Katikati hali ya kushangaza na rushwa ilivyokithiri mamlaka za mkoa wa Tabora zadaiwa kuruhusu Kanisa kujengwa katikati ya barabara

Maagizo ya Yesu Kristu mwenyewe anasemaje kuhusu watu wasali vipi hayahapa .
IMG_20210213_113031_8.jpg
 
Huzijui mamlaka zinatoa vibali vya ujenzi na kusimamia mipango miji na kuzuia ujenzi holela kwenye miji na majiji .
Magu alisha waambia tatizo la Tabora ni Majungu, kwa hela gani walizonazo na kanisa
ndio hilo la mabati, Hebu yamalizeni huko serikali za mitaa.
 
Magu alisha waambia tatizo la Tabora ni Majungu, kwa hela gani walizonazo na kanisa
ndio hilo la mabati, Hebu yamalizeni huko serikali za mitaa.
Tumia hata akili za mbuzi kuvukia barabara , kuna majungu gani hapa kwenye hii taarifa wewe mlokole uchwara .
 
Huzijui mamlaka zinatoa vibali vya ujenzi na kusimamia mipango miji na kuzuia ujenzi holela kwenye miji na majiji .
Hiv tuliskia wenye vyeti wanarudishwa kazin, kumbe wengine bado hawajarudi tu, hawa waotusumbua mtandaoni si wale waliotumbuliwa kwel, watafutie kazi ya kufanya waache kufuatilia maisha ya watu
 
We ni mganga wa kienyeji tumekugundua..kama matunguli yako hayafanyi kazi hama tu hapo tena tunajua unaishi kweny nyumba ya ukoo..
 
Back
Top Bottom