AmorePowers
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 700
- 1,131
Mimi boyfriend wangu ana miaka 19, alianza kunitongoza tangu yupo 18yrs, nikamwambia tuwe marafiki maana yeye ni mdogo. Wakati huo Mimi nipo 20yrs. Basi akakubali thereafter tunafanya tendo la ndoa japo we still in friendship.Thanks mkuu; hujatoa uzoefu wako unasemaje
That is nice; and it's what I like; haiwezekani friend isiwe na benefitsMimi boyfriend wangu ana miaka 19, alianza kunitongoza tangu yupo 18yrs, nikamwambia tuwe marafiki maana yeye ni mdogo. Wakati huo Mimi nipo 20yrs. Basi akakubali thereafter tunafanya tendo la ndoa japo we still in friendship.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sawa ila wengne mambo ya kupotezeana mda hatuyawezi mkuu; mwisho wa siku gharama unapoteza kumaintain friend zone ni kubwa kuliko unachokipataRaha ya Mahusiano hunoga sana kama yataanzia na urafiki,sio unatongoza dem Leo kesho kaanika papuchi upige,utapiga ila utamchukulia pia tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Life bila ku acts ni ngumu kuwin moyo wa kila unayemtaka inahitaji acts nyingi plus fitina za ukweli
Hata kama una mpango kama aaoneshwi kuguswa na swali lako mapema; inabidi hujitoe kwanza siunajua uhaba unaongeza thamani?? Akikukumbuka ndo mnaanza kuyajenga upyabasi unakua umemtamani tu, ila kama ni future wife au wife material una mipango nae walai roho itakutoka
Ndio hivyo kabla ya kupewa K ukiambiwa utoe kitu furani ili upewe K unatoa kama unacho,ila ukishapewa mgegedo hata ukiambiwa utoe buku mbili waweza kuiona kama milioni,kwenye friend zone kunawajenga na kufahamiana huku ukiwa unatamani siku moja upate nafasi ufanye yakoNi sawa ila wengne mambo ya kupotezeana mda hatuyawezi mkuu; mwisho wa siku gharama unapoteza kumaintain friend zone ni kubwa kuliko unachokipata
sasa kipindi cha friend zone siunakuwa unamtesa sana? Yaani yeye akae tu bila kupata papuchi ankuendekeza tu mpaka utakapoamua ww?? Na huku unaendelea wapa wengine yeye anavumia tu
Kwa nini nizunguke mbuyu?? Lengo kuu lazima niliweke wazi; mengine ni attachments tu ila lengo kuu ni papuchi; nyie wengine ambao mna vipaumbele vingine shikamoooniUnachowaza ww ni kupata tu papuchi tena haraka haraka na sio upendo wa kweli... Bora wanavyo ku Friendzone 😂😂😂
Ngoja niongeze ubunifu mkuu, ila sio kila mwanamke ananiambia hivyo; ila hii ni case ya kawaida kwa wadada wengi wanaojifanya wapo serious; wengine mbona mapema tu tunamalizana mkuu
Ni kweli mkuu; unaweza fanya jambo ambalo hata ww mwenyewe ukijiangalia unajiona fala ila ndo hivyo lengo kuu litimie; friend zone ina gharama sana.Ndio hivyo kabla ya kupewa K ukiambiwa utoe kitu furani ili upewe K unatoa kama unacho,ila ukishapewa mgegedo hata ukiambiwa utoe buku mbili waweza kuiona kama milioni,kwenye friend zone kunawajenga na kufahamiana huku ukiwa unatamani siku moja upate nafasi ufanye yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu ila hakuna namnaNi kweli mkuu; unaweza fanya jambo ambalo hata ww mwenyewe ukijiangalia unajiona fala ila ndo hivyo lengo kuu litimie; friend zone ina gharama sana.
Wewe kataa muujiza wako; yaani unamwomba Mungu akupe mwanAume mtakaoenda sawa; anajitambua God fearing; ndo unakutana na Mimi unanikataaa. Kweli shetani mbaya hadi ww kakutia upofu?😀😀😀😀😀Mungu aninusuru mimi na kizazi changu na wanaume design yako ww 🙉🙉
Ukweli mchungu huu mkuu; na friend zone ina gharama mbaya mkuu; maana upo tayari kulipia chochote usipoteze nafasiUrafiki kati ya mwanaume na mwanamke haupo...
Au mpo ofisni anakuita kaka na wakati dada zangu nawajua wote,Hiyo haikeri kama ile ya mwanamke mzuri kukuita "Mpendwa" badala ya Mpenzi ilihali unampenda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Au mpo ofisni anakuita kaka na wakati dada zangu nawajua wote,
Mkuu naomba tuwe marafiki..Mungu aninusuru mimi na kizazi changu na wanaume design yako ww