Katoliki ni zaidi ya uijuavyo!

Katoliki ni zaidi ya uijuavyo!

Siyo dhehebu ni kanisa. N yes salvation is granted upon the church Christ established, the catholic church, though nyie waporotestanti sisi kwetu ni wayward catholics.
Hujanijibu swali, je kwa sifa zote hizi linakupa free ticket ya kuingia mbinguni? Km halikupi basi hamna tofauti na wasio wakatoliki.

Kanisa ni roho na mwili wa mtu and how clean it is. Mengineyo ni mbwembwe
 
Nimeandika tatizo kusoma huwa hamuwezi. Soma tena vizuri.
 
Hujanijibu swali, je kwa sifa zote hizi linakupa free ticket ya kuingia mbinguni? Km halikupi basi hamna tofauti na wasio wakatoliki.

Kanisa ni roho na mwili wa mtu and how clean it is. Mengineyo ni mbwembwe
Kanisa aliloacha Yesu ni visible lazima lionekane kwa macho sio kwa hisia. Soma Mathayo 18: 15-18
Kama ndugu yako akikukosea, nenda ukamwambie kosa lake mkiwa ninyi wawili peke yenu. Akikusikiliza, utakuwa umempata tena ndugu yako. 16 Kama hatakusikiliza, nenda na mtu mwingine mmoja au wawili kusudi wawepo mashahidi wawili au watatu wa kuthi bitisha jambo hilo. 17 Akikataa kuwasikiliza, liambie KANISA. Kama akikataa kulisikiliza kanisa, basi mhesabu yeye kama ni mpa gani au mtoza ushuru.

We kwa akili yako unahisi Yesu alikuwa kichaa au kusema hayo? Kanisa siyo ulimwengu wa kusadikika wa kiroho. Kanisa ni kitu visible n tangible. Nyie jipeni moyo, kanisa ni Moja tu, takatifu LA mitume, aliloachiwa Petro, ukilipinga hili, wokovu wako unakuwa hafifu sana,
 
Na ndilo dhehebu pekee litakalotawala dunia chini ya alama 666 likishirikiana na Marekani soma unabii wa Yohana.
666? Mtasubiri sana na hiki kituko, kutafsiri kitabu cha ufunuo kazi kweli, ndio maana martin Luther alitaka kuking'oa, kwenye bibilia yake.
 
Suala la sexual abuse, kwanza waprotestant wanahali mbaya sana kuliko sisi kwa data zilizopo, fuatilia pew research. Sisi tulilikubali na tukalivaa, kwa sasahivi ni kama halipo, ila kwa wa protestanti limejaa ila wanaona aibu kuliface. And by the way kundi linaloongoza kulawiti watoto ni waalimu , wala Ata siyo mapadri, sema ikitokea alafu ikawa ni padri, basi litakuzwa Mara 1000
Ndio Dhehebu Pekee la kikristo Tajiri Duniani!
Ndio Dhehebu pekee Lenye Misimamo isiyo yumba duniani.
Ndio Dhehebu pekee lenye Kesi Nyingi za Ulawiti Duniani
Kanisa Katoliki ni Taasisi Kubwa Duniani Hilo halina Ubishi.
 
Wewe utakuwa hujatahiriwa......

Unauliza habari za kutahiriwa mwanaune mwenzio za nini? Unataka aje akushughulikie nini?

Sawa Mimi sijatahiriwa ila kamuulize momok kwa nini ba hajatahiriwa [emoji47] [emoji15] [emoji4] Nahoji tohara ya muhammad kama kweli ameifuata Mila ya Ibrahim au domoni tu....weka aya kama Yule mnao mgeza kakata nyama ya govi lake...kama utajisikia ghazab kachukue udhu...[emoji120]
 
Aliyekwambia Muhammad kaifuata mila ya Ibrahim nani? Hamna andiko hilo. Kama unalo unalijua toa.....
 
sawa unisamehe [emoji120] kama ndivyo ndio sababu ya yeye kutotahiriwa sababu Kafuata Mila ya kikureshi ambayo Baba yake hadi aliitwa abd allah..shukrani kwa ilimu malyenge tunaenda vizuri [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji106]
 
Kwa hiyo umekubali hakuna andiko linalomtaka Muhammad afuate mila za Ibrahim?
 
Unakubali pia kuwa ni dhehebu pekee linalomwabudu shetani na masanamu yake,ni dhehebu pekee linalowapa utakatifu watu pia
 
Mimi nilipo liona andiko hili [emoji117]
c32221245e79aadbbe7bf8810b0baf49.jpg
nikajua nae anahusika kumbe mwenzetu amejitenga [emoji15] nimekuelewa my teacher [emoji106] endelea kutumwagia ilimu...
 
Eeeehhh i see the hatred in this comment

Kuwa mpole mkuu, au tukupe maji ya baridi ushushie sio kwa wivu huo
 
Mimi nilipo liona andiko hili [emoji117]
c32221245e79aadbbe7bf8810b0baf49.jpg
nikajua nae anahusika kumbe mwenzetu amejitenga [emoji15] nimekuelewa my teacher [emoji106] endelea kutumwagia ilimu...
Kumbe andiko lipo? Sasa MGEN mbona hiki kitabu ni cha majini kila siku umekuwa ukisema hukiamini? Sasa tangu lini majini yakawa msaada kwa hoja zako?
 
Nikujibu Mara ngapi kwamba Mimi siamini hilo daftari ilaha nalitumia kama penetrating oil kwenye bolt zilizo jaa kutu kichwani kwa ndugu Yangu malyenge and the like [emoji120] ref; hakuna Mwenye kujitenga na Mila Ibrahim, Mila mojawapo ni tohara yeye kajitenga na kufuata Mila ya makureshi...[emoji15] hujashituka tu Malyenge? Njoo kwa Yesu Akunusuru na [emoji91] ulioandaliwa...usilete ghazab teacher [emoji4]
 
Basi wewe ni IDIOT! Huwezi kutumia kitu usichokiamini kufundishia. Katika mafala duniani wewe unaongoza MGEN
 
Nikujibu Mara ngapi kwamba Mimi siamini hilo daftari ilaha nalitumia kama penetrating oil kwenye bolt zilizo jaa kutu kichwani kwa ndugu Yangu malyenge and the like [emoji120] ref; hakuna Mwenye kujitenga na Mila Ibrahim, Mila mojawapo ni tohara yeye kajitenga na kufuata Mila ya makureshi...[emoji15] hujashituka tu Malyenge? Njoo kwa Yesu Akunusuru na [emoji91] ulioandaliwa...usilete ghazab teacher [emoji4]
Yesu mwenye unamfuata? Hebi toa andiko kwenye biblia Yesu alikula NGURUWE...
Toa andiko hilo.....tuone kwamba kweli wewe wamfuata Yesu....
 
Back
Top Bottom