Katoliki ni zaidi ya uijuavyo!

Katoliki ni zaidi ya uijuavyo!

Eti kazi ya mikono ya kikatoliki? Mna hulka ya majivuno ambayo ni tabia ya shetani kabisa. Ni bora hata ungesema ni kazi ya Mungu kupitia watumishi wake mbalimbali kama vile mtume Paulo na wengineo.
Hahahaha....

Biblia imekuwa compiled karne ya 3 baada ya Kina Paulo na mitume wengine kufa....

Haloo....Biblia ni mali au ni Kitabu cha Wakatoliki...Humo ndani mna vitabu vingi vimeachwa bila kuwekwa kwenye canon unayoina leo...

Katoliki ku-compile bible hakuwapunguzi nyinyi udhehebu wenu(uprotestant)....Ijue historia
 
Sasa unakubaliana na mm kwamba hawa jamaa ni zaidi ya kusanyiko la waamini?
Dini yoyote ile duniani ikishafikia hadhi ya kujenga taasisi zake basi inakuwa ni zaidi ya kusanyiko la waamini. Hii ndiyo hali halisi kwa Walutheri, Waanglikani, Waislamu na hata wabahai. Hawakutani tu kwa ajili ya kufanya sala,dua au maombezi.

Ukisoma The Cambridge Encyclopedia of Religion . Neno “Religion” linatokana na neno la Kilatini “Religare” linalomaanisha Come Together hivyo dhima kuu ya dini ni kufanya kila aina ya shughuli inayoweza kuunganisha Jamii ya watu husika. (Galvanizing Social Cohesion) Huu ndiyo upande moja wa Shilingi katika tafasiri ya dini.

Lakini hata Biblia inasema Dini siyo kitu cha kukufanya wewe uende mbinguni wala hakimtishi Mungu. Kwasababu dini ni chombo cha kuendeshea imani,siasa au kazi za kijamii. Ndiyo maana Biblia ikahamasisha sana na kusema “Dini iliyosafi ni ile ya kwenda kuwaangalia mayatima na wajane katika shida zao”

NB 1: Waislamu, Walutheri,Waanglikan na walokole wote kwao dini ni zaidi ya kusanyiko la waumini kwasababu wote wanafanya kazi nyingine zaidi ya Ibada.

Mfano mzuri tu Kanisa la Anglikani wanasaidia sana Walemavu hapa nchini. Tembelea shule Mbali mbali za viziwi hapa nchini utajionea mwenyewe.

Walutheri wamejenga vyuo kama Makumira na Shuke kama Kidugala ambazo zinasaidia watoto wetu kusoma bila kujali dini zao.

Walokole nao kupitia Shirika la Compassion la Marekani wanasaidia kusomesha watoto walio kwenye Mazingira magumu.

Waislamu ndiyo usiseme kabisa,
Wanasaidia sana kutoa misaada ya kiuchumi kwenye nchi zetu za Afrika hata kama siyo za Kiislamu. Kipindi cha tetemeko la Kagera Falme za Kiislamu zilitoa mapesa kibao tu lakini bahati mbaya hayakuwafikia walengwa.

NB 2: Hivyo mkuu hakuna kitu kipya sana ambacho Rumi iwe nacho na wengine wasiwe nacho. Ndiyo maana walikuwa na ugomvi mkali na waprotestanti kwasababu wote walikuw wanataka kitu kimoja. (Ushawishi,Nguvu na Amri)
 
Hahahaha....

Biblia imekuwa compiled karne ya 3 baada ya Kina Paulo na mitume wengine kufa....

Haloo....Biblia ni mali au ni Kitabu cha Wakatoliki...Humo ndani mna vitabu vingi vimeachwa bila kuwekwa kwenye canon unayoina leo...

Katoliki ku-compile bible hakuwapunguzi nyinyi udhehebu wenu(uprotestant)....Ijue historia
Hapana si kweli. Kwasababu hata nikikuomba unipe uthibitisho wa unachokisema kwa maandiko hutaweza kunipa.
 
Malcom Lumumba Mkuu uko vizuri sana. Hakuna jambo usilolijua. Unaonekana ni mtu unayependa sama kusoma vitabu na mwenye IQ kubwa. Au ni Zitto Kabwe wewe? Naomba nikutembelee kijana wako nina mengi ya kujifunza kutoka kwako.
Mkuu mimi sijui kitu kabisa ndiyo maana nipo hapa kujifunza kama wana JF wengine. Japo nikushukuru kwa kunipa sifa nzuri, Ahsante sana na Ubarikiwe!

Pili ondoa shaka mkuu,
Mimi siyo Zitto Zuberi Kabwe Ruyagwa na wala hatufahamiani hata kidogo na kubwa zaidi mimi siyo mwanasiasa. Mimi ni Mhaya kutoka huko Kagera na Zitto ni Muha kutoka Kigoma!

Cheers mkuu!
Hata mimi nakukubali sana!
 
Sio Kimbali tu ata vita vinavyoendelea sasa ivi world wide nyuma ya ivyo vita wapo wao
Na wanajikweza kwa njia ya kutoa misaada kwa wahanga lakin ukifatilia in deep utaona wao ndio source

Looo haya ndo maanzilishi ya freemason
 
Hahahaha....

Biblia imekuwa compiled karne ya 3 baada ya Kina Paulo na mitume wengine kufa....

Haloo....Biblia ni mali au ni Kitabu cha Wakatoliki...Humo ndani mna vitabu vingi vimeachwa bila kuwekwa kwenye canon unayoina leo...

Katoliki ku-compile bible hakuwapunguzi nyinyi udhehebu wenu(uprotestant)....Ijue historia
Mimi nakuthibitishia kuwa Biblia haijaandikwa na wakatoliki na pia ninyi hamuiamini Biblia wala kuifata;
1.Kujifanyia sanamu na kuziabudu kumekatazwa katika kitabu cha mambo ya walawi 26:1" Msifanye sanamu yo yote, wala msijisimamishie sanamu ya kuchonga , wala mnara, wala msiweke jiwe lolote lililochorwa katika nchi yenu ili kulisujudia; kwakuwa mimi ndimi BWANA, Mungu wenu." Maandiko mengine ni kutoka 20:4-5, 34:17 mambo ya walawi 19:4, K/torati 4:15-18, 27:15. Naomba funua Biblia yako(kama unayo) usome hayo maandiko uone jinsi ambavyo mnadanganywa na Ibilisi. Na si hayo tu yapo mengine meengi tu ambayo Mungu anapenda wote tuyafahamu na kujua uongo wa shetani ambao kwa huo amefanikiwa kuwadanganya mabilioni ya watu. Anataka asiende motoni peke yake.
 
Dini yoyote ile duniani ikishafikia hadhi ya kujenga taasisi zake basi inakuwa ni zaidi ya kusanyiko la waamini. Hii ndiyo hali halisi kwa Walutheri, Waanglikani, Waislamu na hata wabahai. Hawakutani tu kwa ajili ya kufanya sala,dua au maombezi.

Ukisoma The Cambridge Encyclopedia of Religion . Neno “Religion” linatokana na neno la Kilatini “Religare” linalomaanisha Come Together hivyo dhima kuu ya dini ni kufanya kila aina ya shughuli inayoweza kuunganisha Jamii ya watu husika. (Galvanizing Social Cohesion) Huu ndiyo upande moja wa Shilingi katika tafasiri ya dini.

Lakini hata Biblia inasema Dini siyo kitu cha kukufanya wewe uende mbinguni wala hakimtishi Mungu. Kwasababu dini ni chombo cha kuendeshea imani,siasa au kazi za kijamii. Ndiyo maana Biblia ikahamasisha sana na kusema “Dini iliyosafi ni ile ya kwenda kuwaangalia mayatima na wajane katika shida zao”

NB 1: Waislamu, Walutheri,Waanglikan na walokole wote kwao dini ni zaidi ya kusanyiko la waumini kwasababu wote wanafanya kazi nyingine zaidi ya Ibada.

Mfano mzuri tu Kanisa la Anglikani wanasaidia sana Walemavu hapa nchini. Tembelea shule Mbali mbali za viziwi hapa nchini utajionea mwenyewe.

Walutheri wamejenga vyuo kama Makumira na Shuke kama Kidugala ambazo zinasaidia watoto wetu kusoma bila kujali dini zao.

Walokole nao kupitia Shirika la Compassion la Marekani wanasaidia kusomesha watoto walio kwenye Mazingira magumu.

Waislamu ndiyo usiseme kabisa,
Wanasaidia sana kutoa misaada ya kiuchumi kwenye nchi zetu za Afrika hata kama siyo za Kiislamu. Kipindi cha tetemeko la Kagera Falme za Kiislamu zilitoa mapesa kibao tu lakini bahati mbaya hayakuwafikia walengwa.

NB 2: Hivyo mkuu hakuna kitu kipya sana ambacho Rumi iwe nacho na wengine wasiwe nacho. Ndiyo maana walikuwa na ugomvi mkali na waprotestanti kwasababu wote walikuw wanataka kitu kimoja. (Ushawishi,Nguvu na Amri)
Nakushukuru,hasa kwa mda wako mkuu!Tumepingana kwa hoja na tuendelee kupingana kwa hoja namna hiyo.Nakusihi,tuendelee kuupa afya mjadala huu kwa hoja na AMANI.
 
Mwaka 1528 kwenye crusade war mapadre wa kiroma walikuwa wakiua makumi ya maelfu ya waprotestants kila siku sababu ya kutotii amri za Papa.

Kumbe hata hujui crusade ilikuwa ni kwa ajili ya nini na nani alikiwa anapigana na nani, soma soma
 
Ndilo dhehebu pekee ambalo ni dola kamili km lilivyo dola la Tz na mengineyo hapa duniani!

Ndilo dhehebu pekee lenye mfumo imara wa ukusanyaji taarifa zihusuzo dhehebu lao na madhehebu mengine!

Ndilo dhehebu pekee hapa duniani lenye ushawishi usiomithiliwa na jengine!

Ndilo dhehebu pekee lenye mfumo imara wa kiinterijensia na uigwao na mataifa mengi hapa duniani!

Ndilo dhehebu pekee viongozi wao wakuu wakihitaji kuongea na mkuu wa dola wa nchi husika kwa mda wautakao wao-huweza!

Ndilo dhehebu pekee lenye idadi kubwa ya wafuasi kuliko dhehebu lolote hapa duniani!

Kifupi,Katoliki ni zaidi ya dini!
Sema kanisa katoliki,
Siyo dhehebu katoliki
 
Labda wana influence hiyo ktk bara giza, lakini ukienda maeneo kama ya Asia, hawana influence ya kiasi hicho, actually huko wao ni minority kama wasabato masalia.
Arabuni kote walikuwa wao kabla yenu,mapanga yakatumika kuwamaliza japo hawakuisha wote
 
Wanao makardinali, askofu na mapadri "invisible" kwenye maeneo ambayo sio "rafiki" wa dhehebu hilo katika Afghanistan, Iran, China, nk.
 
Back
Top Bottom