leonardchama7

Leonardchama7

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2018
Messages
754
Likes
637
Points
180
Leonardchama7

Leonardchama7

JF-Expert Member
Joined Apr 14, 2018
754 637 180
Ni sawa ila wengne mambo ya kupotezeana mda hatuyawezi mkuu; mwisho wa siku gharama unapoteza kumaintain friend zone ni kubwa kuliko unachokipata
Ndio hivyo kabla ya kupewa K ukiambiwa utoe kitu furani ili upewe K unatoa kama unacho,ila ukishapewa mgegedo hata ukiambiwa utoe buku mbili waweza kuiona kama milioni,kwenye friend zone kunawajenga na kufahamiana huku ukiwa unatamani siku moja upate nafasi ufanye yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
min92

min92

Senior Member
Joined
Dec 23, 2018
Messages
102
Likes
259
Points
80
min92

min92

Senior Member
Joined Dec 23, 2018
102 259 80
sasa kipindi cha friend zone siunakuwa unamtesa sana? Yaani yeye akae tu bila kupata papuchi ankuendekeza tu mpaka utakapoamua ww?? Na huku unaendelea wapa wengine yeye anavumia tu
Unachowaza ww ni kupata tu papuchi tena haraka haraka na sio upendo wa kweli... Bora wanavyo ku Friendzone πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
B

Bodabodafasta

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Messages
318
Likes
297
Points
80
B

Bodabodafasta

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2018
318 297 80
Unachowaza ww ni kupata tu papuchi tena haraka haraka na sio upendo wa kweli... Bora wanavyo ku Friendzone πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwa nini nizunguke mbuyu?? Lengo kuu lazima niliweke wazi; mengine ni attachments tu ila lengo kuu ni papuchi; nyie wengine ambao mna vipaumbele vingine shikamoooni
 
min92

min92

Senior Member
Joined
Dec 23, 2018
Messages
102
Likes
259
Points
80
min92

min92

Senior Member
Joined Dec 23, 2018
102 259 80
Ngoja niongeze ubunifu mkuu, ila sio kila mwanamke ananiambia hivyo; ila hii ni case ya kawaida kwa wadada wengi wanaojifanya wapo serious; wengine mbona mapema tu tunamalizana mkuu
Mungu aninusuru mimi na kizazi changu na wanaume design yako ww πŸ™‰πŸ™‰
 
B

Bodabodafasta

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Messages
318
Likes
297
Points
80
B

Bodabodafasta

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2018
318 297 80
Ndio hivyo kabla ya kupewa K ukiambiwa utoe kitu furani ili upewe K unatoa kama unacho,ila ukishapewa mgegedo hata ukiambiwa utoe buku mbili waweza kuiona kama milioni,kwenye friend zone kunawajenga na kufahamiana huku ukiwa unatamani siku moja upate nafasi ufanye yako

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu; unaweza fanya jambo ambalo hata ww mwenyewe ukijiangalia unajiona fala ila ndo hivyo lengo kuu litimie; friend zone ina gharama sana.
 
B

Bodabodafasta

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Messages
318
Likes
297
Points
80
B

Bodabodafasta

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2018
318 297 80
Mungu aninusuru mimi na kizazi changu na wanaume design yako ww πŸ™‰πŸ™‰
Wewe kataa muujiza wako; yaani unamwomba Mungu akupe mwanAume mtakaoenda sawa; anajitambua God fearing; ndo unakutana na Mimi unanikataaa. Kweli shetani mbaya hadi ww kakutia upofu?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Forum statistics

Threads 1,250,502
Members 481,371
Posts 29,735,823