Mpigakura mbumbumbu
Member
- Jun 3, 2015
- 60
- 10
Hivi Urais ni mvuto kumbe?
Wengine kwao urais ni kiongozi kulalamikia chama tawala na kueleza shida za wananchi ambazo wenyewe wanazijuwa.
Hivi Urais ni mvuto kumbe?
safi sana Dr Slaa , ningeshangaa sana kama ungepiga picha na LIL WAYNE uache wataalam .
Mwenye mvuto JK kakusaidia nini wewe ?
Jk , mlisema Ana mvuto leo mnalia na kusaga meno ,tunataka mtu wa kiutendaji sio sura tena
Daktari wa Kanoni Padri Dr.W.Slaa hiyo suti kaazimwa na Mbowe nini?
Hatuchagui Rais kwa kuangalia sura yake, wala dini yake, wala kabila lake, wala jinsia yake na wala umbile lake. Tunataka mtu ambaye atarudisha heshima ya Taifa na kulisogeza mbele kwa vitendo kwenye uchumi wa kati.
Unamtaka Mwanaume avutie ili iweje?? Nyie ndo mlimchagua JK kwa kigezo cha mvuto. Kikowapi leo??
knamajitu bado akili zimelala sana.mvuto wake unatusaidiaje kama taifa?tungekuwa tunachagua mvuto wakenya wangethubutu kumchagua mwai kibaki?
Huyu mwenye mvuto katufanyia nini??!!
IKulu hakuna shindano la Mr. handsome wala miss beautiful. Ndo maana mkamweka Kikwete 2005 na sura nzuri lakini kaharibu uchumi
safi sana Dr Slaa , ningeshangaa sana kama ungepiga picha na LIL WAYNE uache wataalam .
UKAWA ITAKOMBOA NCHI na nyie viherehere wote mtabaki midomo wazi ! nitajie viongozi wa 5 tu wa ccm ambao ukichanganya vichwa vyao wanaweza fika hata robo ya Dr slaa , sitaki wanaotetemeka , weka wazima kabisa .
Umeonaeeee watu wanajadili mavazi ya mtu watu km hao ndo tunaowataka watuongoze cyo kama mzeee wao wa kaya kila sehm ana demu had kule kwetu demu wake nimfahamu
Mvuto wa nini mkuu kwani yuko kwenye mashindano ya u-miss. Rais anatakiwa kuwa na sura ngumu