PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,458
Dr. W. P. Slaa na mmoja wa washauri wa uchumi ,sayansi na maendeleo ya jamii katika ulimwengu wa digitally. Alikutana na Dr. Mario Voigt Villa la Callina Milan kwa ajili ya kujadiliana na kushauriana kuhusu uzoefu wa namna gani ya kusimamia uchumi unaonufaisha wananchi, hususani kwenye nchi zenye utajiri wa rasilimali lakini watu wake wanakabiliwa na umasikini kama Tanzania.
Dr. Voigt ni mtaalamu katika eneo hilo, akitokea ujerumani Mashariki ambayo uchumi wake ulikuwa ukiendeshwa na sera za kishoshalisti, kabla ya kupitia mabadiliko makubwa kutoka hali duni na sasa ni mojawapo ya jamii yenye maendeleo makubwa sana ndani ya Ujerumani.