Wanawake na dhana ya "we can just be friends

baptiste

Member
Aug 17, 2015
92
157
Hivi karibuni nimepata msichana Mpya baada ya yule Wa kwanza kunisumbua kwa kupenda pesa kuliko maelezo na ukatokea ugomvi mwisho tukashindwana

Sasa nikapata msichana Mpya, tumetoka outing Mara mbili tatu nne hivi katika wiki chache zilizopita, katika outing hizo nikamuomba awe wangu, kwamba Nina nia njema nae, akasema nisubiri, niwe mvumilivu atanijibu, katika kuongeza ushawishi nikaanza kumuita hny, baby na kadhalika maana dalili zote zilionesha kwamba kuna jibu la ndio linakuja, maana tukiwa beach tulishikana mikono na kukaa kama wapenzi except kissing ndio hatukufanya

Ikafika pahala nikalazimika kuwa serious kidogo kuhusu majibu yangu, nikasema nahitaji kujua nimekubaliwa au la hatuwezi kuendelea namna hii, akajibu kuwa ana mtu wake ila kama vipi we can just be friends, nikamwambia sawa ila na Mimi Nina sharti moja katika hiyo being normal friends, nikamwambia katika hiyo friendship hakuna kuombana pesa, ikifika wakati una shida utamuomba mtu wako

Nikamuona kawa mdogo akasema ina maana wewe huwezi kusaidia mtu? Nikamwambia kusaidiana inakua upande mmoja tu? Kwangu kwenda kwako?
Kwa kuwa ww una mtu wako na mm itabidi nitafute Wa kwangu ndie huyo nitakua namsaidia kama sijampata nitawapa hata wadogo zangu Wa kike wao pia wanahitaji pesa, tangu siku hiyo akakata mawasiliano hadi alipoibuka tena Jana na proposal Mpya kwamba kama vipi tunaweza kuendelea na uhusiano ila kichwani nijue ana mtu wake
Ilibidi nimuulize kama ana akili timamu au la?
Yaani mm niwe spare tyre?

Nimegundua hakuna kitu kama "" we can just be friends"" kauli hiyo inatumiwa na akina Dada kama pango la wanyanganyi la kupigia mizinga na ndugu zangu msikubali mtego huo, kama ana mtu wake atembee mbele, nilikwambia mm nahitaji marafiki wapya? Nilio nao wote hao hawatoshi? Urafiki Wa kawaida halaf kila siku unakuja na shida!!!

Sasa nimeshtukia huo mtego ndio unakuja kudai tunaweza kuwa wapenzi kwa siri ila mtu wako asijue, Mimi? Yaani mm mwanaume mzima makamo Haya niwe mpenzi wako Wa pembeni?

Nonsense
 
Haahahahaaha inaelekea ulienda na gear ya kujifanya mfadhili asa kwann apoteze opportunity!!....
Usijali endelea kutafuta wapo wachache wasiopenda pesa!!!
 
Ulikuwa serious sana.
Mapenzi ya siku hizi hayapo official kama una apply kazi.
Mnakuwa wapenzi naturaly bila nguvu nyingi.
Na usiweke pesa kipaumbele kwenye mahusiano yako. Na pesa isijitokeze kwenye maongezi yenu mara kwa mara.
Kama hukuwa na nia ya kumpa pesa usingemwambia, fanya vitendo. Ina kuwa ile ya 'akufukuzaye hakwambii toka'
Actions speak louder than words.
Fanya vitendo, tantalila nyingi sana.
Na una uwezo wa kula mzigo bila hata ya kumpa hela.
 
Someone said that

"Teen Girls are like public toilet they are normally taken or with a lot of shit"

Hahaha we can just be friends:D:D
 
People are not obligated to give u sex just because you are nice to them just enjoy being friendzoned and stop complaining otherwise stop being nice expecting something in return. Mdada hajakupenda ila kuna kitu kinamvutia mf. Pesa n.k na amewaza ameona akuweke plan B.
 
Mbona mnaweza kua juast friends na mkasaidiana,mpe mwenzio she is your friend...
 
Labda anataka kuwa friends with benifits
no kiss in public
no hugs in public
no jealous in public
no questions in public

sex only....!!

Sasa huyo ana tofauti gani na wale wanaojiuza pale corner bar wa short time? Maana ndio hawana muda wa hayo uliyotaja.
 
We can just be friends my foot "Huyo dawa yake unamgonga kisawasawa mara moja" akianza kukulilia unamblock...
 
Hakunaga ufriend wa karibu kati ya Mwanaume rijali na Mwanamke..tena wa kukaa karibu namna hiyo mpk beach? Hapanaaa...

Kunakuaga na Undugu na Upenzi tu.
 
We na wewe ndo mkosaji hapo.
Uwe unajaribu kumcategorize msichana kwanza kabla ya kuchagua proposal stratergy.
Kama huwezi kumchambua tumia bottom up badala ya top down.
Top down ni kumuoverate hadi tabia zikuoneshe ye ni cheap kiasi gani.
Bottom up (best stratergy). Unaasume ni cheap hadi atakapoprove otherwise ( inafanya kazi sana kwa sababu unaweza ijaribu kwa unayeona yuko juu ukashangaa how cheap she is).
Huyo msichana alivyokuambia we can just be friends ni kwamba bado hana info ya kutosha kusababisha wewe umreplace aliye naye. If u did your job well ungepata vingi up to even replacement. Ila wewe unakomaa na formal application.

Siku izi formal haifanyi kazi coz hana enough info ya kutosha kufanya decision ya kukukubali sasa. Ndo maana u have to pass through the adversity of friendship, through with benefits to
the relationship.
 
ndo dawa yao hao sema unaonekana hukumpenda ndio maana hukufuata taratibu za kuwa nae mtu kama huyo
 
Kosa lako baptiste uliingia na gia mbovu, Kuwa friendzoned anasababisha mwanaume mwenyewe, hivyo mwanamke anakuweka katika orodha ya marafiki na si mpenzi...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom