Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,664
Toka hapa. Shenzy wewe...kawadanganye wasiojua..Hata huelewi maana ya tafsir, sherehe hebu soma matini [emoji117] View attachment 609798 soma pronunciation [emoji117]halafu endelea kubishia [emoji15] [emoji4]![]()
Hebu wafafanulie wasiojua kiarabu huo utumbo uliouketa tena. Maana ni uharo mtupu!
Wewe umesema Allah anaapa kwa dhakar. Mbona umeanza kuleta janja hapo? Toa andiko linavyosema...
Kama hujui ni 92:3 Quran. Haya hebu leta andiko hilo kwa kiswahili watu wote waelewe.
Tunalisubiri.....