Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,664
Kama hudanganyi tafsiri maana ya kuapa kwa 1. Usiku 2. Mchana 3. KikeKama Mimi nadanganya weka ukweli na sio umebakia nadanganya nadanganya+bla bla bla...na uzwazwa...
Umeshobokea kike na kiume tu. Je usiku na mchana ninini kwa tafsiri hata kama ni yako tu? Tunasubiri jibu...