Kauli inayokera: Lets be friends

Mimi boyfriend wangu ana miaka 19, alianza kunitongoza tangu yupo 18yrs, nikamwambia tuwe marafiki maana yeye ni mdogo. Wakati huo Mimi nipo 20yrs. Basi akakubali thereafter tunafanya tendo la ndoa japo we still in friendship.

Sent using Jamii Forums mobile app
That is nice; and it's what I like; haiwezekani friend isiwe na benefits
 
basi unakua umemtamani tu, ila kama ni future wife au wife material una mipango nae walai roho itakutoka
Hata kama una mpango kama aaoneshwi kuguswa na swali lako mapema; inabidi hujitoe kwanza siunajua uhaba unaongeza thamani?? Akikukumbuka ndo mnaanza kuyajenga upya
 
Ni sawa ila wengne mambo ya kupotezeana mda hatuyawezi mkuu; mwisho wa siku gharama unapoteza kumaintain friend zone ni kubwa kuliko unachokipata
Ndio hivyo kabla ya kupewa K ukiambiwa utoe kitu furani ili upewe K unatoa kama unacho,ila ukishapewa mgegedo hata ukiambiwa utoe buku mbili waweza kuiona kama milioni,kwenye friend zone kunawajenga na kufahamiana huku ukiwa unatamani siku moja upate nafasi ufanye yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa kipindi cha friend zone siunakuwa unamtesa sana? Yaani yeye akae tu bila kupata papuchi ankuendekeza tu mpaka utakapoamua ww?? Na huku unaendelea wapa wengine yeye anavumia tu

Unachowaza ww ni kupata tu papuchi tena haraka haraka na sio upendo wa kweli... Bora wanavyo ku Friendzone 😂😂😂
 
Unachowaza ww ni kupata tu papuchi tena haraka haraka na sio upendo wa kweli... Bora wanavyo ku Friendzone 😂😂😂
Kwa nini nizunguke mbuyu?? Lengo kuu lazima niliweke wazi; mengine ni attachments tu ila lengo kuu ni papuchi; nyie wengine ambao mna vipaumbele vingine shikamoooni
 
Ngoja niongeze ubunifu mkuu, ila sio kila mwanamke ananiambia hivyo; ila hii ni case ya kawaida kwa wadada wengi wanaojifanya wapo serious; wengine mbona mapema tu tunamalizana mkuu

Mungu aninusuru mimi na kizazi changu na wanaume design yako ww 🙉🙉
 
Ndio hivyo kabla ya kupewa K ukiambiwa utoe kitu furani ili upewe K unatoa kama unacho,ila ukishapewa mgegedo hata ukiambiwa utoe buku mbili waweza kuiona kama milioni,kwenye friend zone kunawajenga na kufahamiana huku ukiwa unatamani siku moja upate nafasi ufanye yako

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu; unaweza fanya jambo ambalo hata ww mwenyewe ukijiangalia unajiona fala ila ndo hivyo lengo kuu litimie; friend zone ina gharama sana.
 
Mungu aninusuru mimi na kizazi changu na wanaume design yako ww 🙉🙉
Wewe kataa muujiza wako; yaani unamwomba Mungu akupe mwanAume mtakaoenda sawa; anajitambua God fearing; ndo unakutana na Mimi unanikataaa. Kweli shetani mbaya hadi ww kakutia upofu?😀😀😀😀😀
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom