Katoliki ni zaidi ya uijuavyo!

Katoliki ni zaidi ya uijuavyo!

We we ndio umeyataka kuanza kusema Yesu so Mungu Mara utatu mtakatifu ni uongo! Ata sisi wakristu tukiamua kuchafua hali ya hewa tunaweza, umepewa vyako unaghafilika oh kashfa! We kusema utatu mtakatifu ni uongo kwako unaona siyo kashfa? Ukijaribu kutusema tu! Skuizi hakuna kuogopana tunaamsha dude, cha msingi ujue tu, huna haki na huruhusiwi kuurekebisha ukristo. Kama unaamini cha kwako ni sahihi baki nacho, sisi hatuutaki uislamu , kwanza dini gani haijiamini waumini wanajiridhisha kwa kukashifu ukristo.
Mtumishi bila kuwepo Ukristo uisilamu usinge kuwepo...ndio sababu tumeagizwa Tuishindanie Imani Yuda 1-3-4
 
We we ndio umeyataka kuanza kusema Yesu so Mungu Mara utatu mtakatifu ni uongo! Ata sisi wakristu tukiamua kuchafua hali ya hewa tunaweza, umepewa vyako unaghafilika oh kashfa! We kusema utatu mtakatifu ni uongo kwako unaona siyo kashfa? Ukijaribu kutusema tu! Skuizi hakuna kuogopana tunaamsha dude, cha msingi ujue tu, huna haki na huruhusiwi kuurekebisha ukristo. Kama unaamini cha kwako ni sahihi baki nacho, sisi hatuutaki uislamu , kwanza dini gani haijiamini waumini wanajiridhisha kwa kukashifu ukristo.
Kelele....
 
Ndilo dhehebu pekee ambalo ni dola kamili km lilivyo dola la Tz na mengineyo hapa duniani!

Ndilo dhehebu pekee lenye mfumo imara wa ukusanyaji taarifa zihusuzo dhehebu lao na madhehebu mengine!

Ndilo dhehebu pekee hapa duniani lenye ushawishi usiomithiliwa na jengine!

Ndilo dhehebu pekee lenye mfumo imara wa kiinterijensia na uigwao na mataifa mengi hapa duniani!

Ndilo dhehebu pekee viongozi wao wakuu wakihitaji kuongea na mkuu wa dola wa nchi husika kwa mda wautakao wao-huweza!

Ndilo dhehebu pekee lenye idadi kubwa ya wafuasi kuliko dhehebu lolote hapa duniani!

Kifupi,Katoliki ni zaidi ya dini!
Babylon Babylon!!! since the ancient times
 
ACHA UJINGA WEWE NENDA KOTE DUNIAN WAKATOLIKI NI ZAIDI YA UWAJUAVYO ANZA NA PK HAPA RWANDA ALITAKA KUWANYANG'ANYA ENEO ALIAMBWA NINI NA ASKOFU WA KIGALI KAULIZE NA NINI ALIFANYA PAMOJA NA UBABE WAKE, KENYA , UGANDA NA KWINGNEKO SIYO HAPA KWAKO TZ NENDA NJE YA TZ UTAJUA KANISA KATOLIKI NI KITU GANI JAMAA ANAKUAMBIA NINI NA SIYO USHABKI WAKO WA KITOTO ULIZA PA MAJESUIT NI AKINA NANI DUNIANI USIKURUPUKE.
jesuit...they have power..they control rome......
 
Babylon Babylon!!! since the ancient times
axanteee fundii...umemalizaa..babeeelii

Back
Top Bottom