Kauli inayokera: Lets be friends

Mie kuna binti mmoja nilimuelewa sana back in 2014! Akazingua nikakata mawasiliano, na kwa sababu za nje ya uwezo wangu nikabadili na namba. Kaja kaibuka December 2018 kanikuta Insta. Kwa sasa najilia tu vya kwangu.
Maana december tumechat kidogo. January 8 mwaka huu kanitunuku ndani kwake mwenyewe.
Niliigomea friendship zone

Sent from my SM-J700F using Tapatalk
 
Wewe unaendelea kuzoza tu mwisho atakuambia na wewe king'ang'anizi sana dah! hukati tamaa! Mara anakwambia haya niambie weekend hii utakuwa wapi nikufuate ili umalize kiu yako :cool:

Hakuna uhusiano bila urafiki; ila hakuna urafiki Kati ya mwanaume na mwanamke either mmoja au wote mnavumiliana ila ipo siku mtabinjuana tu

Ishu yangu ni hii umemtongoza mwanamke na anaonekana kukuelewa sema ndo hivyo anaona kama mapema sana kukubalia anakuambia acha tuwe marafiki au niña mtu ila tuwe marafiki tu
hivi hiki kipindi cha urafiki watu huwa mnajadili nini/mnakuwa mnamaintain vipi uhusiano wenu?

Maana Mimi huwa nampotezea mpaka anapopata akili anakuuliza mbona kimya nampa ukweli mchungu siwezi kuwa rafiki na wewe kwa nini niteseke? mwenyewe anaamua ku surrender au anajiachia zake maana hakuna jinsi.

Njia nyingine huwa najifanya nami friend kwa mda fupi then namuita kwangu na force game akinitolea nje basi na namba yake nafuta.

Tupeane uzoefu mnaishije kwenye friend zone maana kuna mtu nimetoka kumuelewa sitaki mpotezea naye naona ameanza mambo ya friend zone
 
Wewe unaendelea kuzoza tu mwisho atakuambia na wewe king'ang'anizi sana dah! hukati tamaa! Mara anakwambia haya niambie weekend hii utakuwa wapi nikufuate ili umalize kiu yako :cool:
Hahahahah nzuri hiyo mkuu; halfu ndugu zetu wana huruma sana😀😀😀
 
Mie kuna binti mmoja nilimuelewa sana back in 2014! Akazingua nikakata mawasiliano, na kwa sababu za nje ya uwezo wangu nikabadili na namba. Kaja kaibuka December 2018 kanikuta Insta. Kwa sasa najilia tu vya kwangu.
Maana december tumechat kidogo. January 8 mwaka huu kanitunuku ndani kwake mwenyewe.
Niliigomea friendship zone

Sent from my SM-J700F using Tapatalk
Angalia sana nyumba za wanawake; unaweza fumliwa naniliii; maana wenzetu kodi hawatumii nguvu nyingi
 
Angalia sana nyumba za wanawake; unaweza fumliwa naniliii; maana wenzetu kodi hawatumii nguvu nyingi
I had the same notion mkuu ila she has got her own. She is a med doctor and she hates lodge, she believes to be taken for cheap if she has to go to the lodge and she hates that

Sent from my SM-J700F using Tapatalk
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom