Kauli inayokera: Lets be friends


B

Bodabodafasta

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Messages
318
Likes
297
Points
80
B

Bodabodafasta

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2018
318 297 80
Hakuna uhusiano bila urafiki; ila hakuna urafiki Kati ya mwanaume na mwanamke either mmoja au wote mnavumiliana ila ipo siku mtabinjuana tu

Ishu yangu ni hii umemtongoza mwanamke na anaonekana kukuelewa sema ndo hivyo anaona kama mapema sana kukubalia anakuambia acha tuwe marafiki au niña mtu ila tuwe marafiki tu
hivi hiki kipindi cha urafiki watu huwa mnajadili nini/mnakuwa mnamaintain vipi uhusiano wenu?

Maana Mimi huwa nampotezea mpaka anapopata akili anakuuliza mbona kimya nampa ukweli mchungu siwezi kuwa rafiki na wewe kwa nini niteseke? mwenyewe anaamua ku surrender au anajiachia zake maana hakuna jinsi.

Njia nyingine huwa najifanya nami friend kwa mda fupi then namuita kwangu na force game akinitolea nje basi na namba yake nafuta.

Tupeane uzoefu mnaishije kwenye friend zone maana kuna mtu nimetoka kumuelewa sitaki mpotezea naye naona ameanza mambo ya friend zone
 
Cresida

Cresida

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2012
Messages
11,062
Likes
8,280
Points
280
Cresida

Cresida

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2012
11,062 8,280 280
Uache haraka, na usiwe na puta wala papara, friendzone ni nzuri maana unapata kumsoma mwanaume na kumfahamu haswa halafu ndo maamuzi yanafanyika, ukiwekwa friendzone maana upo kwenye kauchunguzi, mambo ya kukubali na kutoa game haraka haraka na kukubali haraka huwa yanaletaga mambo ya ajabu sana.
 
Meckyrich

Meckyrich

Member
Joined
Nov 7, 2018
Messages
64
Likes
40
Points
25
Meckyrich

Meckyrich

Member
Joined Nov 7, 2018
64 40 25
Nakupinga hapo kwenye hakuna uhusiano bila urafiki so kwel, unaweza ukakutana na dem kwa event yyt ile ukamtongoza akakubali siki hyohyo,.Turud kwenye ushauri sasa badilisha swaga unazotumia kutongozea hao madem jarib kuw creative hasa unapokuw na madem ,kumtongoza demu ni mbinu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
B

Bodabodafasta

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Messages
318
Likes
297
Points
80
B

Bodabodafasta

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2018
318 297 80
Uache haraka, na usiwe na puta wala papara, friendzone ni nzuri maana unapata kumsoma mwanaume na kumfahamu haswa halafu ndo maamuzi yanafanyika, ukiwekwa friendzone maana upo kwenye kauchunguzi, mambo ya kukubali na kutoa game haraka haraka na kukubali haraka huwa yanaletaga mambo ya ajabu sana.
Huwezi mchunguza binadamu ukammaliza mkuu; ni vizuri kama umeona nia yake njema. Ukaamua kuheshimu hisia zake kwako ..sasa kipindi cha friend zone siunakuwa unamtesa sana? Yaani yeye akae tu bila kupata papuchi ankuendekeza tu mpaka utakapoamua ww?? Na huku unaendelea wapa wengine yeye anavumia tu
 
B

Bodabodafasta

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Messages
318
Likes
297
Points
80
B

Bodabodafasta

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2018
318 297 80
Nakupinga hapo kwenye hakuna uhusiano bila urafiki so kwel, unaweza ukakutana na dem kwa event yyt ile ukamtongoza akakubali siki hyohyo,.Turud kwenye ushauri sasa badilisha swaga unazotumia kutongozea hao madem jarib kuw creative hasa unapokuw na madem ,kumtongoza demu ni mbinu


Sent from my iPhone using JamiiForums
Ngoja niongeze ubunifu mkuu, ila sio kila mwanamke ananiambia hivyo; ila hii ni case ya kawaida kwa wadada wengi wanaojifanya wapo serious; wengine mbona mapema tu tunamalizana mkuu
 
B

Bodabodafasta

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Messages
318
Likes
297
Points
80
B

Bodabodafasta

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2018
318 297 80
Sasa na nyie mnabembelezaga nini... ukiona hataki si unaacha wanawake chungu nzima wote hawa.
Sio kila mwanamke anagusa moyo wako; wengine wanagusa mashine zetu tu inatosha; wanaogusa moyo ni wachache mkuu
 

Forum statistics

Threads 1,250,501
Members 481,371
Posts 29,735,802