Katoliki ni zaidi ya uijuavyo!

Katoliki ni zaidi ya uijuavyo!

Hahaha!Nahisi wengi wetu hatukumuelewa ndg Pengo!Ukipitia maongezi yake,hapapo popote alipotamka kwamba hilo ni tamko rasmi la kanisa!
Kwani yeye Pengo ni msemaji wa kanisa? Nini kilimuwasha? Mkiambiwa hawa watu ndio maana husababisha vurugu muwe mnaelewa-Pengo anakuja mbele ya media na hoja kwamba tamko la Niwemunizi sio la Kanisa, hala fu pale pale anachomeka wazo lake (ambalo sasa kisaikolojia anataka lipewe uzito)-kwamba kwake kilicho muhimu ni maendeleo ya jamii na sio katiba. Naogopa kupigwa ban ngoja niishie hapa, ila kwa kifupi huyu mzee hafai na halisaidia taifa wala kanisa...
 
MGEN hebu toa andiko Allah anaapa kwa dhakar aliyoiumba. Ni Quran sura ya ngapi vile?
suratul al layl :3 tafsir ya shehe Abdalah Swalehe farsi hii [emoji117]
500b191bb9215e1c3ee1579bca113e70.jpg
Ameweka tafsida [emoji4]
 
Timotheo wa kwanza ni waraka wa mtume Paulo kwa Timotheo. Siyo Mungu anaongea hapo.
Sasa ukiambiwa muham mad alikuwa anaongea maneno yake unabishia [emoji33] wewe lazima upime hii amenukuu toka MWENYEZI au yake mnyewe...ref: MWENYEZI ameamrisha USIUE [emoji123] abdul qathem anasema [emoji117]
islam-religion-of-terror.jpg
[emoji118] huoni anampinga MWENYEZI [emoji47] [emoji348] [emoji348] umefikia mahali hujui hii ni Kauli ya MWENYEZI na hii sio Kauli yake [emoji12]
 
Sasa ukiambiwa muham mad alikuwa anaongea maneno yake unabishia [emoji33] wewe lazima upime hii amenukuu toka MWENYEZI au yake mnyewe...ref: MWENYEZI ameamrisha USIUE [emoji123] abdul qathem anasema [emoji117] View attachment 609777 [emoji118] huoni anampinga MWENYEZI [emoji47] [emoji348] [emoji348] umefikia mahali hujui hii ni Kauli ya MWENYEZI na hii sio Kauli yake [emoji12]
Hapa tunazungumzia Timotheo. We bwege nini?
 
mlevi akidai anataka kunya muwahi kumpiga teke wakanyee mbali, la sivyo atakupa kazi ya kufagia mavi [emoji15] [emoji4]
Ni wewe baada ya kuf....rwa unataka kunya. Ngoja nikupige teke....
 
Ndilo dhehebu pekee ambalo ni dola kamili km lilivyo dola la Tz na mengineyo hapa duniani!

Ndilo dhehebu pekee lenye mfumo imara wa ukusanyaji taarifa zihusuzo dhehebu lao na madhehebu mengine!

Ndilo dhehebu pekee hapa duniani lenye ushawishi usiomithiliwa na jengine!

Ndilo dhehebu pekee lenye mfumo imara wa kiinterijensia na uigwao na mataifa mengi hapa duniani!

Ndilo dhehebu pekee viongozi wao wakuu wakihitaji kuongea na mkuu wa dola wa nchi husika kwa mda wautakao wao-huweza!

Ndilo dhehebu pekee lenye idadi kubwa ya wafuasi kuliko dhehebu lolote hapa duniani!

Kifupi,Katoliki ni zaidi ya dini!
Kama mapops hawatombani na kuzaa. Ni tatizo. Hujaliona hilo?
 
Ikizungumza Roman Catholic, ni Jesuits , ni kila kitu kwani Vatican ni wao. Ukiwajua basi sema kitu kuhusu RC
 
Ndilo dhehebu pekee ambalo ni dola kamili km lilivyo dola la Tz na mengineyo hapa duniani!

Ndilo dhehebu pekee lenye mfumo imara wa ukusanyaji taarifa zihusuzo dhehebu lao na madhehebu mengine!

Ndilo dhehebu pekee hapa duniani lenye ushawishi usiomithiliwa na jengine!

Ndilo dhehebu pekee lenye mfumo imara wa kiinterijensia na uigwao na mataifa mengi hapa duniani!

Ndilo dhehebu pekee viongozi wao wakuu wakihitaji kuongea na mkuu wa dola wa nchi husika kwa mda wautakao wao-huweza!

Ndilo dhehebu pekee lenye idadi kubwa ya wafuasi kuliko dhehebu lolote hapa duniani!

Kifupi,Katoliki ni zaidi ya dini!
Umesahau moja.
Balozi wa Vatican katika kila nchi duniani ndiye ex-officio mwenyekiti wa mabalozi wote katika nchi husika
 
Shenzy kabisa......ukikutana na wakristo wenzio unawadangaya na wanakuona wewe ni kipanga unaijua Quran kumbe uongo mtupu...
Andiko halisemi hivyo wala tafsri haisemi hivyo. Hiyo tafsida aliyotumia Sheikh Farsi kama ipo basi angeweka andiko kama lilivyo kisha tafsiri ndiyo ikawa na tafsida. Tena unawadangaya eti kaweka tafsida kwenye tafsiri...wakati ukweli hiyo 92:3 Quran haijatafsirwa kabisa kwenye maana haihitaji tafsiri kwa sababu ni straight forward.
Kawadanganye kanisani maana wakisikia Quran tu wanakuwa na negative mind. Hao ndio wepesi kudanganyika sijui mliwalishaga nini......
 
Hata huelewi maana ya tafsir, sherehe hebu soma matini [emoji117]
IMG_20171015_101540_964.jpg
soma pronunciation [emoji117]
983a88bf1e98e39a52cebeb7c058f059.jpg
halafu endelea kubishia [emoji15] [emoji4]
Ufundishwe hata daftari lako mnyewe [emoji47] [emoji15] [emoji12]
 
Back
Top Bottom