Kauli inayokera: Lets be friends


B

Bodabodafasta

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Messages
318
Likes
297
Points
80
B

Bodabodafasta

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2018
318 297 80
Hahaha tuna anzia kwanza kwenye 'friend zone' halafu badae tutapanda mdogo mdogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Gharama ya friend zone moja hivi ndo ilinifanya nisiamini katika friend zone, maana yeye nishamtimizie viwili vitatu ila m bado ubao unasoma nishpigwa tatu bila. Nikaona isiwe tabu bora nichane mkeka tu
 
B

Bodabodafasta

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Messages
318
Likes
297
Points
80
B

Bodabodafasta

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2018
318 297 80
Kama hauna tabia kama za mtoa mada Sawa πŸ™ˆπŸ™ˆ
Inabidi tuwe marafiki nijifunze kwako; hw be a friend look likeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mgugu

Mgugu

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2015
Messages
649
Likes
856
Points
180
Mgugu

Mgugu

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2015
649 856 180
Ndo ukweli; ila mwingine ndo hivyo kuwa rafiki na mtu anayempenda ni ngumu asije kumbaka bure
Tatizo lenu nyie bodaboda mna pupa na haraka sana halafu mkisha piga tu mnasepa.
Hao wa kujifanya tuwe marafiki mi ndio hua nnawapenda maana hua tunaenda kirafiki rafiki mpk tunajikuta tayari tupo kitandani. Yaani ukishafikia hapo bint upendo wake kwako ndio umekolea kwelikweli halafu wewe bado unashikilia palepale kwenye urafiki tu, hio ndio inakua zamu yake na yeye kuisoma namba.

Maendeleo hayana chama
 
roja24

roja24

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2012
Messages
504
Likes
244
Points
60
roja24

roja24

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2012
504 244 60
Nakupinga hapo kwenye hakuna uhusiano bila urafiki so kwel, unaweza ukakutana na dem kwa event yyt ile ukamtongoza akakubali siki hyohyo,.Turud kwenye ushauri sasa badilisha swaga unazotumia kutongozea hao madem jarib kuw creative hasa unapokuw na madem ,kumtongoza demu ni mbinu


Sent from my iPhone using JamiiForums
Sina haja ya ku comment Ushamaliza mzee baba ..........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ben milazo

ben milazo

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Messages
862
Likes
471
Points
80
ben milazo

ben milazo

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2015
862 471 80
nikionaga jibu kama hilo najua tayari ndege kashakuwa wangu#sinaga haraka wala kuonesha nina mfeel kihivyo
 
M

mbukoi

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2012
Messages
279
Likes
21
Points
35
M

mbukoi

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2012
279 21 35
Urafiki ni kipindi muhimu sana kabla ya kuingia kwenye love relationship. Ina faida kwa pande zote mnasomana na kugundua kama mnaweza kusonga mbele ama la. Kuna mahusiano hayavuki urafiki hata mkijaribu kulazimisha inakuwa ngumu unagundua you were meant to be only friends.
 
M

mbukoi

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2012
Messages
279
Likes
21
Points
35
M

mbukoi

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2012
279 21 35
Urafiki ni kipindi muhimu sana kabla ya kuingia kwenye love relationship. Ina faida kwa pande zote mnasomana na kugundua kama mnaweza kusonga mbele ama la. Kuna mahusiano hayavuki urafiki hata mkijaribu kulazimisha inakuwa ngumu unagundua you were meant to be only friends.
 
B

Bodabodafasta

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Messages
318
Likes
297
Points
80
B

Bodabodafasta

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2018
318 297 80

Forum statistics

Threads 1,250,501
Members 481,371
Posts 29,735,802