Katoliki ni zaidi ya uijuavyo!

Katoliki ni zaidi ya uijuavyo!

Na wewe ni mpumbavu pekee usiyelijua Manisa katoliki .
Katoliki ni dhehebu pekee ambalo dhambi kubwa kwao ambayo haisamehewi ni KUUA
-katoliki ni dhehebu pekee ambalo humuomba bikira maria awaombee kwa Mungu
-Katoliki ni dhehebu pekee ambalo huabudu sanamu zilizochongwa kwa ustadi wa wanadamu
-Pia ni dhehebu pekee ambalo hata ukifa kwnye dhambi padri akiiombea maiti yako unaenda peponi.
-Ni dhehebu pekee ambalo misa za wafu zinapofanyika marehemu kama alikuwa mwenye dhambi basi dhambi zake hupungua taratibu taratibu mpka mwishowe huisha na mtu huyo huhamishiwa peponi
TUMSIFU YESU KRISTO
 
We kweli IQ ndogo sana,nimeandika hapo kuhusu salvation husomi kazi kupingapinga tu
Kwa maelezo yako ni how strong kanisa katoliki is. WHich dont make sense coz kanisa ni zaidi ya “ustrong” uliouweka hapo.
 
Ilimu au ELIMU? Mbona hata kiswahili hukijui.....
Wewe huwezi kuwa na elimu ya roho kunizidi mimi. Wewe ni mbwa usiye na mkia...
Kwamba huna ilimu ya Roho aliyesema sio Mimi mgen ilaha abdul qathem ndani ya koloani hivyo kambishie yeye Mimi hayanihusu [emoji15] [emoji38]
 
Huyo Mungu wako aliyetahiriwa unaweza kututajia jina la aliyemtahiri Yesu?
Aliye Mtahiri sina shida naye maadam Andiko limebaisha kafuata Mila ya Ibrahim [emoji123] [emoji106] dhahir eeh [emoji47] [emoji348] [emoji348]
 
Ni dhehebu pekee lenye makuhani weengi mashoga....
Uliwashikia mguu? Uliza kilicho mfika abdul qathem kule taifu mpaka akaanza kukaa taiyatul, kutembea na manukato kisha kaja na hii [emoji117]
590a70cb86ecad1e6870f27c1178119e.jpg
[emoji15] [emoji4]
 
Katika uungu wake kwa hiyo hakutahiriwa! Siyo?
Mungu wangu tofauti na Allah ambaye kimaumbile amejibainisha yupo kama wee [emoji4] ref; allah anasema inayumnikaje awe na Mwana Hali Hana mke [emoji47] jee ukimpa mke atamfanya nini??? Sema malyenge [emoji38] hebu Tafakari kisha uhifadhi [emoji106]
 
MGEN hebu toa andiko Allah anaapa kwa dhakar aliyoiumba. Ni Quran sura ya ngapi vile?
 
Back
Top Bottom