Hakuna hatred hapo ni vitu vya kweli na vinafanywa kila siku hakuna utakatifu huku ni mlevi hakuna ondoleo la dhambi ama kukiri dhambi mbele ya binadamu kwenye ukristo mkuuEeeehhh i see the hatred in this comment
Kuwa mpole mkuu, au tukupe maji ya baridi ushushie sio kwa wivu huo
Upo kwenyeYesu mwenye unamfuata? Hebi toa andiko kwenye biblia Yesu alikula NGURUWE...
Toa andiko hilo.....tuone kwamba kweli wewe wamfuata Yesu....
swali la kwanza nikupe ushahidi wapi Yesu kamla nguruwe ili Mimi niwe Mfuasi wake
jibu
Biblia Haikuandikwa kwa mapenzi ya mtu malyenge! Labda uniwekee ushahidi humu wapi wewe na Mimi tumepigwa ban tusile nyama ya nguruwe Mkuu 
Umeshindwa kutoa andiko mwana mpagani wewe.....Upo kwenye![]()
![]()
![]()
![]()
swali la kwanza nikupe ushahidi wapi Yesu kamla nguruwe ili Mimi niwe Mfuasi wake
jibu
Biblia Haikuandikwa kwa mapenzi ya mtu malyenge! Labda uniwekee ushahidi humu wapi wewe na Mimi tumepigwa ban tusile nyama ya nguruwe Mkuu
![]()
Nisicho Amini Mimi wengine wanakiamini hivyo natumia wanacho kiamini wengine kuwakaanga kwa mafuta yaoBasi wewe ni IDIOT! Huwezi kutumia kitu usichokiamini kufundishia. Katika mafala duniani wewe unaongoza MGEN

Ubwege wangu ndio Usalama wako...weka andiko wewe na Mimi tumepigwa ban tusile nguruwe, acha bla bla na mbweraa za kwa Mtogole...Umeshindwa kutoa andiko mwana mpagani wewe.....
Sasa mimi ninalo andiko Yesu alikula chakula ambacho si NGURUWE.
We tangu lini ukawa na maandiko zaidi ya michoro tu? Bwege wewe...
Kanisa aliloacha Yesu ni visible lazima lionekane kwa macho sio kwa hisia. Soma Mathayo 18: 15-18
Kama ndugu yako akikukosea, nenda ukamwambie kosa lake mkiwa ninyi wawili peke yenu. Akikusikiliza, utakuwa umempata tena ndugu yako. 16 Kama hatakusikiliza, nenda na mtu mwingine mmoja au wawili kusudi wawepo mashahidi wawili au watatu wa kuthi bitisha jambo hilo. 17 Akikataa kuwasikiliza, liambie KANISA. Kama akikataa kulisikiliza kanisa, basi mhesabu yeye kama ni mpa gani au mtoza ushuru.
We kwa akili yako unahisi Yesu alikuwa kichaa au kusema hayo? Kanisa siyo ulimwengu wa kusadikika wa kiroho. Kanisa ni kitu visible n tangible. Nyie jipeni moyo, kanisa ni Moja tu, takatifu LA mitume, aliloachiwa Petro, ukilipinga hili, wokovu wako unakuwa hafifu sana,
Weka andiko lipi wwe...? Nikiweka utaweza? Mangapi umeshindwa? Hata la Yesu kutahiriwa umeshindwa kutoa. Nakuuliza Yesu alitahiriwa?Ubwege wangu ndio Usalama wako...weka andiko wewe na Mimi tumepigwa ban tusile nguruwe, acha bla bla na mbweraa za kwa Mtogole...
Kukaanga kwa mafuta yao ndio lugha gani wewe mbwa usiye na mkia?Nisicho Amini Mimi wengine wanakiamini hivyo natumia wanacho kiamini wengine kuwakaanga kwa mafuta yao![]()
Hakuna kitu kinachoitwa KANISA LA ROHONI......Hata matajiri wa enzi hizo walienda kujionyesha makanisani lk makanisa yao ya rohoni yalikuwa machafu yameoza. Why Yesu alifukuza watu waliokuwa wanafanya biashara kanisani if its all about jengo na uliyosema? Refer story ya mama aliyetoa senti mbili kanisani. And tell me kanisa ni hayo yote mnayotaka kuhusu katoliki. “Mwili wako ni hekalu la bwana”
Hekalu = kanisa.
Katoliki ni dhehebu, lutheran ni dhehebu, pentecost ni dhehebu, hawa wote wakikusanyika mahali (ukiondoa udhehebu) tayari ni kanisa. SO yall stop hizo yadayada za katoliki hivi na vile.
Kwa maelezo yako ni how strong kanisa katoliki is. WHich dont make sense coz kanisa ni zaidi ya “ustrong” uliouweka hapo.Nimeandika tatizo kusoma huwa hamuwezi. Soma tena vizuri.
Basi fafanua kanisa lako la mwilini na faida zake kama zinakupeleka peponi.Hakuna kitu kinachoitwa KANISA LA ROHONI......
Wala hakuna kanisa la mwilini. Mmedanganywa sana wakristo..Basi fafanua kanisa lako la mwilini na faida zake kama zinakupeleka peponi.
Kwa hiyo Yesu ana nafasi gani kwa Wakatoliki?Katoliki ni dhehebu pekee ambalo dhambi kubwa kwao ambayo haisamehewi ni KUUA
-katoliki ni dhehebu pekee ambalo humuomba bikira maria awaombee kwa Mungu
-Katoliki ni dhehebu pekee ambalo huabudu sanamu zilizochongwa kwa ustadi wa wanadamu
Ilimu ya Roho huna ila ya kukariri hapo sikubishii..Hakuna kitu kinachoitwa KANISA LA ROHONI......

Kukaanga kwa mafuta yao ndio lugha gani wewe mbwa usiye na mkia?
Kukaanga unajua wewe? Mtu mwenye govi anajua kukaanga?

Ilimu au ELIMU? Mbona hata kiswahili hukijui.....Ilimu ya Roho huna ila ya kukariri hapo sikubishii..![]()
Hebu ona unavyocheka kama zuzu...![]()
![]()
![]()
![]()
Kama abdul qathem..